Sitavumilia dhuruma hii Maxmalipo

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
424
247
HUU NI UTAPELI WA HALI YA JUU KWA MAXMALIPO Mimi ni wakala wa MAXMALIPO sasa leo kuna mteja amekuja kwangu akihitaji kulipia gari yake ambayo alikimatwa maeneo ya chuo na akiwa ameandikiwa faini ya elfu 30.
Sasa mimi kama wakala nikachukua risiti na kuingalia nikagundua haina reference number ikabidi niwapigie simu maxcom 0764 700200 kuomba reference number wakaniuliza namba ya gari nikawatajia halafu wakanitajia reference number nikaandika nikafanya malipo sasa baada ya mteja kuondoka imepita nusu saa mteja akarudi kudai kuwa gari yake inadaiwa na amepiga simu maxcom wanasema gari bado inadaiwa ikabidi apige simu namimi nikiwepo nilipo ongea nao wakasema gari haijalipiwa nikawambia mbona ninyi ndio mlinipa reference namba iweje mnipe siyo sahihi? Cha ajabu wamenitajia gari nyingine namba tofauti na wakasema wewe ulikosea,nikawauliza tunamsaidiaje mteja? Wakasema huo muamala uliofanya haurudishwi kamwe kwa hiyo wewe toa hela yako umlipe mteja. Yaani ile hela elfu 30 iliyokatwa kwenye mashine ya maxmalipo imechukuliwa hairudi halafu nitoe hela yangu mfukoni nimlipe mteja! Huu si utapeli, hela imekatwa imeenda maxcom au maxmalipo na kule imeenda traffic case halafu hiyo hela haiwezi kurudi so wewe wakala kama umekosea ni juu yako sisi haituhusu ingia gharama umlipe mteja wako.

Sitalifumbia macho hili mteja simlipi na siko tayari kulipa pesa marambili tutaenda polisi mahakamani kwa wanasheria kwa mkuu wa wilaya ya ubungo na ikishindikana ikibidi hata kwa mkuu wa mkoa Paul Makonda hamuwezi kudhurumu haki za watu mchana kweupe hata vyombo vya habari nitakwenda yaani muamala umekosewa tena si mimi maxcom ndio walionitajia reference namba siyo halafu mseme hela ikikosewa hairudishwi niingie gharama zangu binafsi nimlipe mteja!! Kamisheni yenyewe mmenipa kiduchu bado hela ambayo imelipwa kimakosa mnasema hela hairudi aisee hii haikubaliki.
 
Hizi mashine wanazotumia kutozea faini za makosa ya barabarani nazo ni jibu...

Watu wengi sana wanalalamika kulipia faini lakini huku bado wakiendelewa kudaiwa na deni kuongezeka...

Ni mara kumi umpe traffic cha pembeni kuliko kuandikwa na hizo mashine zao... utaendelea kudaiwa hata mpaka ujute hata ulipe vipi..
 
Nenda kawasilishe malalamiko yako TCRA kabla ya kwenda kwenye hatua nyingine,me mwenyewe nina Mpango WA kwenda kuwashtaki MULTICHOICE Tanzania umelipa malipo yako ya mwezi kila mwezi wanakuzingua kurudisha mawasiliano mpaka uwapigie simu mara kwa mara nimeshawaambia kero hii itawaifikia TCRA maana ndio wanajinasibu kama watetezi wetu maana imekuwa kero mambo haya.
 
Vip uliyarekodi mazungumzo yenu kwa simu yako awali ukiomba reference namba!? Kama hukufanya hivyo basi penati kwako. Ni mtizamo tu, jaribu kutafta ushahidi wa kutosha kukutea na hao maxmalipo.

Ndugu badili mtaji, maxcom waache.
 
Kaka jamaa wezi sana hata Mimi kuna uzi Nilituma hapa JF jamaa waliniibia 50,000 kwa kuitoa ghafla kwenye mashine baada ya kuafuata wakasema Niende voda kote wizi mtupu mpaka Nikaacha
 
HUU NI UTAPELI WA HALI YA JUU KWA MAXMALIPO Mimi ni wakala wa MAXMALIPO sasa leo kuna mteja amekuja kwangu akihitaji kulipia gari yake ambayo alikimatwa maeneo ya chuo na akiwa ameandikiwa faini ya elfu 30.
Sasa mimi kama wakala nikachukua risiti na kuingalia nikagundua haina reference number ikabidi niwapigie simu maxcom 0764 700200 kuomba reference number wakaniuliza namba ya gari nikawatajia halafu wakanitajia reference number nikaandika nikafanya malipo sasa baada ya mteja kuondoka imepita nusu saa mteja akarudi kudai kuwa gari yake inadaiwa na amepiga simu maxcom wanasema gari bado inadaiwa ikabidi apige simu namimi nikiwepo nilipo ongea nao wakasema gari haijalipiwa nikawambia mbona ninyi ndio mlinipa reference namba iweje mnipe siyo sahihi? Cha ajabu wamenitajia gari nyingine namba tofauti na wakasema wewe ulikosea,nikawauliza tunamsaidiaje mteja? Wakasema huo muamala uliofanya haurudishwi kamwe kwa hiyo wewe toa hela yako umlipe mteja. Yaani ile hela elfu 30 iliyokatwa kwenye mashine ya maxmalipo imechukuliwa hairudi halafu nitoe hela yangu mfukoni nimlipe mteja! Huu si utapeli, hela imekatwa imeenda maxcom au maxmalipo na kule imeenda traffic case halafu hiyo hela haiwezi kurudi so wewe wakala kama umekosea ni juu yako sisi haituhusu ingia gharama umlipe mteja wako.

Sitalifumbia macho hili mteja simlipi na siko tayari kulipa pesa marambili tutaenda polisi mahakamani kwa wanasheria kwa mkuu wa wilaya ya ubungo na ikishindikana ikibidi hata kwa mkuu wa mkoa Paul Makonda hamuwezi kudhurumu haki za watu mchana kweupe hata vyombo vya habari nitakwenda yaani muamala umekosewa tena si mimi maxcom ndio walionitajia reference namba siyo halafu mseme hela ikikosewa hairudishwi niingie gharama zangu binafsi nimlipe mteja!! Kamisheni yenyewe mmenipa kiduchu bado hela ambayo imelipwa kimakosa mnasema hela hairudi aisee hii haikubaliki.
Ushahidi kwamba Maxmalipo wamekutajia ref.no ni upi ndugu? wakikubana hapo hutoki.
 
Wacha kulia simu zote ni rekodwdi, kama ulipiga na wakakujibu/kukutumia namba za malipo ni jukumu lao. Wewe huhusiki na lolote. wapandishe kwa pilato usijali muda utaopoteza kuna gharama na wewe utaweka zakwako.
Hii ni kwa wenye uthubutu, kama huna potezea.
 
Nitawapandisha
 
Usikubali mkuu ila kesi yako na huyo mteja ilikuaje jamaa alikuelewa kweli?!
 
Ushahidi kwamba Maxmalipo wamekutajia ref.no ni upi ndugu? wakikubana hapo hutoki.
Ndugu si amewapigia simu kwa mtandao usika!?kwani mtandao usika wakiambiwa watoe mazungumzo yao ya siku usika,itakuwa tofauti.
 
HUU NI UTAPELI WA HALI YA JUU KWA MAXMALIPO Mimi ni wakala wa MAXMALIPO sasa leo kuna mteja amekuja kwangu akihitaji kulipia gari yake ambayo alikimatwa maeneo ya chuo na akiwa ameandikiwa faini ya elfu 30.
Sasa mimi kama wakala nikachukua risiti na kuingalia nikagundua haina reference number ikabidi niwapigie simu maxcom 0764 700200 kuomba reference number wakaniuliza namba ya gari nikawatajia halafu wakanitajia reference number nikaandika nikafanya malipo sasa baada ya mteja kuondoka imepita nusu saa mteja akarudi kudai kuwa gari yake inadaiwa na amepiga simu maxcom wanasema gari bado inadaiwa ikabidi apige simu namimi nikiwepo nilipo ongea nao wakasema gari haijalipiwa nikawambia mbona ninyi ndio mlinipa reference namba iweje mnipe siyo sahihi? Cha ajabu wamenitajia gari nyingine namba tofauti na wakasema wewe ulikosea,nikawauliza tunamsaidiaje mteja? Wakasema huo muamala uliofanya haurudishwi kamwe kwa hiyo wewe toa hela yako umlipe mteja. Yaani ile hela elfu 30 iliyokatwa kwenye mashine ya maxmalipo imechukuliwa hairudi halafu nitoe hela yangu mfukoni nimlipe mteja! Huu si utapeli, hela imekatwa imeenda maxcom au maxmalipo na kule imeenda traffic case halafu hiyo hela haiwezi kurudi so wewe wakala kama umekosea ni juu yako sisi haituhusu ingia gharama umlipe mteja wako.

Sitalifumbia macho hili mteja simlipi na siko tayari kulipa pesa marambili tutaenda polisi mahakamani kwa wanasheria kwa mkuu wa wilaya ya ubungo na ikishindikana ikibidi hata kwa mkuu wa mkoa Paul Makonda hamuwezi kudhurumu haki za watu mchana kweupe hata vyombo vya habari nitakwenda yaani muamala umekosewa tena si mimi maxcom ndio walionitajia reference namba siyo halafu mseme hela ikikosewa hairudishwi niingie gharama zangu binafsi nimlipe mteja!! Kamisheni yenyewe mmenipa kiduchu bado hela ambayo imelipwa kimakosa mnasema hela hairudi aisee hii haikubaliki.

Lipa kwa niaba ya mteja halafu fuatilia hayo malipo ya ziada kwani lazima kwenye reconciliation hiyo pesa ya ziada ionekane.
 
Wakati mwingine ss watanzani bado tulipa kodi za kichwa za enzi zile za baba wataifa yani .Maxcom wanakuzia 775000kama sikose na floti ya 150000 kwahiyo mashine 625000 halfu kwa mwezi mnagawana faida .

pia ukishindwa biashara mashine yao unarudish bure kwanini ?wasitoe mashine bure halfu ndiyo wawenakata comission kama tigo au voda line bure comission mnagawana
 
Cha msingi ni kuwashitaki.
Wakishitakiwa, mahakama itaamuru kuyaweka wazi mawasiliano ya awali ya msingi uliofanya nao mwanzo.
Hata kama ulikosea, muamala hubatilishwa na fedha kurejeshwa.
Halafu nadhani ukiishaanza nao kesi, ukomae nao pakubwa, ili kukomesha figisu inayoendelea hivi sasa huko, hasa kuhusiana na huduma za miamala ya pesa, ni malalamiko kila sehemu.
Kuna mtu huko anaitwa "Biller", huyu huelekezewa kutanzua miamala iliyokwama, halafu hachukui hatua kwa muda unaotakiwa kutanzua shida za watu.
Jibu utakalopewa na huduma kwa wateja ni "suala lako linashughulikiwa ndani ya muda mfupi tatizo litarekebishwa", ni blah blah za kukupotezea muda ili hela yako waendelee kuihodhi kwa nia ovu.
Ndugu yangu komaa nao kisheria waadabishwe.
Pia tujiepushe kutumia miamala hii ya kitapeli. Hata Voda M- pesa nao hivi sasa miamala yao wameshaiseti ki-wizi, halafu wameajiri wafanyakazi kitengo cha huduma kwa wateja waongo mno na si msaada wa kutanzua kero za wateja.
Nadhani mbinu hii ya kuvuruga miamala ya wateja kwa kisingizio cha matatizo ya kiufundi ni wizi kama ule wizi uliokuwa ukifanywa na TTCL enzi za EMS, baadae wakaja kufa kifo cha mende.
Na hawa, ukipatikana mbadala hawawezi kufika popote kwa huduma za kiwiziwizi na usumbufu.
 
Vip uliyarekodi mazungumzo yenu kwa simu yako awali ukiomba reference namba!? Kama hukufanya hivyo basi penati kwako. Ni mtizamo tu, jaribu kutafta ushahidi wa kutosha kukutea na hao maxmalipo.

Ndugu badili mtaji, maxcom waache.
Ndg yangu mbona unawaza kama enzi za mawasiliano ya simu za "kukoroga"?
Kunahaja ya mteja kurekodi mawasiliano "private", wakati kila mawasiliano yanayofanyika hurekodiwa?
 
Simu zote huwa zinarekodiwa automatically!labda kama alikosea yeye refference number huwa inatokea kaka...jaribu kutulia ufanye maamuzi taratibu bila hasira then utagundua!ingekuwa mitandao ya simu wange reverse kwasababu kama umelipia gari nyingine wasiliana na mwenye gari kama mstaarabu atakurudishia hiyo 30,000!jaribu kutuliza mawazo usipanic issue yako sio ngumu sana...
 
Back
Top Bottom