Sishangai

Kwayu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
499
92
Sishangai kwa namna yeyote ile kuona wabunge wa CDM wakishambuliwa na wabunge wa CCM pamoja na washirika wao CUF,NCCR, TLP UDP. Kwa tathmini ya harakaharaka ni kwamba wakati graph ya Umahiri wa CDM ikipanda kwa speed ya ajabu, vyama vingine vyote vimekuwa vikishuka na vingine kubaki pale pale walipokuwa.Hofu yao kubwa ni kwa CDM kuendelea kutwaa umaarufu na kukubalika kwa jamii kama ilovyo sasa. Kwa vyovyote vile ni lazima cdm wapigwe vita kwa namna yeyote ile.
 
Siku zote mwembe wenye matunda ndo hurushiwa mawe,
na mwembe usiozaa ni wadudu tu hamna hata kugusa jani lake
 
Back
Top Bottom