Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sita wakawama kwenye lift mwalimu house

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Renegade, Jan 20, 2011.

 1. R

  Renegade JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Watu Sita wamekwama kwenye lift katika Jengo la Mwalimu House, Jitihada za kuwaokoa zinaendelea.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 31,261
  Likes Received: 5,824
  Trophy Points: 280
  jengo gani hilo? mambo ya umeme nini na joto hili balaa
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,194
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tatizo nini?Mgao?
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  jengo la walimu ilala boma, hali ni mbaya, manaake generator haifanyi kazi, fire wamefika wanashindwa kufanya lolote, na kibaya zaidi walivyojaribu kuwasha generator betri yake chaji iko chini, na hawajui lift iko wapi? Chini au juu.
   
 5. R

  Renegade JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  yap , ni mgao wa umeme tu.
   
 6. S

  Shauri JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mliokataa chadema kazi kwenu jk hawezi kitu,mawaziri kibao lakini hamana lolote?
   
Loading...