Sitaamini wanawake tena than my mom

Pole sana naona alikuwa anakupiga mizinga wakati hana mpango na wewe.
Msahau tu uanze moja lakini sio wote walio kama huyo dada....
 
N i kisa cha kweli imenitokea leo.

Huyu binti, anasoma hapa katikati ya jiji,
mara kwanza nilikutana naye alikuwa amevaa kimtego, nikaomba namba akasema hana simu.

Hivyo tukawa tunawasiliana na simu ya ndugu yake nyumbani kwao, nikamnunulia simu ya ukweli ili tuwe hewani.

baada ya muda akanipiga mzinga kwa Pasaka nikampa, tukaonana, nikamtokea akakubali ombi langu.\

Kisa chenyewe

Baada ya kuona, ninaweza kumsaidia mambo madogo madogo, akawa ananipiga mizinga ya hapa na pale nikadhani ya kawaida. binti kila tumepanga kuonana anasema hana muda anaumwa.

Siku kadhaa rafiki yake akasema huyo demu ameibiwa simu hivyo anaogopa kuniambia, nimpe pesa yeye akamkabidhi ili akanunue simu.

Leo akasema hayuko chuo yuko nyumbani kwao ana birthday yake nikasema poa tumeet kwao akadai nisienda coz hakuna sherehe yoyote zaidi ya keki, hibyo anaomba pesa ya keki, sikukubali kama nitatuma....

tukawa tunachat na kusema hayuko chuo hivyo nimtumie pesa ya keki, mara ikaingia sms ikisema "niko chuo" (simu ya rafiri yake wa chuo anatumia yeye alishaibiwa niliyomnunuliwa kwa madai yake).

Mchana wakati natoka kwenye kikao nipo na gari nikamuona amesimama akitokea chuo, anasubiri gari yangu ipite ili avuke.... nikampigia simu nikamwambia uko wapi ili kuhakikisha kama yuko homu bado.

Akajibu niko nyumbani, siko chuo..... nikamwambia mbona nakuona unasubiri gari uvuke barabara.... simu ya rafiki yake ikakatwa... nikamtext ni shetani mkubwa ambaye sijawahi kumuona maishani. Akajibu Nikome kumwita shetani mimi na familia yangu ndiyo shetani.........

stori ndefu lakini hapo nimefupisha....nimefuta namba yake, na kuanza kumsahau kidogo ingawa mood ya kufanyakazi haipo kabisa leo.....

Sitaamini wasichana tena...... Nawasilisha

chezea sista du wa chuo cha katikati ya jiji weye??pole sana ila ulikosea toka mwanzo mtu hata hujamuaproach unaanza kumnunulia simu?ili akuone wa maana au?ulijiadvertize vibaya!
BTW wenzio hua wanahonga magari na nyumba na bado wanadanganywa..so case yako ni ndogo tu
 
N i kisa cha kweli imenitokea leo.

Huyu binti, anasoma hapa katikati ya jiji,
mara kwanza nilikutana naye alikuwa amevaa kimtego, nikaomba namba akasema hana simu.

Hivyo tukawa tunawasiliana na simu ya ndugu yake nyumbani kwao, nikamnunulia simu ya ukweli ili tuwe hewani.

baada ya muda akanipiga mzinga kwa Pasaka nikampa, tukaonana, nikamtokea akakubali ombi langu.\

Kisa chenyewe

Baada ya kuona, ninaweza kumsaidia mambo madogo madogo, akawa ananipiga mizinga ya hapa na pale nikadhani ya kawaida. binti kila tumepanga kuonana anasema hana muda anaumwa.

Siku kadhaa rafiki yake akasema huyo demu ameibiwa simu hivyo anaogopa kuniambia, nimpe pesa yeye akamkabidhi ili akanunue simu.

Leo akasema hayuko chuo yuko nyumbani kwao ana birthday yake nikasema poa tumeet kwao akadai nisienda coz hakuna sherehe yoyote zaidi ya keki, hibyo anaomba pesa ya keki, sikukubali kama nitatuma....

tukawa tunachat na kusema hayuko chuo hivyo nimtumie pesa ya keki, mara ikaingia sms ikisema "niko chuo" (simu ya rafiri yake wa chuo anatumia yeye alishaibiwa niliyomnunuliwa kwa madai yake).

Mchana wakati natoka kwenye kikao nipo na gari nikamuona amesimama akitokea chuo, anasubiri gari yangu ipite ili avuke.... nikampigia simu nikamwambia uko wapi ili kuhakikisha kama yuko homu bado.

Akajibu niko nyumbani, siko chuo..... nikamwambia mbona nakuona unasubiri gari uvuke barabara.... simu ya rafiki yake ikakatwa... nikamtext ni shetani mkubwa ambaye sijawahi kumuona maishani. Akajibu Nikome kumwita shetani mimi na familia yangu ndiyo shetani.........

stori ndefu lakini hapo nimefupisha....nimefuta namba yake, na kuanza kumsahau kidogo ingawa mood ya kufanyakazi haipo kabisa leo.....

Sitaamini wasichana tena...... Nawasilisha

Acha uchizi wewe, yaani unataka kuwa underestimate wanawake wote kwasababu ya hicho kimalaya kidogo chako?
Ulishindwaje kujua kuwa mwanamke wako kimeo tokea mwanzo? Didn't you notice something? mizinga kila siku?
Ain't fair to generalize only coz of that girl probably anasoma IFM or CBE..! kudadadeki ulipatikana arifu:glasses-nerdy:
 
Hatari sana weye, siku nyingine msifanye hiyo kitu ni mbaya. Mnawez mkapigwa mvua nyingi.

umeamini mimi mtoto ya mjini na jana usiku kapiga tena simu anaomba hela ya Hospital nikamwambia mimi nina hela ya kunywea bia na kula mbuzi kama vipi twende zetu, hii Operation ni Komesha vicheche na akijipendekeza safari hii atapigwa mpaka T.igo...
 
so sad... akina dada wanacompromise integrity yao kwa ajili ya pombe...

hawa wadada sometimes wanakua wapuuzi halafu kwa upande wangu mimi hua sishobokei mashoree kabisa lakini kama ukikutana na type za wachunaji kama hao ni kuwalia timing tu na kuwatia adabu, kwani kama akija na kueleza shida yake utashindwa kumtoa? lakini wadada huwa wana ile hali ya kujifanya wanataka kuishi maisha ya level ambayo sio yao ndio maana wanaishia kumegwa na kupigwa picha za uchi, angalia kwenye blog ya Mzeewasupu ndio utaamini mademu kibao ni wanavyuo lakin tamaa ya Pombe, Pamba na simu kali ndio wanajikuta wanaishia kwenye aibu kama ile, halafu huyo mdada baada ya miaka kumi anakuja kugombea Ubunge au Uongozi wakti tayari huku nyuma alikua na tabia ambazo hazifai
 
Pole jamani..lakini wasichana wa maana mbona bado wapo wengi tu..ila ulikuwa na haraka ya kuhonga na wewe..halafu mimi naamini simu anayo sana ila ilikuwa ni njia ya kukuchuna na kutomsumbua akiwa na mpenzi wake wa kweli ukamletea balaa..
 
pole sana kuna mmoja apo juu amenifurahisha jina lake kama sikosei NDETIRIMA "amesema mshahara wa dhambi ndio unavyo kuwa" but namuongezea kidogo ni apa duniani tu hiyo lakin sio mwisho wa mauti bcz after mauti kuna mengine ,, mm nakupa pole but bcz mm sipendi kukatisha tamaa ,ila why ? nia yako juu ya uyo shore wa mjini unaijua ww mwenyewe , kama kumuoa au kummega kama munavyo sema wanaume ,, ila umefanya haraka ya kumuhonga,, but dont worr huwezi kufanikiwa kama hujapata tabu ,, try again but kuwa mkono wa birika mara hii kwanza uangalie itakuwaje ,,. LOL
 
Ndugu yangu pole kwa hasira amabayo hukutakiwa hata kuwa nayo. Kwanza kabisa mawasiliano na yeye invyoonekana ulilazimisha. Hukumpa na yeye kupata muda ya kufanya uamuzi. Labda ndio maana alipoendelea kuwa na wewe akagundua kuwa humfai. Na pengine alikuwa tu anatafuta namna ya kuachana na wewe. Kwa yeye kutokukupenda haimaanishi kuwa umchukie na kumuita Shetani. Ina maana angezidi kukupenda angekuwa malaika sio! Jamani tusiwalazimishe wakina dada watupende hata kama chaguo sio lao. Wapeni nafasi wafanye maamuzi na wao.
 
Back
Top Bottom