Sisi wakazi wa dodoma tuwajibike kwa nani?

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
462
386
kuna kitu kinaitwa CDA na kuna kitu kinaitwa manispaa sasa yupi kati ya hawa wawili anahusika na ugawaji na upimaji wa viwanja coz unaweza ukanUNUA kiwanja chini ya CDA na ukaporomosha kitofali at the end of the day manispaa wanakuja kuiweka X nyumba yako

au unaweza kununua kiwanja chini ya manispaa CDA wakakwambia ubomoe

so kwa yeyote mwenye kufahamu naombeni kueleweshwa zaidi kuhusu kazi za kila mamlaka (CDA vs manispaa) maana naona hakuna separation of duties kati yao#
 
Back
Top Bottom