Sister Du aambulia aibu ya mwaka!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Sister du mmoja alikuwa dukani akichagua vidani vya dhahabu vya aghali.
Sasa katika kuinama,ghafla akaachia ushuzi!
Kuangalia angalia pembeni akamwona muuzaji.
Ile kuvunga,akamuuliza muuzaji,"Samahani kaka,hiki kidani sh. ngapi?"
Muuzaji akamjibu,"Kukiona kidani tu umejamba,sasa nikikutajia bei si utaharisha kabisa?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom