Sitaandamana siku ya UKUTA

ngoshaboy

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
231
193
Ndugu zangu watanzania,

Kutokana na fikira zangu mwenyewe nimeamua kuwa sitatitia wito wa chama changu kuandamana September 1, na hii ni kutokana na kwamba je nikikamatwa na police nani ataniwekea dhamana? Pili familia yangu huko uraiani itaiishije na maisha haya ya supana mkononi na mimi ndo jembe la familia?
 
Ndugu zangu watanzania kutokana na fikira zangu mwenyewe nimeamua kuwa sitatiti wito wa chama changu kuandamana september 1, na hii ni kutokana na kwamba je nikikamatwa na police nani ataniwekea dhamana? Pili familia yangu huko uraiani itaiishije na maisha haya ya supana mkononi na mimi ndo jembe la familia?
dhamana ya nini ukikamatwa kwa kuandamana na UKUTA, wakati inaonyesha maisha unayoishi ni afadhali ya mfungwa anaye kula ugali maharage.nakupa ushauri wa bure siku ya kuandamana utoke na familia yote ilimkikamatwa ni wote,mkapumzike mkale ugali maharage bila dhamana
 
sisi wananchi wa kata fulani hatutaki maandamano yasiyo na tija tunataka maendeleo
 
Ndugu zangu watanzania kutokana na fikira zangu mwenyewe nimeamua kuwa sitatiti wito wa chama changu kuandamana september 1, na hii ni kutokana na kwamba je nikikamatwa na police nani ataniwekea dhamana? Pili familia yangu huko uraiani itaiishije na maisha haya ya supana mkononi na mimi ndo jembe la familia?
Kwahiyo??
 
Hongera kwa kujitambua,
Wanywa viroba wata andamana JF
Kwahio usiwe na wasiwasi
 
dhamana ya nini ukikamatwa kwa kuandamana na UKUTA, wakati inaonyesha maisha unayoishi ni afadhali ya mfungwa anaye kula ugali maharage.nakupa ushauri wa bure siku ya kuandamana utoke na familia yote ilimkikamatwa ni wote,mkapumzike mkale ugali maharage bila dhamana

Mlisha maliza kuandamana jf
Hongereni
 
Mwambie mkeo ndiye labda atapungikiwa na lolote ukikamatwa... Sisi tutaandamana kwa ajili yako, watoto na mkeo,... We ukae nyumbani umsaidie mkeo kulea watoto..... Mwanaume sio Kuwa na dushe, Kuwa mwanaume, ujitume, upambane kwa ajili ya wengine wasioweza..... NGARIBA HAOGOPI MKOJO...
 
Ndugu zangu watanzania kutokana na fikira zangu mwenyewe nimeamua kuwa sitatiti wito wa chama changu kuandamana september 1, na hii ni kutokana na kwamba je nikikamatwa na police nani ataniwekea dhamana? Pili familia yangu huko uraiani itaiishije na maisha haya ya supana mkononi na mimi ndo jembe la familia?
Woga wako ndio umaskini wako.....
 
Back
Top Bottom