Sitaki tena nimuone

Pamoja na kwamba issue yenyewe inawakera sana akina mama, lakini hili suala huwatokea sana wanaume. Kwa uzoefu wangu wa kuanzia enzi zile tunajifunza kujenga vijumba vya makuti ...na kujifanya baba na mama....haya mambo ni kawaida sana kutokea. Labda vijana wa dot com kama hawajawahi kusikia!! Ila huo ni ukweli na utabaki kuwa ukweli....

Ushauri wangu ni kwamba Apolinary...kaa mbali sana na huyo binti...ili upate nafasi ya kuona kama hisia kwake zinaweza kurudi. Kama hazitarudi basi usilazimishe kwa sababu utakuja kumuumiza sana huyo dada. Labda kwa sasa jitahidi kumuacha taratibu ili upunguze dozi ya maumivu.

Ukweli wa hili ni kwamba wanaume tunaongozwa na tamaa na ni mara chache sana kumpenda mwanamke...Ila tukipenda basi tena...tunakuwa zaidi ya wehu!

bora utujuze ulikuta nini huko tukioni. itasaidia kupata picha halisi ya hali uliyonayo sasa

Swali zuri, Mtoa mada toa maelezo ya kutosha ulikutana na nini humo hata kukinai on the spot?

<br / br/labda nikuelewesheni vizuri yaani baada ya kufanya ngono naye basi nilivyokuwa nikimwaza labda ana ki2 cha ziada lakini sivyo basi roho imechafuka kutokana na nilizani kutokuwa hivyo,

Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia mnishauri kuhusu

Tatizo hujui thamani ya mwanamke na wala huruma huna angefanyiwa dada yako ungefurahia?

Tatizo hujui thamani ya mwanamke na wala huruma huna angefanyiwa dada yako ungefurahia?

Anayofanya siyo mambo mazuri ila kwa kweli wanaume wengi tuko hivyo hivyo!!

Laiti wanawake wangetujua...wangetunyima hiyo hazina yao ili tuendelee kuwapenda (kuwatamani)!!!!

Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia mnishauri kuhusu

Mkuu kama ana kikwapa tiba zipo!

Imaginations na matarajio yako ulikuta tofauti
...Kaka, utamaliza mabucha ...
nyama haitofautiani kiviiiile,
kikubwa ni mapishi... na kupika mtu hufundishwa
unless otherwise...

Hahahaaaa, aliyesema chapa ilale hakukosea. Jamaa kachapa imelala, hamu kwisheney, usipoangalia borther kwa mchezo huo hata kuoa hutooa. Katubu na kumrudia muumba wako

Imaginations na matarajio yako ulikuta tofauti
...Kaka, utamaliza mabucha ...
nyama haitofautiani kiviiiile,
kikubwa ni mapishi... na kupika mtu hufundishwa
unless otherwise...

Kweli kaka...ila kuna after taste nyingine ni ngumu kuzi-handle......

Hata hivyo mshikaji anatakiwa kudeal ny psychology yake asije kujikuta anatanga tanga kama kunguru!!

<br / br/labda nikuelewesheni vizuri yaani baada ya kufanya ngono naye basi nilivyokuwa nikimwaza labda ana ki2 cha ziada lakini sivyo basi roho imechafuka kutokana na nilizani kutokuwa hivyo,
Nadhani ulipitiwa na methali hii;
ukubwa wa pua ...........

Kweli kaka...ila kuna after taste nyingine ni ngumu kuzi-handle......

Hata hivyo mshikaji anatakiwa kudeal ny psychology yake asije kujikuta anatanga tanga kama kunguru!!
Hapo kwenye redi nakubaliana na wewe,
halafu ukisha tia timu yeye ndio anakolea zaidi jamaa analohilo
Ajaribu kurekebisha lasivyo atazurula saaana
Lakini Mtu Huwezi jua njia ina madimbwi mpaka upite

<br / br/labda nikuelewesheni vizuri yaani baada ya kufanya ngono naye basi nilivyokuwa nikimwaza labda ana ki2 cha ziada lakini sivyo basi roho imechafuka kutokana na nilizani kutokuwa hivyo,

Hii inaonesha ushakuwa nao wengi, so ulitaka ku-rate. Inasikitisha sana. Eti hujaona kitu cha ziada, na kama umeshaona vyote una haja gani ya kuendelea kutafuta cha ziada? Ndo ujue kuwa hata ukibadili mabucha, nyama itabaki kuwa ni ileile.Tafuta mke uoe kama umri unaruhusu acha kuwapotezea muda mabinti zetu

Hapo kwenye redi nakubaliana na wewe,
halafu ukisha tia timu yeye ndio anakolea zaidi jamaa analohilo
Ajaribu kurekebisha lasivyo atazurula saaana
Lakini Mtu Huwezi jua njia ina madimbwi mpaka upite

Ndo maana nawaomba wadogo zangu, dada zangu na hata mama zangu waulewe na kuukubali ukweli ukweli hii...Wanaume wengi sana hupata taabu na hukosa majibu baada ya kuonja...Hawawezi kuamini kama walichokutana nacho kinalingana na investments walizozifanya wakati mwingine kwa muda mrefu.....

Sina hakika tunatokaje hapo..ila huo ndio ukweli mtakatifu (from men's perspectives)!!!

Hii inaonesha ushakuwa nao wengi, so ulitaka ku-rate. Inasikitisha sana. Eti hujaona kitu cha ziada, na kama umeshaona vyote una haja gani ya kuendelea kutafuta cha ziada? Ndo ujue kuwa hata ukibadili mabucha, nyama itabaki kuwa ni ileile.Tafuta mke uoe kama umri unaruhusu acha kuwapotezea muda mabinti zetu

Bombu, hii hali wakati mwingine haitoke eti kwa sababu mtu analinganisha alichokutana nacho...ndivyo wanaume walivyo!!

Mi nahisi huyu brother ni utoto tu, mara nyingi age ya utoto huwa inatokea kama ivi

kwa kifupi we ni mchafuzi tu... nyie ndo mnafanya mapenzi hayawezekani siku hizi

Back
Top Bottom