Sitaki na wala sipendi

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,193
Kuna mabinti ambao mwisho wa mwezi ninapoamua kwenda kujipongeza kwa moja moto na moja baridi huwa wananizengea zengea mezani. Nikiwakaribisha wanaanza kuniita majina ya ajabu; mara 'honey', mara 'baby'. Mimi Jsaudi bado miezi 2 nistaafu kwa mujibu wa sheria (miaka 60), leo hii mtu anataka kunitapeli kwa kuniita 'baby'!! Ulishamuona baby gani ana wajukuu?? Naomba wanikome na wasindwe kwa jina la Yesu.
 
baby anatambaaa,ungewauliza tu hvo...............ila nawe acha utoto ina maana huelewi wantaka nni
 
Humu hawakusikii labda nenda katoe hili tangazo kwenye media nyingine mfano kwenye tv, redio na magazetini.
 
Kuna mabinti ambao mwisho wa mwezi ninapoamua kwenda kujipongeza kwa moja moto na moja baridi huwa wananizengea zengea mezani. Nikiwakaribisha wanaanza kuniita majina ya ajabu; mara 'honey', mara 'baby'. Mimi Jsaudi bado miezi 2 nistaafu kwa mujibu wa sheria (miaka 60), leo hii mtu anataka kunitapeli kwa kuniita 'baby'!! Ulishamuona baby gani ana wajukuu?? Naomba wanikome na wasindwe kwa jina la Yesu.
<br />
<br />
 
Kwa sababu wewe ni wa moja baridi moja moto, hao mabinti hawawezi kukukoma na kukushindwa kwa jina ulilotaja wewe, bali ni kwa jina la moja baridi, moja baridi tu.
 
Humu hawakusikii labda nenda katoe hili tangazo kwenye media nyingine mfano kwenye tv, redio na magazetini.
Ningekuwa sina uhakika kwamba wako humu nisingesemea humu. Baadhi wamo humu jamvini na baadhi ni mashoga zao. Inabidi wawafikishie ujumbe kwamba wakome kuniita 'baby' kama wananifunga nepi!!!
 
Kwanza kuleta kwako mada kama hii kwa magreat thinker kunaonyesha kwamba wewe ni "baby", hao mabinti hawajakosea kabisa. How comes mzee wa miaka karibia 60, unashinda na kulala baa kila mwisho wa mwezi?
Kama wanakuudhi sana si ubadili kijiwe? Mshenzi mkubwa wewe, modes mada za kipumbavu kama hizi zinaingiaje humu?
 
ndo shida ya pombe za mwisho wa mwezi. wanakuona lofa. ungekuwa unaenda kunywa kila siku wangekuona umezoea hela wakakuheshimu. vumilia,ukishadaka mafao watakuita baby mwaka mzima hadi uishiwe then watakuacha upumue. mjini shule,pole babu!
 
haya maneno kama mimi ndio mtoa mada nabadili id. Dah!
 
kwa jinsi ulivoleta hapa nadhani wapenda kuitwa hny na beb. vinginevyo wangeshakukoma... au labda unawaalika wanajf wakuite beb? Babu jiheshimu...
 
Back
Top Bottom