Mkuu, Samwel Sitta amefanikiwa kujenga ofisi ya Spika huko Urambo. Hii ni kumbukumbu kubwa sana kwa watu wa Urambo kwa kuwa hata Spika Makinda nadhani atakuwa akiitumia hiyo ofisi ya Urambo, bila shaka.
???????????Mkuu tufahamishe na sie vilaza tusiojua jinsi mbunge anavyoleta maendeleo na sio serikali
kwa kweli ile wilaya hipo mahututi wakuu! nimetembelea pale mwaka jana watu wapo hoi bin taabani! Hakuna access yoyote na barabara nzuri,huyo mzee aachie watu wengine wajaribu,...
Sawia. Sasa kaa ni hivo kwanini tusiondoe cheo na hivyo gharama za bunge na kuwapelekea wananchi maendeleo?
Dude u sound preachy..na hujui kuwa uelewa wangu ni beyond your classic conventional knowledge za kukariri vitabuni. I have been to bunge sessions, nimefanya kazi serikalini na kwene agency zake, na nimekuwa exposed kwene maarifa mengi kuhusu jucial system na sarakasi zake na naeza kukuhakikishia kuwa hiyo mihimili ktk nchi kaa Tz ni kiinimacho na upotevu wa wakati na fedha zetu wavuja jasho. Sitaongea mengi, just know that, na unaeza kujionea mwenyewe kwa macho yako kama upo Tz kama hii mihimili ina maana yeyote.Nina wasi wasi na uelewa wako kuhusu mgawanyo wa kazi wa mihimili ya dola. Ukumbuke kazi ya mbunge ni kutunga sheria,kuisimamia serikali, kuwakilisha wananchi wa jimbo lake katika mhimili wa bunge nk. Kujenga barabara nk ni kazi ya serikali yaani administrative organ. Kama Urambo au Tabora haijendelea tatizo sio Sita ni CCM na serikali yake
Kuna umuhumu wa hawa wanaojiita Great Thinkers kurudishwa darasani kusoma elimu ya Uraia
Nina wasi wasi na uelewa wako kuhusu mgawanyo wa kazi wa mihimili ya dola. Ukumbuke kazi ya mbunge ni kutunga sheria,kuisimamia serikali, kuwakilisha wananchi wa jimbo lake katika mhimili wa bunge nk. Kujenga barabara nk ni kazi ya serikali yaani administrative organ. Kama Urambo au Tabora haijendelea tatizo sio Sita ni CCM na serikali yake
Kuna umuhumu wa hawa wanaojiita Great Thinkers kurudishwa darasani kusoma elimu ya Uraia
Mkuu, Samwel Sitta amefanikiwa kujenga ofisi ya Spika huko Urambo. Hii ni kumbukumbu kubwa sana kwa watu wa Urambo kwa kuwa hata Spika Makinda nadhani atakuwa akiitumia hiyo ofisi ya Urambo, bila shaka.