Site ya kujenga Mnara wa Simu inakodishwa.

Poor Minds has nothing to do except criticism. Akili za Mende kujisifia kulikomoa kabati kwa kulipiga Kikumbo.
Hayo ndyo majibu ya maswali niliyokuuliza?
Wewe unaulizwa swali unasema criticism. Wewe ndye akili ya mende unayedhani et kila site ni ya kuweka minala.
 
Poor Minds has nothing to do except criticism. Akili za Mende kujisifia kulikomoa kabati kwa kulipiga Kikumbo.
Wewe ni mpumbavu sana au njaa imekutafuna hadi ubongo, BTS Tower zinawekwa sehemu kutokana na signal zitakapokubali ndipo hapo kampuni inamfuata yenyewe mwenye eneo na kuzungumza naye.

Kenge wewe, na bado mpaka mseme poo Ngosha ananyoosha tu.
 
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)

Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.

Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara.

Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed.

Site iko Ilala Buyuni, Chanika.

Kwa Maelezo zaidi, naomba tuwasiliane PM

Gharama: Maelewano.

Picha zinapatikana kwa Whatsapp.

Karibuni.

0715-240140
Tena mjiandae kunyang'anywa hivyo viwanja, wakati mnajimilikisha kijanjajanja mlijiona mmewin kumbe hata sumni ya kujenga hamna, tunafanya msako Buyuni block zote nyinyi ndio mnaotuwekea mapori.
 
Huu ndoo mwisho wa watu wasio na shule kuchezea hela. Kwahiyo umehodhi eneo kwa malengo ya kukodisha wajenga minara. Ndoo mlishauliana enzi hizo. Duh, lima matikiti maji wewe
 
Huu ndoo mwisho wa watu wasio na shule kuchezea hela. Kwahiyo umehodhi eneo kwa malengo ya kukodisha wajenga minara. Ndoo mlishauliana enzi hizo. Duh, lima matikiti maji wewe
Ni viwanja vya serikali vya kujenga nyumba, hawa maboya wamechukuwa viwanja wahitaji wa kweli wamelosa viwanja, sasa pesa za kujenga hawana wanaweweseka.

Mwakani tunaendesha oparesheni kabambe na Lukuvi na haponi mtu hiyo plot moja baada ya nyingine ili kuwashikisha adabu maafisa ardhi wote waliojigawia plot na kuacha mapori badala ya kujenga nyumba.

Watu wana shida ya viwanja wajenge lakini unakuta kuna maboya yenye tamaa yameziua viwanja, matokeo yake mji unachelewa kuchangamka, nawachukia sana watu hawa mimi.
 
Duh,watu mmemshambulia mpaka amesepa?
Naamini muuzaji alikuwa na lugha nzuri kwa kumjibu muuliza swali ili afaham.Sasa amekimbilia kutukana.Ni mbaya sana,unapokuwa muuzaji jiandae na yote.
 
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)

Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.

Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara.

Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed.

Site iko Ilala Buyuni, Chanika.

Kwa Maelezo zaidi, naomba tuwasiliane PM

Gharama: Maelewano.

Picha zinapatikana kwa Whatsapp.

Karibuni.

0715-240140

Lol baat mbaya wameshauza yote wamebakia madalali tu
 
Back
Top Bottom