Sitaki!!!

Sitaki Jeshi la polisi lianze kupoteza heshima kwa raia linaowalinda kwa kuhusishwa na mauaji ya hao raia kama yalivyoripotiwa siku za hivi karibuni huko Mbeya, Arusha, Moshi, Dar( Kimara na Ukonga).
 
Sitaki neno Mkuu (Mkulu) liendelee kutumika humu ndani ! Ni uborongaji wa lugha; Sitaki kusema SITAKI!! kwa vile ni neno hasi NATAKA kufikiria mambo Chanya !

Nataka Nchi yangu Tanzania iwe na sheria ya Uraia mbili kwa Wale waliozaliwa, au wazazi wa TZ wanaoshikilia Uraia wa nchi nyingine.

Nataka Tanzania tuwe na Solar Power Plant ! ili tuboreshe uwezo wa umeme wetu kwa kutumia jua la Utosi tulilojaliwa kama rasilimali !
Bila Umeme hakuna Maendeleo ,Mtandao, Kompyuta, Maji, Kiyoyozi wala TV .

Nataka tuwe na viongozi wenye uchu wa maendeleo na uzalendo badala ya kuendeleza ubinafsi unafiki, tamaa na upumbavu wa kuganga njaa zao wakati Taifa lina didimia.
 
Kuna thread nyingine inayozungumzia "NATAKA" humu ndani vile vile. Hii ina maana huwezi "kutaka" kila kitu kama vile ambavyo huwezi pia kuwa "hutaki" kila kitu. Jaribu kuzifatilia zote ndipo uone ni wapi pa kutaka na wapi pa kukataa!
 
You can't discuss the solutions without discussing the source of the problems.You can't get to thesource of the problem without discussing the problem. Kujua tatizo ni nini pekee haitoshi. It has to be deeper than that. Kukwepa kuya ongelea matatizo haimaanishi matatizo hayo hayapo. Je uta pangaje mikakati ya kutatua matatizo bila kujadili matatizo hayo? Tunao walipa pesa zetu za kodi ndiyo wali takiwa kufanya hivyo kwa ajili yetu, wao wameshindwa so why not do it ourselves?

kila siku tunadiscuss source of problems?

lini tutakuwa optimistic na kudiscuss mafanikio?
 
sitaki!!! wanoenda nje ya hii mada ya SITAKI na kuanza kuuliza vitu vingine...
 
Sitaki Serikali inayoanzisha shule za yebo yebo bila kuwa na maandalizi ya walimu wakutosha hiyo ndo inadumaza watoto wetu

Sitaki Bodi ya mikopo inayobagua wanafunzi kwa kuwakopesha wanafunzi waliofaulu tu huku wengine wakiachwa vijiweni kuvuta bangi

Sitaki na tena sitaki chama kinachoiba kura kwenye Chaguzi kwani hamuoni makaburi
 
Sitaki kuona mtu anasema anafanya utafiti wa madini wakati tayari keshaanza kuchimba kama kule Namtumbo yale madini yetu.
Ten % zitatuua jamani ijulikane tumeshaanza kuyachimba na serikali ipate mapato yake sio kama ivi kinyemela alafu tunapozwa na hela za Millenium...... ie MCC
 
Sitaki mahakama ya kadhi kuja kutokea tz.

Sitaki kuona wanawake wa kiislam wakinyanyaswa

sitaki kuona wabunge wanasinzia bungeni

sitaki kuona albino wakiuawa

sitaku kuona kikwete anachekacheka

sitaki kuona ccm pamoja na nguo zooote za kijani.

sitaku kuona CUF ikiendelea kuendesha udini tz
 
Sitaki mahakama ya kadhi kuja kutokea tz.

Sitaki kuona wanawake wa kiislam wakinyanyaswa

sitaki kuona wabunge wanasinzia bungeni

sitaki kuona albino wakiuawa

sitaki kuona kikwete anachekacheka

sitaki kuona ccm pamoja na nguo zooote za kijani.

sitaku kuona CUF ikiendelea kuendesha udini tz
Mmmnh! hapo sipo!!!
 
Sitaki Taasisi zinazo jali vyeti kwenye ajira badala ya kujali ujuzi na uzoefu wa kazi.
 
Sitaki kusoma wanaJF kuipinga SISIM
Sitaki kusikia watu wakilaani ufusadi ili hali nao ni mafisadi
 
Sitaki waiba kuku wafungwe miaka mitatu na polisi waua watu wasio na hatia waachiwe huru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom