Sitaki kupenda tena..

Pole sana Ringopet. Naelewa umeumia kiasi gani hisia zako haijalishi umri wako cos kama
Umeshafanya kazi maana yakr umeshakomaa.

Haupo peke yako wengi wetu tumepitia huko huko na bado maisha yanaendelea.

Ila safari hii jitahido umsahau na maisha yataendelea menhine utayapata tu. Jifanye umetoa sadaka na sadaka ni jambo jema utapata thawabu hapa
Na mbinguni. Kazi ni kwake

Kuwa makini manake soon utapata kazi uwe na vijihela utamwona huyo anajirudisha na samahani nyingi.

Hapo ndo itabidi uact kiume usikubali akuumize tena. Utampata mwingine anayekupenda kwa dhati
Khasante sana best Kaizer kwa ushauri wako nitaufuata..
 
Pole sana kaka, najua kupenda utapenda tena ila ukiingia kwenye mahusiano usijiaminishe asilimia mia.Lolote linaweza kutokea katika mapenzi.
 
aiseee hivi wanaume wa design yako wapo eeee??? miaka miwili no sex no kisssss! chezeiya visarata wa mtaa weye, cku ya kwanza mkono kwenye chuchu! puuuuuuuuuuuu!
tupo na ndiyo tunaishia ishia na kwamtu aliyekuzwa kidini sioni chakushangaza coz dini inakataza kuzini@cacico
 
Hujafa hujaumbika.What if it happens you fall in love again?
Mimi naamini mpenz wakwanza ndiyo uliyempenda zaidi atakayekuja mbele hatamkigombana huwez humia sana kwasababu uliyempenda kweli alikuwa wakwanza nandiye aliyekufundisha mapenz@Ndahani
 
Tupa uko uta date vp na mwanamke choka mbaya anakugeuza kama mzaz wake tafuta mwanamke anaejiweza au anatoka familia bora si unakwenda kuowa sehemu hadi baba mkwe akikuona anataka kukusalimia au utasikia anasema karibu mzee wakat wew ni kama mtoto wake<refer manji na wazee wa yanga > madem wa uswaz pasua sana
teh teh..,khasante kwa ushauri wako@by default
 
udomo zege umekuponza si kitu kingine. kwa mwanaume aliyemwoga wa kutongoza, anakubalina na kila aambiwalo na mtu anayehisi anampenda. By the way, katika dunia, hakuna UPENDO katika mapenzi, ni suala la hisia tu bro
Mapenz ni upendo nakama hunaupendo kwampenz wako hutoweza kumlinda namimi sidomo zege huwasipendi kucheza na hisia zamtu nandiyo maana nimeumia sana na kushauri kama unatabia hiyo uache kwasababu huyo uliyekuwanaye inawezekana anamapenz yakweli kwako na ukimpoteza sirahisi kumpata mwingine kama yeye ntamaholo
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka machungu, na mm ilsha wai ntokea, toka daraxa 4 mpaka 4m6 ni wapnz nikaja achwa kiajabu ckuwai ambulia hata kiss..izo ni tabia za watt wa kchaga
watu hawaamini kama unaweza kaanampenz bila hatakupewa kiss na Pole sana kwayaliyo kutokea uliwezaje kumsahau@kbosho
 
Mkuu pole sana naona bidada kakuchanganya kiasi kuwa ninaamini badala ya upadre umeandika upradi lol
Khasante sana hapa kidogo ninavyo pata ushauri ndiyo napata nafuu bt kwakusema kweli nimeumia sana mjasiria
 
the scenario is touching. lakini hii habari ya kwamba huyu mtu ana umri gani, sijui ooh ni mtoto wa shule sijui e.t.c sidhani kama ni idea nzuri kufanya hivyo. humu jamvini tumechanganyika watu wa nyumri tofauti tofauti wenye exposure tofauti na lyf style tofauti, kwaiyo mtu akileta ishu yake kama hiyo tujue kuwa yeye ameumia and we shud try addressing hayo maumivu na sio kuanza kuhojihoji.
well back to the story, bro mleta mada kwanza naomba nichukue nafasi hii kukwambia kwamba I empathize with u, pili I've got both, good news and bad news. the good news is u have just started getting exposure to women that kind, the bad news is...trust me there is mooore to come. si umeingia tena kitabuni eeh? that means possibility ya kwamba utapata kazi nzuri zaidi kuliko ile ya awali ni kubwa sana kwaiyo magoldigger kama huyo aliyekuumiza watakuwepo msururu. so brother, beware of goldiggers! kwao hapendwi mtu inapendwa pochi. mwanamke asiyeweza kukuchukulia in ur ups and ur downs HAKUFAI!!! I repeat HAKUFAI!!! Beware of GOLDIGGERS!!!
Khasanete sana.
 
Hahaha, kwanza nikiangalia jinsi unavyopangilia mawazo yako na kuyaeleza inanionesha wewe ni mtu wa aina gani. Natamani kujua huko kwenye shirika la habari wewe ulikuwa uanafanya kazi gani, ama majukumu yako yalikuwa yapi coz hufananii kabisa. Inaoneka na wewe ni mtu very slow in mind, na huwezi kusoma alama za nyakati. Naomba nikuhakikishie kwamba huyo hakuwahi kuwa mpenzi wako, na isomeke hivyo. changamka kijana, dunia zaidi ya uijuavyo!! if you cant see in colors, then at-least see in black and white. !! Najua nitapata madongo humu jamvini sababu ya hii comment ila poa tu coz the truth needs be told no matter the circumstance, and at times criticism can be the best teacher. Kalaghabaho ng'wanawane, signature chini inajieleza!!
Khasante sana kwaushauri wako.
 
Teh teh teh,Nakuonea huruma bro ila inavyoonekana huyo alikukataa huko K'njaro kwakuwa hukuwa na kaz na huyo bwana anae na hakuna bikra hpo!
Hapana alikuwa naye na bwana yake na nilikuwa namjua kuhuhusu bikira sinauhakika hapo!
 
Everythng hapen 4 a reasn it waznt ur choice mshukur mungu na hvyo u gt a plan f being padri yawezekana baada ya kubadilisha maamz mung kakuandalia ki2 bt we ume rush utapata mwngn utampend mpka utadhan hujawah kupenda
Khasante kwa ushauri wako mzuri nawakunipa moyo Best.
 
pole sana ila shukuru mungu umeepushwa na mengi huwezi jua pengine ameathirika. Mshukuru mungu kwa yote na wala usimbembeleze mwache apiteee umri wako wa kuoa ukifika utapata mke tuu na wala sio mpenz wa kukuchezea
Khasante sana kwa kunipa ushaur wa kiroho..
 
Pole sana kaka, najua kupenda utapenda tena ila ukiingia kwenye mahusiano usijiaminishe asilimia mia.Lolote linaweza kutokea katika mapenzi.
Khasante sana,sasa nimejifunza hilo nasizani kama nitampenda mtu mwingine kama nilivyo mpenda yeye..
 
Back
Top Bottom