sita kwa sita...!

Wabongo tunapenda kurukiana jamani..........yaani kutajwa kitanda tu watu wote tumeenda kwenye kurukiana.............hivi niwaulize swali...........kati ya kitanda na tendo la kurukiana, ni kipi kimeanza kuwepo kabla ya kingine?
Inategemea na tafsiri ya kitanda kwako ni ipi.Lakini vyote vilikuwepo na vinaenda simultaneously.
 
the beauty about 6 by 6, ni kuwa i get to stretch and sleep upside down, vertically diagonally etc... yaani acha tu maraha!!
 
Back
Top Bottom