Sitaki nataka hunifanya nilale na hamu usiku kucha!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
"Lile basha langu la ajabu kweli. Yaani isitokee ujifanye 'sitaki nataka', mwenzangu hata hajishughulishi walau kukupandisha mzuka, utaona huyooooooooo ananiacha anajilalia hadi asubuhi. Yaani hajui kabisa kunipandisha nyege. Yaani muda mwingi tunaishia kusex utadhani kuku, dakika mbili kamaliza basi mwenzangu najilalia na minyege nyege yangu hadi asubuhi, sijui hata nifanyeje. Kila anapohitaji basi mie 'nampanulia' tu 'amalize' mambo yake tulale, maana ni kero tu kufanya bila maandalizi".

Hii simulizi wadada wawili walikuwa wanaongea ambapo mmoja alikuwa akimwambia mwenziwe jinsi mwanaume wake asivyojua/alivyo mzembe wa mahaba.

Bahati mbaya sisemi nimeisikia wapi maana wengine hawakawii kuporomosha mitusi
 
nawe mmbea izo story za kusikia wazipata wapi kila siku!

ndo maana nimekwambia sitaji wapi nimezipata ntashambuliwa kweli! Ila usiombe kufanya kazi ofisi moja na wanguu, unawajua wewe? uliza utaambiwa
 
wanguu wa watu unawasingizia......

Ila duh!!!! Kwa stile hiyo huyo mdada lazima atakuja kuuza mechiiiiii
 
kujifanya 'sitaka nataka' ndiyo kutakaje? binti anakuwa anadengua au? halafu huyo bwana anakuwa amebadilika baada ya kumweka ndani binti au ndiyo unakuwa mwendo tangu awali
 
kujifanya 'sitaka nataka' ndiyo kutakaje? binti anakuwa anadengua au? halafu huyo bwana anakuwa amebadilika baada ya kumweka ndani binti au ndiyo unakuwa mwendo tangu awali

mbona umeuliza halafu umejibu mwenyewe............!
 
Dah nilijua wewe ndo muhusika!!kumbe unaleta u mbea tu..sasa unataka nini na hyo nyuzi yako inayotupa asshki marijali..
 
mbona umeuliza halafu umejibu mwenyewe............!

nilitaka tu ku-confirm... of course nashindwa kuelewa kwa nini binti analalamika kama yeye mwenyewe ndiye anayemdengulia jamaa in the first place
 
"Lile basha langu la ajabu kweli. Yaani isitokee ujifanye 'sitaki nataka', mwenzangu hata hajishughulishi walau kukupandisha mzuka, utaona huyooooooooo ananiacha anajilalia hadi asubuhi. Yaani hajui kabisa kunipandisha nyege. Yaani muda mwingi tunaishia kusex utadhani kuku, dakika mbili kamaliza basi mwenzangu najilalia na minyege nyege yangu hadi asubuhi, sijui hata nifanyeje. Kila anapohitaji basi mie 'nampanulia' tu 'amalize' mambo yake tulale, maana ni kero tu ku
 
nimeisoma kwa manjonjo hapo mwanzo..stim zikakata nilipoona ni mambo ya kusadikika...
tukikupa ushauri utaupeleka?
 
huyo nae is a lazy man but what you do, you change your sex site that may improve your sexual desires.
 
Back
Top Bottom