Sitamani kuua kabisaaaaaaa

u real cms hamweli mada soma tena ili uelewe

Hueleweki kwa sababu unaandika kwa kutumia vifupisho vya sms. Lugha pia haijulikani kama ni kiswahili au kiingereza. Ninamaanisha kiswinglish chako hakieleweki na umejieleza kifupi mno.
 
haswa yaan inaonekana huyu ndugu kapanic sana, ndio maana kuanzia title kaharib hata anapojaribu kuelewesha watu bado anakosea kuandika, mapenzi kitu ingine kabisaaaa...............pole yake hata hivyo

sijui atarudi kutuelewesha au ndo na yeye ametupa kibuti na maneno yake ya mseto
 
jamani hawa ndo kamaliza la saba sehemu ya jina anaandika tarehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom