Sitaki kuwa sehemu ya takwimu...

Kaizer, usiniambie na wewe ruzuku imekupitia, jamani!

Annina

hehehe Annina, mi sihongeki, am as independent as I can be,, amini amini nakuwambia thats just my observation!

wameenda wapi campaign managers wako?:cool:
 
Una heri, maana hizo pesa zinaweza kukufanyisha kazi za ajabu, kupiga debe si mchezo bwana. Nyani na timu yake sijawaona toka kumekucha kwa saa za magharibi, naona wapo kwenye kikao cha siri wanapanga jinsi ya kutempa na masanduku ya kura!

Iseje kuwa wako haiti tunasubiri saa zamangaribi kumbe wamefukiwa kwen kifusi!

sasa mi unaniweka wapi kwenye mchakato?
 
Mungu awalinde na hili janga. Kuna nafasi ya "Chief Advisor" kama una sifa unaweza kuichukua hii, maana sitaki niangukie kwenye mikataba mibovu... kwa jinsi watu walivyojipanga nahitaji mchambuzi mzuri na mzoefu awe mshauri wangu mkuu. Karibu

Asante sana,

Annina
 
ooh honey how r you! miss u badly. lol! u volunteering in Haiti?

eeh umehadimika sana Banyamulenge wangu jamani i miss you more!....

No i am not going to volunteer in Haiti come to think about it kuna mafuriko bongo pia kuna watu wanahitaji msada pia...call me whatever but habari ndiyo hivyo...why niache kwangu kunateteketea alafu niaidie wengine....
 
Mungu awalinde na hili janga. Kuna nafasi ya "Chief Advisor" kama una sifa unaweza kuichukua hii, maana sitaki niangukie kwenye mikataba mibovu... kwa jinsi watu walivyojipanga nahitaji mchambuzi mzuri na mzoefu awe mshauri wangu mkuu. Karibu

Asante sana,

Annina

Gud, hakuna noma, nambie sasa nianzie kwa kukushauri kwanza kama ni Busara kuwa naye in the first place kabla hatujawashortlis...wapo Nyani, geoff na nani tena?
 
eeh umehadimika sana Banyamulenge wangu jamani i miss you more!....

No i am not going to volunteer in Haiti come to think about it kuna mafuriko bongo pia kuna watu wanahitaji msada pia...call me whatever but habari ndiyo hivyo...why niache kwangu kunateteketea alafu niaidie wengine....

dah,,, honey jamani.....huko kwao ni serious zaidi!
 
Back
Top Bottom