Sirudi nyuma

malila hongera na ahsante ku-organize hiyo chai.

Tujipongeze wote mkuu,kwa sababu ulifika na kujionea,bila shaka mwanzo ni mzuri. Basi kesho nitawapa sumary ya chai day kule kule tulikokubaliana tukutane.
 
Kilimo Kwanza ni SiHasa, ni usemi tu wa wataalamu wa kuunda sera za kisiasa na kulima kwenye madaftari,89% ya pesa zitaliwa katika expert /tecknikal support,facilitation,mahotel ya bagamoyo na kununua magari,na matangazo,
last month nnilikuwa naenda rufiji,kutokea mkuranga mpaka rufiji kila baada kilometa 5-11 kuna bango la kilimo kwanza,ina maana kuna kampuni imepewa tenda ya kuweka matangazo,na ukiuliza utakuta kila bango limegharimu laki 5.
kilimo cha JF members ni salary Supported/fund muulize MALILA na wengineo,wote wanaplan kununua ,kufyeka,kulima na kupanda kwa kutumia mishahara na pesa kutoka ktk vyanzo vingine na sio from some mfuko wa serikali.
mfano mfuko wa pembejeo ,ukionyeshwa waliokopa,utajua ninachosema,asilimia kubwa ni wanasiasa or watu wa kiribu sana na wanasiasa na viongozi,na wote hamna aliyemaliza kulipa pesa,wanadaiwa.
so kanyagio,wise up,and join the crusade of malila and co,
karibu ktk chai meeting to be held soon,in DAR

Well said,
Jumapili nilikutana na mkulima mmoja ambaye ni rafiki yangu,yy analimia wami,akasema orodha ya waombaji wa fedha hizo inajumuisha zaidi walewale wa siku zote. Na wana-plan za ajabu,at the end fedha zitakwisha na hakuna maelezo.

Lucky enough,Kanyagio joined us at Lunch time Hotel for chai day. Ili kupata hizo fedha unahitaji uvumilivu sana,ila zipo.
 
Ogah my friend am not that much deep..lakini niko njiani kuelekea huko Mungu ni mwema.......

Kuhusu maeneo yaliyotengwa yes yapo lakini kuna contradictions nyingi sana katika policies zetu so harmonization is of paramount....

Kubwa na lakuhofu ni enforcement ndo tatizo letu kubwa. Kwa uzoefu wangu mdogo wananchi vijijini wana feel impact ya environmental degradation kuliko mijini lakini poverty na ignorance inawa betray and have no choice other than kuendelea kuharibu hata kama wanaona wanachokifanya kina madhara kwa environment. Malalamiko yao makubwa ni kwamba hawako informed and so dont know how to save their environment.

Nilienda kijiji kimoja kinaitwa kikwawila wanasema ilibidi kijiji kizima ki abandone eneo walilokua wakilitumia kwa kilimo kwa maana hawapati kitu hata kwa kutumia mbolea. So wakasema wameamua kuhamia bondeni maana kule milimani wamepa conserve kwaajili wanaogopa kukata miti and so kwa vile kule bondeni hakuna miti so wamegawa mashamba kule... Was about to cry and had nothing to say look at how ignorant they are on environmental issues; to them conservation means planting/no cutting of trees....

Then they continued saying mwanzoni walikua wanapata shida kwani maji yalikua mengi sana lakini sasa afadhali baada ya kulima kwa muda maji yamepungua so they are now getting something..Imagine hawajui kwamba hiyo ndo destruction yenyewe ndo maana maji yamepungua and to them its afadhali.... Its terrible!

Well this is the very place which is ratified as Ramsar site....means wise use application is demanded..Lakini the question is what is wise use to the poor person? Leaving his children dying of hunger for the sake of environment?

Lakini wapo ma researcher wengi tu tena wenye elimu ya ajabu humu humu nchini kunizidi mara mia mimi; wenye uwezo wa kuleta ufumbuzi wa matatizo ya hawa watu...Watafikaje huko bila resources? Wako busy na kuangalia baada ya kupoteza muda wote nakua nyuma katika social issues sasa wanaangalia jinsi gani wata ziba hiyo gap maana anaelewa maana ya elimu so kumwacha mtoto wake apotelee kwenye ujinga yeye yuko busy na watu wengine is this possible?

Sasa ninachojiuliza wanasiasa huwa hawapati hizo information and if wanapata hawajui wataalamu wako wapi? Wakati mwingine najiuliza maswali mengi nakuishia kufanya lile naloweza na mengine kuyapeleka kwa Mungu kwanjia ya maombi....

Think of what is happening to Lake manyara; sijui kama hata kuna models za kujua what is the sedimentation rate ya hilo ziwa per minute... Lakini wapo wataalamu wa udongo, Climatology, hydrology, Ecology, environmental economics you name it wa hali ya juu wanatumika na mataifa yanayoendelea kwenye research zao tena kwakutumia samples za tz.... Hakuna mtu wakuwapa resources wafanye multi disciplinary research na kuja na long lasting solutions. Ziwa Victoria ndo hilo limekua source of livelihoods kwa some of academicians but no permanent solution... watoe majibu walogwe watakula wapi? Police? Na hata wakitoa who cares matokeo yana pamba CV za watu tu huku Ziwa likiendelea kukauka taratibu......

Matukio ya Kilosa tumeyasikia sijui solution yake ni kuwapa misaada wanachi bila kujua kwamba wetlands are very much degraded there; some of them are converted into other uses such as crop cultivation and habitation no alternative wetlands constructed na sijui kama resources zitatolewa kufanya scientific researches za uhakika ili kuja na permanent soulutions. Tena washukuru wamaasai kwa kuwatunzia baadhi ya wetlands zao vinginevyo hizo flooding ndo zinge kuwa oder of the day lakini kwa kutoelewa wanataka kuwahamisha ili wafyeke yale mapori waendelee na kilimo maana ardhi yakulima haitoshi...

Well said Felister,

................enforcement ni tatizo kubwa sana hapa nyumbani......how to deal with it....its another topic...........

........anyway..........what about Land Use Master Plan ya sehemu mbali mbali Tanzania..............Kila Mkoa ilitakiwa iwe na Land Use Master Plan........sina hakika kama hili jambo lipo...................kama zipo basi akina Malila hawatakuwa wakiingia kwenye maeneo kiholela.........well....back to enforcement...............

..............Yes Mafuriko Kilosa............linatakiwa kuwa fundisho kwa upande wa Ku-protect mazingira............lakini wapi...........hatujifunzi!!..........zile degraded wetlands............can't they be restored?............
 
Bongo ni tambalale kabisa,kila kitu ni paperwork mkuu. Andika,present,kula posho kisha weka kabatini unasubiri Mkukuta II bila kuangalia Mkukuta I ulikuaje. Nashukuru sana dada Felister kanihabarisha kitu safi sana,hata kama jamaa wamelala kwa sasa lakini nimechukua hatua za kukwepa. Till then jumapili njema.
 
Sina fedha,sina Godfather wala hati ya nyumba/shamba ila nina kitu kimoja tu kinachonitia moyo,yaani ki-saikolojia ninaamini kuwa nitakuwa settler hata kama si wa kiwango cha kutisha.Kuna members humu wana michango ya maarifa please nipeni na mimi nitawarudishia feedback hapahapa jamvini.

bila shaka wana jamii tunazidi kusonga mbele!!!... tuzidi kutiana matumaini...
 
Muone huyu naye! Anatamani kuwa setla!! Yaani unatamani ubwana ili uwe na watwana chini yako. Mtu yeyote aliyejikomboa kifikra hatamani kuwa setla bali anatamani kuwa mshiriki wa maendeleo na si bwana wa kuabudiwa. Achana na usetla. Chagua kilicho bora katika maisha. Jichanganye na raia wenzako, toa mchango wako wa maendeleo, chapa kazi kwa bidii, utayabadili mazingira yako na kuwa mahali pema pa kuishi si wewe tu bali jamii nzima. Huo nidyo utu na heshima. Usetla hauna tija kwani ni ukandamizaji, unyanyasaji, ubaguzi wa kimadaraja (kimapato), ulimbukeni uliojaa majivuno na kujiona.

Oh, oh!
Wewe usimkatishe tamaa mwenzako.
Malila, tupo pamoja kaka. Mi' mwenyewe nafuatilia umiliki wa shamba KITERE - Mtwara Vijijini ili niweze kuweka kidogokidogo ng'ombe wangu wa maziwa, nyama, mbuzi, kondoo, kuku, bata n.k pamoja na kilimo cha umwagiliaji.
Professionally, I am a MEDICAL DOCTOR (MD degree holder from Muhimbili University College of Health Sciences); currently working with Eizabeth Glaser Pediatric Aids Foundation - EGPAF, as a Program Officer, Prevention of HIV transmission from Mother to Child (PMTCT) and Care and Treatment (C&T) in Mtwara. Tatizo wabongo wengi tunasoma ili tuajiriwe badala ya kusoma ili tuajiri watu - kiukweli mwanzoni unaweza usiepuke kuajiriwa ili upate kamtaji na experience.
Kuna vitu vya muhimu vitatu vinahitajika katika business: IDEA, CAPITAL and EXPERIENCE - lakini pia huhitaji kuwa navyo vyote vitatu. Muhimu kuliko vyote ni IDEA vingine utashirikiana na watu either kwa kuingia ubia nao au kwa kuwaajiri.
Mimi nina lengo la kuwaajiri watu. nitawalipa pesa nitakazoona zinawezekana kulipa, mtu akiona hazimlipi aache kazi- kama anafanya vizuri tutajadili. Kama hutaki kufanyishwa kazi na mtu basi fanyisha na kama huwezi kufanyisha UTAFANYISHWA, upende usipende, utakula alivyovitafuta nani?!!

Malila, DON'T GIVE UP!
GET RICH, OR DIE TRYING!
FEAR OF FAILING IS THE REASON FOR FAILURE

''The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall.”

Lakini nadhani, ulikuwa unatania kwa kumkatisha tamaa Malila, otherwiswe:
''It's a sad thing not to have friends, but it is even sadder not to have enemies''
 
Oh, oh!Wewe usimkatishe tamaa mwenzako.

''The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall."

Asante kwa kunitia moyo bro,
Niko mbali ningekupa hi ya mkono,ila nakutia moyo juu ya mawazo yako ya kuanzisha shamba kubwa lenye tija. Hata mimi nimeajiriwa mahali fulani,lengo nikamilishe vitu fulani kisha nitimke na kuendesha kilimo kwa scale kubwa.:A S shade:

Wabongo ni watu wa ajabu,tunachekelea na kuona fahari mtu wa nje akifanya mambo makubwa ndani ya nchi yetu,ila mzalendo akianza kufanya mambo makubwa basi vikwazo,kukatishana tamaa,kuhujumiana nk kunakuwa mbele.

Nakushukuru Babu yao kwa sababu umeongeza speed yangu ya kusonga mbele. Wengi wamenitia moyo nawashukuru sana. Angalia hapo pekundu.
 
Where are you with this Malila?

Mkuu nilitaka kupiga chenga kukujibu,
ngoja niseme kwa ufupi, nimefanikiwa kupata na kufikia malengo niliyoweka. Cha ajabu nilipokutana na mjf mmoja ambaye anafanya ninachofanya, nikagundua kuwa mimi niliweka malengo ya chini sana nikijilinganisha na huyu jamaa, yy ana nguvu kubwa lakini ana upendo wa ajabu kwa wanaotaka kufanikiwa kama yy. Huyu jamaa alinifanya nikae kwake masaa matatu akinikatia uzoefu na njia halali zilizo wazi ili walau nisogee zaidi.Kwa kukutana kwetu mimi nimechota zaidi kutoka kwake na sasa nasonga mbele. Nimefanikiwa sana na nina mshukuru Mungu ila sijaridhika kwa sababu fursa ya kufika mawinguni bado iko na inaniita.
 
Sijui ni lini utanipa namba katika hii timu yako Malila, Otherwise wewe ni mmoja wa members walio ni-inspire sana kuingia katika kilimo, niliingia mwaka jana kwa kulima tikitimaji, na matunda yake ninayaona hivi ninavoandika hapa mzigo upo sokoni, naingiza siku. Nitatoa mrejesho baadae.
Watanzania tufanye kazi tuache blah blah, majungu, kukatishana tamaa, n.k. Hizi stori kwamba majirani zetu katika EAC wanatamani ardhi yetu ni kwa sababu tu wanaona sisi tumelala, ndio ardhi tunayo lkn tumelala tena fofofo. Tuamke jamani
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni lini utanipa namba katika hii timu yako Malila, Otherwise wewe ni mmoja wa members walio ni-inspire sana kuingia katika kilimo, niliingia mwaka jana kwa kulima tikitimaji, na matunda yake ninayaona hivi ninavoandika hapa mzigo upo sokoni, naingiza siku. Nitatoa mrejesho baadae. Watanzania tufanye kazi tuache blah blah, majungu, kukatishana tamaa, n.k. Hizi stori kwamba majirani zetu katika EAC wanatamani ardhi yetu ni kwa sababu tu wanaona sisi tumelala, ndio ardhi tunayo lkn tumelala tena fofofo. Tuamke jamani
Asante Kivuma,Naomba usirudi nyuma, songa mbele. Anza kufikiria kulima na kusindika mazao yako na ya wengine, hata kama itachukua miaka, lakini weka nia. Tembelea viwanda vidogo vidogo vya usindikaji ili vikutie moyo, pitia mashamba ya mfano ili ujengeke vizuri, siku moja unaweza kuja kulisha wilaya yako, kama si matunda, yawe maziwa,kama si unga basi iwe mpunga.
 
Last edited by a moderator:
mkuu malila nakumbuka uliwahi kuja na uzi wenye title ya nimeamua kulima mara ya pili ambapo ulisema umefanikiwa kulima na kununua heka 100 sasa leo umekuja na mwingine unaopingana na ule kwa kusema kuwa hauna ardhi au unamaanisha nini
 
Mwenye uzi wa KULIMA MARA YA PILI sio mimi ni mkuu EL NINO. Mimi nilikuwa mchangiaji ktk uzi ule, na hakuna nilipowahi kusema nimenunua eka mia mkuu. Kwa uzi huu wa SIRUDI NYUMA, ni kwamba historia yake ni kwamba, nilipoonja mafanikio kidogo ya kilimo nikajisemea moyoni SIRUDI NYUMA lazima niwe settler hata kama ni kwa kiwango cha chini. Nasisitiza sirudi nyuma kwa sababu ardhi ipo nyingi tu.
 
Nimejikumbusha vya kutosha, tumetoka mbali, vikwazo ni vingi, mafanikio machache, lakini hatujakata tamaa, tunasonga mbele kwa nguvu zote. Hakuna kurudi nyuma!
Wakati ambapo hatukuwa na cha kutuunganisha, leo kipo, hatukuwa na cha kuonesha, leo kipo, kama ni mtoto, basi anatambaa.
Mungu na azidi kutuangazia njia sahihi.
 
Oh, oh!Wewe usimkatishe tamaa mwenzako.
Malila, tupo pamoja kaka. Mi' mwenyewe nafuatilia umiliki wa shamba KITERE - Mtwara Vijijini ili niweze kuweka kidogokidogo ng'ombe wangu wa maziwa, nyama, mbuzi, kondoo, kuku, bata n.k pamoja na kilimo cha umwagiliaji.
Professionally, I am a MEDICAL DOCTOR (MD degree holder from Muhimbili University College of Health Sciences); currently working with Eizabeth Glaser Pediatric Aids Foundation - EGPAF, as a Program Officer, Prevention of HIV transmission from Mother to Child (PMTCT) and Care and Treatment (C&T) in Mtwara. Tatizo wabongo wengi tunasoma ili tuajiriwe badala ya kusoma ili tuajiri watu - kiukweli mwanzoni unaweza usiepuke kuajiriwa ili upate kamtaji na experience.
Kuna vitu vya muhimu vitatu vinahitajika katika business: IDEA, CAPITAL and EXPERIENCE - lakini pia huhitaji kuwa navyo vyote vitatu. Muhimu kuliko vyote ni IDEA vingine utashirikiana na watu either kwa kuingia ubia nao au kwa kuwaajiri.
Mimi nina lengo la kuwaajiri watu. nitawalipa pesa nitakazoona zinawezekana kulipa, mtu akiona hazimlipi aache kazi- kama anafanya vizuri tutajadili. Kama hutaki kufanyishwa kazi na mtu basi fanyisha na kama huwezi kufanyisha UTAFANYISHWA, upende usipende, utakula alivyovitafuta nani?!!

Malila, DON'T GIVE UP!
GET RICH, OR DIE TRYING!
FEAR OF FAILING IS THE REASON FOR FAILURE

''The revolution is not an apple that falls when it is ripe. You have to make it fall."

Lakini nadhani, ulikuwa unatania kwa kumkatisha tamaa Malila, otherwiswe:
''It's a sad thing not to have friends, but it is even sadder not to have enemies''

Mkuu nahisi ukitoa mrejesho kidogo itasaidia kuwainspire watu - Just thinking bro hata kama sio very positive kuna kitu watu watajifunza mkuu
 
Mwenye uzi wa KULIMA MARA YA PILI sio mimi ni mkuu EL NINO. Mimi nilikuwa mchangiaji ktk uzi ule, na hakuna nilipowahi kusema nimenunua eka mia mkuu. Kwa uzi huu wa SIRUDI NYUMA, ni kwamba historia yake ni kwamba, nilipoonja mafanikio kidogo ya kilimo nikajisemea moyoni SIRUDI NYUMA lazima niwe settler hata kama ni kwa kiwango cha chini. Nasisitiza sirudi nyuma kwa sababu ardhi ipo nyingi tu.
mkuu malila asante kwa kunielewesha na naungana nawe kwa kuwekeza katika ardhi
 
Asante,
Sijui umri wako wala kipato chako, lakini kama umri wako ni chini ya miaka 45 basi weka juhudi ktk kuwekeza ktk ardhi na kama una nafasi ya muda pia wekeza nje ya mji kuliko na unafuu wa bei. Haya tukutane shambani, pale kwenye viti virefu mda bado.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom