Sista du aambulia aibu ya mwaka...loooo!!!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Sister du mmoja alikwenda kwenye duka la dhahabu kujinunulia mkufu wa dhahabu.
Katika kuchagua dhahabu akajishtukia amejamba!Kwa aibu ikabidi ageuke nyuma kuona kama
kuna mtu amemuona.Kuangalia nyuma akamuona muuza duka;ikabidi ajibaraguze.Mazungumzo
yao yalikuwa hivi:

Binti:Samahani bro;hiki kidani ni bei gani vile?
Muuzaji:Kama kukiona tu kidani umejamba,sasa nikikutajia bei si
utakunya kabisa??????????!!!!!
 
hpy bthday mkuu.. party jacaranda sehem gan.!??
 
Duu mwenyewe nadhani washamkameroon ndo maana breki zina jam
 
Muuzaji ni muhindi, akamwambia..vevee acha maneno vevee, kuishika iko jamba humu, kikupa bei si utakunya...
 
Dah.., ukichoka peruzi jf, utarudia hali yako!! Hapaishi vituko hapa mahali!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom