Sitaki kuwa sehemu ya takwimu...

Unatafakari.??My God!! it means watu washapita?

Natafakari suala la wewe kuwa single na kutotumia lina ya simu... mimi nimeshasema no kwa herufi kubwa kwa tigo and the like. hope kampeni zitaendelea, tatizo nyani huimbi zile nyimbo za kampeni sijui kwanini?

Asante sana,
Annina
 
Hapo kwenye Red,

Ni kweli kabisa Nyani ni single and available kwako tu (hapa nakupigia debe wewe). na line hajawahi tumia na hataki.
 
Natafakari suala la wewe kuwa single na kutotumia lina ya simu... mimi nimeshasema no kwa herufi kubwa kwa tigo and the like. hope kampeni zitaendelea, tatizo nyani huimbi zile nyimbo za kampeni sijui kwanini?

Asante sana,
Annina

sasa wewe ndio wa ukweli, mi ntaenda hata kwa sheikh hayaha atabiri kuwa mi ndo the winner and i disev to take it all. coz nitajisikia vibaya sana kama utadondokea kwenye mikono ya wapenda tigo wakushawishi wakuharibu .u never know ! sikutishi lakini.
 
Ann je ungependa kuwa miongoni mwa wanawake wanaonyanyaswa na waume zao? at its among the 'list ni ndefu'
 
.....Hiyo twakimu ya wanawake wasomi wasioolewa huwezi kuingia shost, kuna wasomi wanaume wanatafuta wasomi wenzao wanawake. So don't worry about that!!
Cha msingi usiwe na maringo na usomi wako.

Hapoooooooooo Pretty kumbe wajua.... mbona wasomi tupo wengi tu na hatuna wasiwasi. kila jini na mbuyu wake ahahahhaha.....
 
Asante Nyani, kwa sasa nafanya "review" ya proposal ya Geoff ya kudumisha nae MILA! tarehe 13 bado... Jina lako pia linanitisha, nitaweza utawala wa manyani kweli wa kila mmoja kudandia mti anaoupenda???

Asante sana,

Annina
that's my gal......!CHEERS
 
Samahani kidogo..kuuliza sio ujinga siajabu sijaelewa upo kwenye point gani...Check hapo nilipo weka alama nyekundu...??Nadhanii mkuu Geoff karibu anataka kupata jiko then unasema kwamba unaweza kuwa mtarajiwa,una maanisha nini hapo?Sorry kwa hili swali!!!
...annina yupo sahihi jamani.
naomba mumuache afikirie proposal yangu jamani
KUPENDWA NDIO HUKU,KUPENDWA KUTHAMINIWA
 
Mimi ni msomi, sijaolewa (nipo kwa mchakato na Geoff wa kudumisha MILA..., lakini nasikia kuna deadline ya tar 13 ndio naishiwa nguvu kabisa)yaliyobaki simo! Umenisoma Lizy?

Annina
USIISHIWE NGUVU MPENZI!muda unaruhusu.....
siku 29 ni nyingi sana.tunaweza dumisha mila hata mara tano hivi....:D

achana na NYANI!kwanza m'baya
 
...annina yupo sahihi jamani.
naomba mumuache afikirie proposal yangu jamani
KUPENDWA NDIO HUKU,KUPENDWA KUTHAMINIWA

ahahhaha bahati mwanamume weee yaani unapendwa tu hata ukiwa umetangaza msimamo!!! mila eh??
 
Annina sasa unachanganya habari, hapa 3.Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao : Kumbe ni ruksa kuwa Mwanamke unayeenda kwenye ndoa za wenzako/ cause Geoff ni Mume wa mtu mtarajiwa, unless ww ndo Bibi harusi mtarajiwa wa Geoff, vinginevyo Shosti mh....... Kazi ipo
.......mbona mnampandikiza sumu annina jamani?....
kwanin msimuache ausikilize moyo wake?
au mnasahau kwamba mapenzi ni ya watu wawili?
 
ahahhaha bahati mwanamume weee yaani unapendwa tu hata ukiwa umetangaza msimamo!!! mila eh??
si unaona mwenyewe?
ifuatilie hii thredi utaona....
ila kuna watu wana wivu sana humu ndani
 
Back
Top Bottom