Sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hata ukiolewa hustahili kulindwa hivyo! kuna shairi la kiswahili lina maneno haya "Mlinda wajisumbua kulinda chenye hisia, ....chaenda chatenda charudi, kisha chasema Mlinda nilinde....(Maneno mengine siyakumbuki nadhani alikua Shaban Robert) point ni kwamba bila kuaminiana utaishia kupata presha maana kama mmoja au wote ni wezi huyo ataendelea kuiba tu hata ukikaa nae masaa zaidi ya ishirini na nane kwa siku
 
Si uachane nae basi kama wewe kidume?
Unalalamika nini sasa....hutaki tambaa.
 
kaka usisahau wengine wamepewa yote... matumizi yanategemea mahitaji tu. kesho hakawii kusema anaolewa
tatizo lako nini hasa mkuu,mbona upo kujibu rabbish zaidi,bullshit tupu,kanda ya kazkazini hapa,ukitafuta bwana utakuja kuolewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom