Sitoisahau hii picha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Jamani yaani nikiona mke wangu amekasirishwa na kitu basi hii picha inatuliwaza sana
huwa namwambia na sisi ipo siku mmoja wetu atakuwa akila usingizini kwenye mkutano kama hivi akimuwaza mwenzake basi akicheka yaani kinachofwata namwachia wanandoa
sitoishahu hii picha

attachment.php
 
JK anajitaidi saaaaanaaa, wa chini yake ndo wanamuangusha kama uyo jamaa.. bado kidogo atamuangukia mwenzake..
 
Ila jk lijanja umeona lilivyoweka 4 ili jamaa akianguka asimtie aibu kwenda chinianaangukia mguuni mwake sasa
na we ngeleja salma aangukie mguuni na wewe unalala mpaka mzee anapiga 4 sabbabu yako embu badilika mzee wa ridosymbi
 
JK anajitaidi saaaaanaaa, wa chini yake ndo wanamuangusha kama uyo jamaa.. bado kidogo atamuangukia mwenzake..

Hapa umenena, lakini baba lazima umwadhibu mtoto asiyekutii anaye kuaibisha kwa watu! vinginevyo na wewe utafanana na wao kwa uzembe, kwa utii, kwa kuaibisha!
 
Oyaa, amka mwanangu, huoni unaniaibisha? Cheki kama nawe una desa uzugezuge basi. Hata mimi nna usingizi pia!
 
mkuu GSANA, ni real..sijui wanachoka nini wakati full time wanakula A/C. sijui sisi walala hoi inakuaje????????
 
Ngeleja, nafikiri kwa ushauri tu angeomba ahamishwe ile wizara ili tupime utendaji wake. Inawezekana ni mchapa kazi mzuri ila emawekwa sehemu ambayo ni ngumu kuweza kuonyesha uwezo wake. Ni sawa na kumpanga Kaseja kucheza number 9, kama sio mzoefu atashindwa kucheza vizuri. Ningeshauri Ngeleja aende Wizara ya Ujenzi, na Mzee Magufuli tumlete pale Nishati na Madini tuone kama uozo uko kwa Ngeleja au ni Wizara husika.
 
JK anajitaidi saaaaanaaa, wa chini yake ndo wanamuangusha kama uyo jamaa.. bado kidogo atamuangukia mwenzake..

Mi naona kama wote wanlala vilee!! Ah wansinzia vilee, au macho yangu tu?
 
Yaani watu wanawajadili wao namna ya kuwakwamua ktk umaskini lakini wanaojadiliwa wameuchapa usingizi!!Sijui wabongo tutazinduka lini jamani.yaani unawasha ndege ya raisi hadi huko ili mkalale mkutanoni???Kweli serikali ya ccm imelala.ni aibu tupu
 
Back
Top Bottom