Sister, Malaya! I Salute You

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Sister Prostitutes,
Wherever you are,
I salute You
Wealth and Health,
To us all.

Hold your heads High,
My sister,
The entire arena of the night and day,
Is yours ............

Walk softly like a cat, My Sister,
But ready to wield,
The deadliest stroke,
With your Smile!

The open simple Smile; For the egg-headed scholar.
The hot devil Smile; For the priests and their kinds.
The cool confident Smile; For the faint-hearted and the unsure.
The innocent infant Smile; For the fatherly and the senile.
The pious shy Smile; For the thieves and the diseased.
The poverty-stricken Smile; For the pot-belled rich.
The haughty deceitful Smile; For the politicians and robbers.
The girlish foolish Smile; For the schoolboy and the middle -aged nit-wit.
The frozen secret Smile; For the dark-suited simpleton.
The quick winged Smile; For the chief messenger and reporter.
The fearful savage Smile; For the poor white bastard.
The monkey town Smile; For the opportunist get-rich-quick.

Sister Harlots,
Wherever you are,
Wake up,
Wash up.

Sister Wh*res,
Wherever you are,
Come out.

Sister Prostitutes,
Wherever you are,
Listen to the call,
Loud.......clear

Sister Malayas,
Wherever you are,
Wealth and Health,
To us all.

Source: Okot p'Bitek (1971) Two songs; Song of a Prisoner. Song of Malaya. East African Publishing House. Nairobi. 183p
 
eeeeee MAPYA! MAPANA! MAKUBWA! Bazazi goodmorning, lol! kwema huko ukotokako?
 
Last edited by a moderator:
eeeeee MAPYA! MAPANA! MAKUBWA! Bazazi goodmorning, lol! kwema huko ukotokako?
cacico! what is good about this morning? Huku kwetu kwema, natokea kona bar kuwasalimia malaya wote. Niliyoyaona kwa kweli nikamkumbuka Okot p'Bitek, Nikaamua kuwasalimia wote kwa ujumla wao. Hivi cacico unajua kuwa umalaya ni biashara nzee zaidi duniani. Sio dini wala ustaarabu uliofanikiwa kuifuta?

Sister Malayas, I SALUTE YOU!

Bazazi!
 
by the way u are absolutely right! hii business ilianza kitambo sana, na haiwezi kufa coz ipo pabaya sana! ipo kwenye tunda lenyewe haswaaaaaaa! lol! hivi l.e.s.b.i.a.n.s. nao huwa wanakaa corner bar???
 
hivi l.e.s.b.i.a.n.s. nao huwa wanakaa corner bar???

Hao sijui cacico, ila mitaro ya maji machafu ipo mingi tu. Karibu.

Sister malayas,
Wherever you are,
I salute You!

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
kuwa na adabu bazazi tuheshimiane ... edit huo ***** wako hapo usipende kuniudhi mimi sipendi ugomvi na mtu
 
Bazazi, umekuja na stail mpya ila napata hisia kuwa ulikuwa chobisi ukila chabo juu ya hi biashara ila kuna kitu umesahau walikuwa wanawauzia akina nani? yaani nani alikuwa ananunua hizo K?

Je wachuuzi wataitwa sister malaya, wanunuzi wataitwaje?
Smile relax na sidhani kama alikusudia kuku insult kwasababu ilivyokaa haijakaa kama nomino bali imekaa kama kitenzi kwa kuangalia fasihi manjonjo ya kukumention pia hayajaweza kubadili maana halisi ya fasihi iliyokusudiwa ili kukuletea sura tofauti, nisamehe sana kama nitakuwa nimeusemea moyo,and namuomba tu Bazazi aedit ili uwe na amani.
 
unaona hawa wanaume walivo sis eeeh ..wanapenda ugomvi ...asubuhi asubuhi mtu ananitaja kwenye umalaya mimi? mimi bikra na umalaya wapi na wapi...kaniudhije hata sili leo
 
unaona hawa wanaume walivo sis eeeh ..wanapenda ugomvi ...asubuhi asubuhi mtu ananitaja kwenye umalaya mimi? mimi bikra na umalaya wapi na wapi...kaniudhije hata sili leo

relax darlin lito sis Smile, he was just teasing and it seems that @bazai missed you a lot so he was just calling to get your attention. and he won. Leo ule bebii sema chochote kile nikupikie wewe ni mdogo wangu wa moyoni nitakuandalia na kukulisha mtoto mzuri smile...........pia kumbuka mtoto mzuri kama wewe huwa hasusi ma dia. Nakupenda just think gfsonwin loves you and she is there to assist you. please usiboreke.............lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama wanawake mnawaita malaya ,kwani wanakuwa wanatembea na akina nani .Mbona majina mnawapa wanawake tu !!!Mimi sipendi na sipendi kabisa mnazidi kuwadhalilisha jinsia hii kwana wanasagana !si wakuwa na wanaume .Sasa natangaza MKOME NA MKOME kuwasema sema wanamama vibaya
 
by the way u are absolutely right! hii business ilianza kitambo sana, na haiwezi kufa coz ipo pabaya sana! ipo kwenye tunda lenyewe haswaaaaaaa! lol! hivi l.e.s.b.i.a.n.s. nao huwa wanakaa corner bar???
cacico nakukubali miaka 800... popote ulipo!hadi kwenye bible inatajwa kuwa rahabu alikuwa kahaba,na yule aliye mpaka Yesu mafuta miguuni kwa nywele..... kahaba.so ni kweli ni biashara nzee!
 
Wanamama ndio chanzo cha umaskini kwa mambo yao.wanaleta laana mwanamke hata awe na Phd anaweza kuvuliwa kaguo kake na mtoto wa miaka16 sasa inamaanisha nn kama unapinga sio.prostitute
 
Wanamama ndio chanzo cha umaskini kwa mambo yao.wanaleta laana mwanamke hata awe na Phd anaweza kuvuliwa kaguo kake na mtoto wa miaka16 sasa inamaanisha nn kama unapinga sio.prostitute

mamako ni mwanaume eti?
 
Nawasalimia Wanawake Malaya wote wa Kona Bar Sinza.

I salute
 
Back
Top Bottom