Sista do niliyemwona leo mmmh!

MHH ST IVUGA MBONA LEO ...umeenda mrama babawatoto?
theme ya post ninin?

1.umepanda daladala na duu leo?
2.unajuta aukuchukua namba
3.unashangaa sista duu ata maji anaomba msaada wa kufungua?


iweje umewamisi masista duu jaman wakat unao mtaan ?
au upo ugaibuni ndo ukawamisi maduu wa bongo?
Tufamiane binti mzuri naomba kujua age na mahali ulipo
 
Sasa unashangaa sista duu kakuomba kufungua chupa ya maji, je leo kule visiwani si vidume vingekuomba uvivunjie biskuti! Naona ungetoka mbio na usingefika kituoni kwako. Na kesho yake akikuona atakuuliza ' ndio umenifanya nini jana'
 
Mtakatifu, kilicho kustua ni Ipad au kushindwa kufungua maji? Mbona hata hause girl wetu anayo huwa anaitumia akimaliza kazi zake. Inawezekana akawa ndio yeye mkuu.
kweli hii ni chit chat.
 
Hata kama ndio wa kidosi si ungemuimbia japo ule wimbo wa Kuchi kuchi hotahee angekuelewa tu
 
MHH ST IVUGA MBONA LEO ...umeenda mrama babawatoto?
theme ya post ninin?

1.umepanda daladala na duu leo?
2.unajuta aukuchukua namba
3.unashangaa sista duu ata maji anaomba msaada wa kufungua?


iweje umewamisi masista duu jaman wakat unao mtaan ?
au upo ugaibuni ndo ukawamisi maduu wa bongo?
nilipopigia mstari hapo...hujashtuka nipo JF 24 hrs.. bila mgao wala chenga
theme ya post huijui jamaniiii?...some time inabidi tuwe tunapeana matukio live bila chenga sio kila siku matatizo tu , ndoa sijui huyu kasikwa ugoni... mimi nitakuwa nawapa vitu vya kutoka mbele live bila chenga ... some time nitawarushia hadi picha
 
Mtakatifu, kilicho kustua ni Ipad au kushindwa kufungua maji? Mbona hata hause girl wetu anayo huwa anaitumia akimaliza kazi zake. Inawezekana akawa ndio yeye mkuu.
kweli hii ni chit chat.
ipada haijanishtua .. nimependa tu jinsi sista du alivyoona miyeyusho kufungua chupa ya maji..nimemfagilia lakini ...
 
Leo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu yangu.. kiti cha pembeni kulikuwa na bonge ya sista do,na alikuwa ametupia vitu vya ukweli amekaa amepakata i pad anabrowse na chupa ya maji mkononi.. baada kama ya dk 5 hivi sista do akajaribu kufungua ile chupa yake ya maji kisista do akaiona kama vile ni ngumu kidogo ... nikawa namwangalia ...bila ya kusita akaniomba nimfungulie na mimi bial ya hiana nikaifungua nikamrudishia....kituo kilichofuata nikashuka nikamwacha sista do wa watu akaendelea na safari zake.. nimempigia hii stori mwana wangu mmoja ananiambia ningechukau namba ya huyu sista du ila kiukweli jambo nililofanya la kutochukua namba na kuendelea na mambo yangu ndio naona ni uamuzi mzuri kwangu...vipi masista du wetu wa bongo? soda ya chupa wanafungua hadi na meno
hahah....nawapenda dada zetu wa kibongo na nawa miss

yeap! when you want to shoot, shoot don't talk!!
 
..mie nilishampa mbinu..ST IVUGA..ya kumpata hy binti..kwakua walikaa siti moja..sura c anaijua.?yeye amtafute kwenye facebook..au twitter naamini atafanikiwa hukoo
....
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom