Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

Kama hivi viungo vya hawa dada zetu vina expire sipati picha ya huyu dada
 
ndio analijua leo..
BTW,bado hajachelewa,anaweza kujipanga na mambo yakamwendea poa tu
 
aje kwangu apate classic love penzi lisilo na rabsha wala mbwembwe penzi la mwalimu your welcome Wema
 
Kutembea ! Kutembea!.....inamaana yeye alikuwa anatembea nao tu basi...hakuwa na penzi la kweli kwao. Mmm.. Hiyo xxxx...ingekuwa inasema..du!
 
Kama anataka waliomzidi umri aende pale British legion karibu na ilipokuwa nyumba ya sanaa atawapata wa kumwaga wao USD 100 si pesa
 
Yaani hili ndio tatizo la wasanii wa bongo. Wakiachana tu wanaanza kupondana. kama unayoyasema ni ya kweli mbona hukumponda wakati ulivyokuwa naye kwenye uhusiano?
 
Kama hivi viungo vya hawa dada zetu vina expire sipati picha ya huyu dada

...mwanamke ni sawa na gari...kubeba Mzigo sawa na tani...akizidisha anakongoroka...by Dudu Baya aka the Dudu.
 
Mfupa uliomshinda fisi...mwanaume mwenye akili yake, engagement maisha club, wapi na wapi?
 
Ngurubange tu hilii
hawez tulia,
kwanza kesha tumika
kupitiliza
kwa kaumri kake
kanumba
jumbe
diamond
chaz baba

na wakina papaa wale
wanaokandamiza shaa
na kusepa !

Mmmm!,,
ukimwi ukikamata
mmoja wao
heee watalia na kusaga
meno!!
Af cream yote kwisha
hakuna tena kitu pale
 
Bila shaka huyu demu ana lake jambo kwa nn amekuwa akiwachanganya namna hii wanaume? inawezekana akina Kanumba, COPPER na wengine walopita hapo walikuwa hawamfikishi kisawasawa aje kwangu nimtulize.
 
Vipi jaluo nyeupe mchukue wema. Wewe mwenyewe sharobaro. Ingima lakini? Wach mandalo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom