Sitaki kupenda tena..

i find this story very childish and funny at the same time..
ama kwa hakika kweli kuna wanaume na watoto wa kiume..
 
Pole sana best usijihukumu penda panapopendeka kumpenda mwanamke asiyekupenda ni sawa kupoteza muda umevumilia hata kiss hujaambulia umejitesa bure huyo alikuwa tapel angekufilisi taken care na hawa vijidudu wanawake
 
Huku kwetu watoto wa kiume wamefunga shule,
they have more time to interact on social forums
ahh Bi. Mwali bac huko Ushongo Mabaoni mnatisha..kila mwanakijiji anamiliki smartfone/ laptop..Urbanization inakua kwa kasi ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Huku kwetu watoto wa kiume wamefunga shule,
they have more time to interact on social forums

mbona bado hajakutana na mademu pasua kichwa..hapo yuko kwenye trela tu,movie haijaanza
 
dah pole sana,2yrs hata kuchumu hataki,kwel na wewe ulishikwa masikio na huyo demu
 
Pole sana Ringopet. Naelewa umeumia kiasi gani hisia zako haijalishi umri wako cos kama
Umeshafanya kazi maana yakr umeshakomaa.

Haupo peke yako wengi wetu tumepitia huko huko na bado maisha yanaendelea.

Ila safari hii jitahido umsahau na maisha yataendelea menhine utayapata tu. Jifanye umetoa sadaka na sadaka ni jambo jema utapata thawabu hapa
Na mbinguni. Kazi ni kwake

Kuwa makini manake soon utapata kazi uwe na vijihela utamwona huyo anajirudisha na samahani nyingi.

Hapo ndo itabidi uact kiume usikubali akuumize tena. Utampata mwingine anayekupenda kwa dhati
 
Last edited by a moderator:
aiseee hivi wanaume wa design yako wapo eeee??? miaka miwili no sex no kisssss! chezeiya visarata wa mtaa weye, cku ya kwanza mkono kwenye chuchu! puuuuuuuuuuuu!
 
pole sana kaka ila kiukweli kabisa huyu hakuwa wako na ulikuwa darasani sasa umehitimu hivyo apply kwnlg yako vyema.
Khasante sana na nimejifuza ukimpenda mtu usijiegemeze kwake akiondoka unadondoka na kuamka inategemea umedondokaje,ukimpenda mtu simama na miguu yako hata akiondoka hautetereki gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Thubutuuu!!!!...nani kakuambia hutopenda tena labda uwe umeondolewa kakikojoleo...
Mapadri wanawezaje?..,mimi nafikilia jambo la kuduu nikujiendekeza kama huamini ninda jeshini ukajionee miez 6 husikii hatahamu ya kuduu@Maswalala.
 
Tupa uko uta date vp na mwanamke choka mbaya anakugeuza kama mzaz wake tafuta mwanamke anaejiweza au anatoka familia bora si unakwenda kuowa sehemu hadi baba mkwe akikuona anataka kukusalimia au utasikia anasema karibu mzee wakat wew ni kama mtoto wake<refer manji na wazee wa yanga > madem wa uswaz pasua sana
 
Sitaki kupenda tenaaa...
Nampenz wangu ambaye nilitokea kumpenda sana tena zaid ya sana na mapenz yetu yalianza kama hivi,Nilipo kuwa secondary niliamua kuomba niende mkoa kilmnjr..kwa mara yakwanza kumsalimia bibi ndipo pita pita zangu nikakutana na mpenz wangu ambaye yeye ndiyo kwao nilitokea kumpenda sana na nikamtongoza bt jibu lake aliniambia anampenz natulipotezana mm nilirudi Dar yeye akabaki..
Miaka ikaenda nakwakusema ukweli tokea nilivyo kuwa mdogo nilipenda kazi mbili ya uwanajeshi na upradi so kama unavyo jua upradi hauruhusu mahusiano wakimapenz hivyo basi mpenz wangu alikuwa msichana ambaye niwakwanza kusikia hamuyakufanya mapenz naye.Nilibaatika kusoma chuo na kumaliza na kwavile najuana na watu nikapata kazi kwenye taasisi moja la habari kubwa linaandika habari za siasa maisha yakaendelea kwangu kuwa yafuraha na amani..
Miaka kama minne iliyopita mpenz wangu akaamia karibu na hom Dar alikuwa anakaa kwakaka yake alipanga nilipo muona nilifurah sana nakukumbushana mambo yamkoani nilipo mgusia kama msimamo wake umebadilika akaniambia bado basi tukawa marafiki wakushauriana vitu kama mambo ya masomo yeye alikuwa anarudia mtihani wa form4...
Kunasiku moja akanipigia simu nakuniambia anamaongezi na mm kwavile alikuwa na Best nilienda kumsikiliza akaniambia amemfumania mpenz wake live na mwanamke mwingine gest nilimfariji nakumpa maneno yafaraja kama frnd yangu maamuzi yake yalikuwa kuachana nampenz wake na nakatika maongez yake jamaa yake hajawahi kula tunda na yeye nibikira ndiyo sababu ya yeyejamaa yake kutoka na msichana mwingine kimapenz na alikuwa mtu wawapenz weng kama unavyo jua yeye alimchukulia kama dem wakuzugia tu!!.
ikapita kama miez mi5 hivi akaniambia anamaongezi na mm katika uonana naye akaniambia amenikubalia ombi langu na amekaa nakufikili sana ameona mimi nafaa kuwa mpenz wake mpya kwa vigezo vingi cha kwanza mpaka mda huo nilikuwa sina mpenz na mm nikamkubalia naakawa mpenz wangu wakwanza maisha yakaendelea...
mpenz wangu alikuwa anasoma chuo kimoja kikubwa tu!na ada alikuwa analipiwa kidogo kidogo mzaz wake alikuwa hanauwezo basi nikaamua kuwa namsaidia hela yakulipa chuo naatakayo pewa na mzaz wake iweyakujikimu nanikawa na majukumu kama nimeoa vile na chakushangaza katika mapenz yetu sijawahi hata kumkiss ukitaka kufanya hivyo anabadilika na mnaweza kugombana nami nikaamua kuwa mpole kwa vile nampenda tumedumu katika mapenz huu mwaka wa pili bila sex wala kiss..
anatabia yakugombana gombana hadi kufikia hatua ya kuvunja uhusiano hasa usipompa kitu alicho kuomba umnunuliye nimevumilia natabia hiyo kwa vile nilikuwa nafanya kazi na niliona nimoja yamajukumu ya mpenz...
Sahivi nimeamua kujiendeleza kielimu nakwavile masomo yanaanza hasubui nikaamua kuacha kazi so sina hela juz anataka nimnunu liyeblackberry{BB} hela sina na akiniomba hela hata ya vocha sina basi ameamua kuniandikia hivi 'NAOMBA MAPENZ YETU YAISHIYE HAPA SITAKI MASWALI WALA USUMBUFU WAKUPIGA SIMU'
nimejaribu kumpigia simu hapokei n txt hajibu Daah!Kweli Mapenz hayana mradi Poleni kwa kukuchosa niayangu nikukuelimisha yasije yakakutokea yaliyo nitokea mm coz sijaambulia hata kiss na nilitumika sana...
NB:KAMA HUNA MALENGO NA MTU ULIYEKUWA NAYE KWENYE UHUSIANO NIBORA UKAMWAMBIA KULIKO KUCHEZEA HISIA ZAMTU.

udomo zege umekuponza si kitu kingine. kwa mwanaume aliyemwoga wa kutongoza, anakubalina na kila aambiwalo na mtu anayehisi anampenda. By the way, katika dunia, hakuna UPENDO katika mapenzi, ni suala la hisia tu bro
 
wewe hilo ni daraja la kwanza umelipitia yanaweza yakaja hata mengine ma 5 mbeleni yote yakiwa ni mapito tuu na still ukaendelea kupenda,, sasa hivi unasema hivyo bcoz una maumivu makali moyoni bado,, sali Mungu akusaidie usahau na nina hakika utasonga mbele tuu... pole sana kwa yaliyokupata. i know what u are going thru...
Khasante sana kwa ushauri wako mzuri@Anne Maria.
 
nakumbuka machungu, na mm ilsha wai ntokea, toka daraxa 4 mpaka 4m6 ni wapnz nikaja achwa kiajabu ckuwai ambulia hata kiss..izo ni tabia za watt wa kchaga
 
aiseee hivi wanaume wa design yako wapo eeee??? miaka miwili no sex no kisssss! chezeiya visarata wa mtaa weye, cku ya kwanza mkono kwenye chuchu! puuuuuuuuuuuu!

hahahahaha cacico shemeji yangu nikupendaye sikuwezi kabisa! LOL
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha cacico shemeji yangu nikupendaye sikuwezi kabisa! LOL
jichekee mwaya shemeji! wana balaa nakwambia, wakikukuta mpole, cku ya kwanza anataka cku hiyo hiyo ajue veins zako nyingi zinaanzia wapi, na zinaishia wapi! lol!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom