Sitta alijua mwisho wa mafisadi?

mwanza

JF-Expert Member
May 7, 2009
759
486
Nakumbuka katika sherehe za kuchangia kwaya moja Sita alitamka kuwa nchi inayumbishwa na mafisadi wasiozidi kumi ila akaonya kuwa mwisho wao itakuwa kabla ya 2012. Je alijua hatua za zitakazochukuliwa na chama kwenye kikao cha wiki iliyopita? Kama alijua basi nasema uamuzi wa CCM ni ushindi wa kambi ya Sita
 
kw kiasi kikubwa Sitta anabusara sana na ni mzalendo wa kweli, Jk mwenyewe anamkubali ila anashlindwa kusema. Kambi yake kweli imeanza kushinda. ila swala la kuandaliwa Hussein Mwinyi CCM watajilaumu kwani hatuta kubali kutawaliwa kifalme. Tuombe tu wamlete Hussein hata CCM nitaacha kushabikia upinzani hadi tushinde. Hatuwezi kushindwa na watu mil. 1
 
Nakumbuka katika sherehe za kuchangia kwaya moja Sita alitamka kuwa nchi inayumbishwa na mafisadi wasiozidi kumi ila akaonya kuwa mwisho wao itakuwa kabla ya 2012. Je alijua hatua za zitakazochukuliwa na chama kwenye kikao cha wiki iliyopita? Kama alijua basi nasema uamuzi wa CCM ni ushindi wa kambi ya Sita

Sitta ni nabii alijua hilo la mafisadi. Pia aliitabiria Spain ubingwa wa dunia 2010 wakati watu wengi walikuwa wakiibeza.
 
Back
Top Bottom