Sitaki tena mwanamke yeyote .....

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
JUzi tu nilimfumania live demu mmoja aliyekua demu wangu wa karibu yaani my soulmate
inaniuma ila sijui ni solve vipi

tulikua tunapita kwenye uchochoro fulanai mitaa ya uswahilini mererani wakati tunapita
kuna sauti za migunio zilikua zinatokea kwenye chumba karibu tulipokua tunapita mara
jamaa yangu akachungulia akashtuka alivyoshtuka akanifanya nami nitake kujua

usiende mbio maana nilichokiona naishia hapa .. tuk tuk tuk tuk tuk tuk tuk .......
hayio yalikua mapigo ya moyo maana ni hatari kwa kweli labda niwe nanunua changudoa lakini
vinginevyo sitaki demu.................kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. aaaaaaaaaaaaaaaaa

nawasilisha kwenu jwana wa jf........................
 
Umesema aliyekuwa demu wako sasa hasira za nini? Au ufafanue kama mmeachana baada ya kushuhudia hilo tukio.
 
Peleka kwenye mapenzi na mahusiano. Nikifungungua jukwaa la siasa natarajianikutane na siasa. Full stop
 
Sasa mi mwenyewe nashindwa kuelewa inamaana mliachana au?
maana unasema aliyekuwa demu wako
sasa moyo utakuumaje? bwana mkubwa
na kuhusu machangu best ndo unajimaliza kabisa kimawazo na mfumo mzima wa maisha yako.
 
Pole lakini kila binadamu hukosea na anahitaji kusamehewa anapotubu je ameomba msamaha au hujampa chance,kuna majaribu duniani je kama aliwekewa dawa so akili yake haikuwa sawa,au jamaa alikuwa anambaka? Wewe hujawahi kabisa kutoka nje?kabisaa?
 
Back
Top Bottom