Sitaki kuwa sehemu ya takwimu...

bwashee angalia kwa makini humu ndani kuna watu wanataka kuniharibia program

Leo na mawani nimevaa kabisa ili niwasome watu vizuri! Atakayeleta ujinga namuingiza kwenye takwimu!
 
ZD umepotelea wapi we ama 2010 imekuja kwa vishindo??? hapi nu jaar!

Hahahaa.Nataka niwe kibiashara zaidi yia twenty teni .Mwezi wa kwanza ni wa maandalizi hivyo haya maandalizi/Mazoezi nafanya ni ya hatari.

Hepi nyuuu yia u 2!
 
duh!hii nadhani leo nitaota ndoto usiku:
The Following User Says Thank You to Geoff For This Useful Post: Ziondaughter (Today)
 
Hahahaa.Nataka niwe kibiashara zaidi yia twenty teni .Mwezi wa kwanza ni wa maandalizi hivyo haya maandalizi/Mazoezi nafanya ni ya hatari.

Hepi nyuuu yia u 2!

Halafu hii tabia ya kusalimia wapita njia kabla ya mzee umeianza lini? Subiri..............!
 
Ahahahhaha wacha kunifurahisha we!! kwani kuna mkataba na orodha/prioritization.....kaa chonjo hii ni 2010....:p
 
umetoa ushauri mzuri sana
2010 hii...
more SLOGANS,KIBIASHARA ZAIDI.....

ZIONDAUGHTER 2010:NIPO KIBIASHARA ZAIDI
 
Halafu hii tabia ya kusalimia wapita njia kabla ya mzee umeianza lini? Subiri..............!
Mpenzi naona 2010 unapenda salamu za public zaidi.Si unakumbuka jofu aliniambia kwenye kitcheni pati niwe nakusalimia kwa busu ya chumbani? na ili niwe kibiashara zaidi ndio nimeanza kufanyia kazi mafunzo yake.
Au unataka nibadilishe kwa afya yako?
 
Afya yangu imetetereka, hebu fanya maarifa basi!
 
Mpenzi naona 2010 unapenda salamu za public zaidi.Si unakumbuka jofu aliniambia kwenye kitcheni pati niwe nakusalimia kwa busu ya chumbani? na ili niwe kibiashara zaidi ndio nimeanza kufanyia kazi mafunzo yake.
Au unataka nibadilishe kwa afya yako?
yaaaaah!MORE COMMERCIAL-ZD
MORE WORK-FL1
HAPA VUMBI TU-GEOFF

x-pin tunaomba slogan yako tafadhali
 
Upi huu? usije fanya nipigwe makombora ZD in the hse tena kwa kibiashara zaidi.....

Hahaha! Maternity Leave imeisha! Hana wasiwasi mtu wangu yule! Zis yia amefokasi kwenye biashara zaidi! Mawivu kapiga chini. Twende kazi!
 
Najitahidi kwa uwezo niliopewa na Mungu pamoja na sala za kila siku ili nisiingie kwenye takwimu za:
  1. Wanawake wasomi wasioolewa
  2. Wanawake wanaotoa tigo
  3. Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao
  4. Wanawake wanaonyanyasa waume zao
  5. Wanawake wanaoishi kwa mifuko ya waume zao
Orodha ni ndefu, kwa leo hayo yanatosha, karibuni tuchangie.

Asante sana,

Annina

Annina,

Hayo mambo ya tigo, blowjobs, handjobs, kunyonyana **** na ****** ni ya sirini na yanalindwa na kuta nne zinazowazunguka. Hivyo jipe raha tu!!
 
HEHEHEHE!umeongea hoja wewe......!RAHA JIPE MWENYEWE
 
Back
Top Bottom