Sitaki kuwa sehemu ya takwimu...

Na aliye mwehu kuliko wote na aseme wanavyo-ongeza vocha na kubadilisha line wakiwa chumbani.
Dawa mseto kaenda wapi? Klorokwini nafikiri anaweza kutueleza
hehehehe!
KOSA KUBWA WANANDOA WANALIFANYA NI KUDISPLEI siri za kuta nne!
....ndani ya kuta nne kuna mambo ya ajabu
 
Hizi kuta nne naona zinaficha meeeeeengi sana.Bora tusiyajue maana tunaweza kuathirika na masiri mazito ya kuta 4.
 
nje ya nyumba utasikia:
''tigo haramu,sitaki kusikia...''
''mimi mke wangu hathubutu kunipiga...nitaua..''

INGIA KWENYE HIZO SIRI ZA NDANI...hahahaha
 
Kuna msomi mmoja nimemsoma website moja analia na msomi mwenzie ,dharau manyanyaso na majigambo msomi wa kike anamnyanyasa wa kiume
 
Na ni kwa sababu hiyo tuu,ndio maana hata nyumbani ukisikia chumbani basi wanamaanisha chumbani kwa baba na mama,vyumba vingine nilazima pawe na jina la pili,yaani chumbani kwenu,kwetu,kwao na kuendelea.Ila chumbani ni kule kufichwako mambo mengi zaidi kwa starehe zaidi.
 
Geoff Mbona unaua bendi
basi tujikite ndani ya maandiko matakatifu TIGO ni dhambi
si ndo mamabo ya sodoma na gomora haya jamani?
 
Stori inayofanana na hiyo iko kwenye last issue ya Bang Magazine...Inajaribu kuelezea kwanini nyumba ndogo haziepukiki...Hili ya nyumba ndogo haziepukiki nalo nahisi linahitaji ''thread'' inayojitegemea! :)
 
Na ni kwa sababu hiyo tuu,ndio maana hata nyumbani ukisikia chumbani basi wanamaanisha chumbani kwa baba na mama,vyumba vingine nilazima pawe na jina la pili,yaani chumbani kwenu,kwetu,kwao na kuendelea.Ila chumbani ni kule kufichwako mambo mengi zaidi kwa starehe zaidi.

Una uhakika STAREHE zaidi? nadhani ni virce versa ya starehe,kero zaidi,au maumivu zaidi.
 
Geoff Mbona unaua bendi
basi tujikite ndani ya maandiko matakatifu TIGO ni dhambi
si ndo mamabo ya sodoma na gomora haya jamani?
kuta nne zina mambo mazito mamii!....
kuna mambo ya ajabu sana,nimeanza kuyaona.maanake nimekabidhiwa mchuchu NAFANYA MAZOEZI YA NDOA...!HAHAHAHA!asikwambie mtu

uvumilivu ndio nguzo
hakuna kitu kigumu kama kuishi na binadamu mwenzio
 
Wewe unashaurije? Waende wakaombe tigo nje ya ndoa?
Kwani ukikosa tigo utakufa? halafu mie nashangaa sana mbona ZAIN, VODA,ZANTEL hadi SASATEL ZIPO fULL NETWORK? Yani hii SODOMA NA GOMORA inakuja kwa kasi kweli.Nadhani mvua ya moto ipo jirani sana, watu tunabadili matumizi ya ASILI yenye raha zaidi tunatafuta laana.mweeeeeeeeee!
 
Una uhakika STAREHE zaidi? nadhani ni virce versa ya starehe,kero zaidi,au maumivu zaidi.

Kutokana na statement hii unajifunza nini,nafikiri x-pin anahitajika hapa.

Haiwezekani ZD,yanayofichwa na kuta nne za chumba kile starehe uwa zina outweigh kero na hayo maumivu,believe me, la sivyo wangekuwa wameshatoka.
 
Kwani ukikosa tigo utakufa? halafu mie nashangaa sana mbona ZAIN, VODA,ZANTEL hadi SASATEL ZIPO fULL NETWORK? Yani hii SODOMA NA GOMORA inakuja kwa kasi kweli.Nadhani mvua ya moto ipo jirani sana, watu tunabadili matumizi ya ASILI yenye raha zaidi tunatafuta laana.mweeeeeeeeee!

Hiyo tigo inaonekana kama vile imekuwa ''fasheni'' tu ya wadada wa siku hizi na si vinginevyo! Na ndio maana hata ''thread'' hii, pamoja na mambo mengine, imeanzisha mjadala wa tigo.

Angalia nani kaianzisha? Ni mdada!
 
Kutokana na statement hii unajifunza nini,nafikiri x-pin anahitajika hapa.

Haiwezekani ZD,yanayofichwa na kuta nne za chumba kile starehe uwa zina outweigh kero na hayo maumivu,believe me, la sivyo wangekuwa wameshatoka.

Muumini kweli aliimba;

Nilipokwa mtoto nilikuwa najiulizaaaa.....
haya mapenzi ni kitu ganiiiiiiiii
wengine walisema mapenzi yanauaaaaaa
niliogopa sanaaaaaaaaaaaa...........

Tatizo ni Adamu na Eva kula tunda.hivo hata kama kuna kero,uchungu,maumivu na kifo ni lazima tuyavumilie kwa vile ndivyo tulivyo.
 
Hiyo tigo inaonekana kama vile imekuwa ''fasheni'' tu ya wadada wa siku hizi na si vinginevyo! Na ndio maana hata ''thread'' hii, pamoja na mambo mengine, imeanzisha mjadala wa tigo.

Angalia nani kaianzisha? Ni mdada!

Hahahahaa eti madada!???,yani umetoka nje ya laini.Kwani umewahi kusikia mashoga wanawake?Wanaume ndo waanzilishi na waendelezaji wa tigo.
hehehhee! Iam INDEPENDENT WOMAN! thank JESUS!
 
swali zuri sana ZD
chanzo cha ushoga ni midume wenyewe
 
Muumini kweli aliimba;

Nilipokwa mtoto nilikuwa najiulizaaaa.....
haya mapenzi ni kitu ganiiiiiiiii
wengine walisema mapenzi yanauaaaaaa
niliogopa sanaaaaaaaaaaaa...........

Tatizo ni Adamu na Eva kula tunda.hivo hata kama kuna kero,uchungu,maumivu na kifo ni lazima tuyavumilie kwa vile ndivyo tulivyo.

dada naona leo unashusha mistari mie nimebanwa hapa nachungulia chungulia tu
 
your the kind of person i'm looking for, naomba address yako if there is still vacancy.
 
Back
Top Bottom