Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Waheshimiwa ndugu wana jf,leo katika kipindi cha dk 45 itv sitta atakuwa anafanya mahojiano na itv hususani juu ya suala la Dowans na sasa ndo unaanza,peoples.....
 
Tayari Keshaanza mahojiano .... Anasisitiza upatikanaji wa haki kwa watanzania
 
Huyu Sitta, mnafaki sana aeleweki katika suala la Dowans!
 
Waheshimiwa ndugu wana jf,leo katika kipindi cha dk 45 itv sitta atakuwa anafanya mahojiano na itv hususani juu ya suala la Dowans na sasa ndo unaanza,peoples.....

Acha kupotosha mada ni masuala ya Afrika Mashariki sio Dowans.

miafrika bana
 
Anaongelea issue za Africa Mashariki ... longo longo za ushuru..... historia ya africa mashariki ........
 
wap?ritz n mzalendo80 bado mko gizan.mmewaacha wanafiki wengine mnamuweka sitta.aibu iwe kwenu
 
Yaani Pro-CDM JF kazi ni kukalili tu kila wakimuona Sitta, wenyewe wanajua ni Dowans tu.

Miafrika bana
 
Waheshimiwa ndugu wana jf,leo katika kipindi cha dk 45 itv sitta atakuwa anafanya mahojiano na itv hususani juu ya suala la Dowans na sasa ndo unaanza,peoples.....

Wape magwanda wenzeko Update za Dowans, ulizowaambia wanasubiri dakika 45 zinaisha
 
Shurti waanzie mbali ilikumleta kwenye 18 akitokea pembeni. Atakapoipiga V-cross uwe mtafutano.
Sabodo wametaka aondolewe katika CCM, sasa sijui Sitta watamwambiaje,
 
Anataftia acceralation ya kuingiza dowans hapo! Sio unakurupuka na dowans!
 
Anazungumzia juu ya mabadiliko ya kanuni za bunge wakati wake na faida zake kwa utawala bora kwa tz
 
Back
Top Bottom