Sita.....lowasa.....mwakymbe.. ...nape.....membe.......!!!!!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Toa maoni yako: Kama kweli CCM inadai inamshikamano je watu hao wanaweza kukakaa kwenye kamati moja?
 
usisahau kwenye siasa hakuna maadui au marafiki wa kudumu kuna maslahi ya kudumu! hao waweza kukaa pamoja tu provided maslahi yao yanafanana!! Raila na Kibaki walikuwa mahasimu wakati wa uchaguzi wa kenya wakasababisha zaidi ya watu 1000 wakafa na wengine maelfu kupoteza makazi au kujeruhiwa vibaya lakini leo hii mmoja ni rais mwingine waziri mkuu wanaobngoza serikali moja!!
 
Back
Top Bottom