Sirudi nyuma

All the best Malila, nifikishie best wishes zangu pia kwa wenzako. songeni mbele MSIRUDI NYUMA

Mkuu asante,tunamwomba Mungu atujalie afya na uwezo ili hatimaye tufikie malengo yetu,maadamu tumeshaanza,basi tutakamilisha,nitawafikishia salaamu zako wadau wenzangu,na wengine watazisoma hapa jamvini moja kwa moja.

Have a nice day.
 
Bado hujanipata, sisi/mimi nazungumzia small scale ya eka 30 mpaka 50,ambazo kwa mishahara yetu bado hata kuziendeleza ni kazi ngumu,kama umepitia post zote utaona wengi wanalalamikia ugumu wa kilimo. Sasa hawa wachache wanaojitahidi ni sehemu ndogo sana ktk mamilioni ya Watz wanaotaka kuingia ktk kilimo cha Kisasa. Ukisoma sera za kilimo kwanza utaona kabisa,lengo ni kuwa na wakulima wenye tija ili taifa liweze kujitosheleza kwa chakula na hatimaye ziada iuzwe.

Ukitoka Mkuranga mpaka Lindi ni pori tupu,ukitoka Mikumi mpaka Ilula ni pori tupu,ukipita na Reli ya Tzr kuna mapori kibao yenye mito. Hoja yako inakosa nguvu kwa sababu,kilimo chetu hakitoshelezi mahitaji yetu. Hakuna aliye nyimwa ardhi ya kilimo. Watz tunapenda vitu laini kama DECI hivi,juzi kiongozi kawapa wawekezaji shamba la umma pale Usangu Chimala,badala ya kulima mpunga wao wanalima mibono,mbona hiyo husemi,bado sisi/mimi nasisitiza tukiweza kulima,basi tulime kilimo chenye tija cha mashamba makubwa,tuache paper work.

Leo pale Dar tunakula mpunga toka Thailand/India nk lakini mabonde yetu yenye maji yapo yapo pale Moro na Rufiji,na kesho jamaa toka middle east wanakuja kumegewa hekta 5000 walime.

Nadhani tunaongelea hii issue at two different levels naona hapa hatu communicate as we use different languages..so mi nasema leta tofali tujenge mnara we unasema we nipe sahani yangu mi nile maana nasikia njaa.... My dear analysis yako iko objective au subjective.

Eneo la Tanzania ambalo ni arable ni kiasi gani? Au ili mradi unapona mapori tu basi wewe unaingiza fyekeo na matrector? Ndo maana na sisitiza sustainability ya hizo project zenu... normally agenda kama hizo zina leta short term economic boosts lakini kuja kufanya restoration ya impact yake kwenye ecosystems will take a century tena ultimate results ni umaskini ulio mbaya zaidi kuliko uliopo sasa...Ideology ile ile ya high time preference ambayo mara nyingi ni thinking inayoletwa na poverty zaidi..For ur interest is to see millions of money now bila kuangalia how long you gonna get those millions and if can the receipients of these be extended to the next generation. Kumbuka hiyo theory ni ile ya technochrats ambao kwao wanafikiri kila kitu kiko perfectly substitutable can ask you for example; uki replace natural forest na plantation, biodiversity ya hiyo ecosystem itabakia vile vile? If that is not the case then what if kama ume wipe out key species ambao wako responsible na hiyo ecosystem resilience think of the effect on soil which is linked to hydrological issues; this is to say hayo maji unayoona yana tiririka sasa soon yanakauka yote na umesha affect may be micro climate so hata mvua maeneo hayo inaanza kua tabu sasa utaendelea kupata hayo mamilion unayotushawishi sasa?..this means discounting future.. Navyo maanisha generation ni zaidi ya hao descendants wako unaowafikiria zaidi. So you better use a good discounting factor when you think of these projects....It needs a proper economic analysis na siyo financial analysis tena ukifikiria cost benefit analysis kwa kutumia theory ya total economic value na see use value pekee amabyo iko zaidi katika monetary valuation na ku eliminate component ya non-monetary values.

Think of the population projection ya TZ after say 50 years, think of unsubstitutable component of the nature and the role of key species in ecosystem resilience which means by the means of research you should operate under safe minimum standards. Waulize wazungu kwanini pamoja na high tech yao environment imewa betray?

Nawatakia kila la heri...
 
Dada nimekupata,tunahitaji kuangalia kizazi chetu na vijavyo kuhusu mazingira. Bahati mbaya ni kwamba nchi yetu haijatenga maeneo ya kilimo/ufugaji. Sheria ya nchi yetu imetenga na inaendelea kutenga hifadhi za wanyama pori nk. Kama umesikiliza wabunge wanaotoka ktk maeneo ya wafugaji ktk bunge la sasa ungejua tatizo liko wapi. Mimi naamini nchi yetu ingesema wanaotaka kulima basi walime pale na kwa mpango huu,haya unayosema yasingekuwepo. Haya naomba unijibu,hivi kilimo kwanza ardhi yake iko wapi? Nakushauri nenda pale wizara ya kilimo kawape ushauri huo ili nchi yetu ipone na janga la uharibifu, na mimi nitakwenda niwape ushauri huu ili kwa sehemu yangu niokoe taifa.

Dada, hawa jamaa wanaokuja kulima toka nje ya nchi huwa mnawaambia ushauri huu au ni sisi tu Watz ndio mnatushauri? Na swali la mwisho tukiacha kulima kilimo cha mashamba makubwa nani atatulisha? Mimi nitajitahidi kulima kwa kutumia mbinu za kilimo hai. Ila kuwa na shamba kubwa ni lazima.

La mwisho ni hili,ktk kuhifadhi mazingira,mimi ni miongoni mwa Watz wanaopanda miti ya matunda,kivuli,mbao mingi kwa kila mwaka. Je wewe ktk kutunza mazingira yetu unashiriki kwa vitendo ? au unahamasisha basi.
 
Maskini jeuri kila siku anayasema hayo,Akifika shamba wiki ya kwanza tuu malaria wiki ya tatu kitandani tunashiriki msiba.Go scientifically bwana kilimo siyo suluhisho.Apply yr good knowledge kufanya yaliyo kwenye uwezo wako na kwa ufanisi zaidi acha ya kukimbilia shamba kwa kilimo cha kungojea mvua, na msimu!!!!
 
Dada nimekupata,tunahitaji kuangalia kizazi chetu na vijavyo kuhusu mazingira. Bahati mbaya ni kwamba nchi yetu haijatenga maeneo ya kilimo/ufugaji. Sheria ya nchi yetu imetenga na inaendelea kutenga hifadhi za wanyama pori nk. Kama umesikiliza wabunge wanaotoka ktk maeneo ya wafugaji ktk bunge la sasa ungejua tatizo liko wapi. Mimi naamini nchi yetu ingesema wanaotaka kulima basi walime pale na kwa mpango huu,haya unayosema yasingekuwepo. Haya naomba unijibu,hivi kilimo kwanza ardhi yake iko wapi? Nakushauri nenda pale wizara ya kilimo kawape ushauri huo ili nchi yetu ipone na janga la uharibifu, na mimi nitakwenda niwape ushauri huu ili kwa sehemu yangu niokoe taifa.

Dada, hawa jamaa wanaokuja kulima toka nje ya nchi huwa mnawaambia ushauri huu au ni sisi tu Watz ndio mnatushauri? Na swali la mwisho tukiacha kulima kilimo cha mashamba makubwa nani atatulisha? Mimi nitajitahidi kulima kwa kutumia mbinu za kilimo hai. Ila kuwa na shamba kubwa ni lazima.

La mwisho ni hili,ktk kuhifadhi mazingira,mimi ni miongoni mwa Watz wanaopanda miti ya matunda,kivuli,mbao mingi kwa kila mwaka. Je wewe ktk kutunza mazingira yetu unashiriki kwa vitendo ? au unahamasisha basi.

Asante kaka kwa kuwa muungwana. Sasa naomba nijaribu kujibu maswali yako kama ifuatavyo.

Kuhusu 'kilimo kwanza' mimi kama mimi ninapinga dhana nzima na utekelezaji wake. Ukiwauliza hao propagators wa kilimo kwanza waseme ni nini hasa maana yake hawana specific answer, wengine wanasema ni concept wengine wanasema ni mkakati and so many stories ambazo hazina mwanzo wala mwisho its just a continuum. Nilitoa ushauri wangu kwa naibu waziri mmoja alipotembelea sehemu fulani; kwamba atauzingatia ni nje ya uwezo wangu. Ntashukuru iwapo uteextend salamu hizi huko wizarani na pamoja tutakua tumefanya kwa sehemu yetu.

Kuhusu hao wanaokuja na kupewa ardhi yetu mimi sina direct access nao ila kwa sehemu yangu I do what I can kuhakikisha information inakua available sasa if ur informed na ukaamua kutotumia information this is beyond what I can do but as a professional nafanya kwasehemu yangu ziada inatakiwa kwa wenye dhamana zaidi ya kufanya enforcement.

Kuhusu nani atatulisha hiyo ni ishu ndogo sana. Kama tutazingatia efficiency na effectiveness katika production zetu hasa za Kilimo bado utagundua hii ardhi yote iliyowekwa kwenye cultivation ni hasara kubwa kwa Taifa in all cases what we need to feed this country and even for surplus can be obtined with the use of even half of what is now put into production interms of land resource. Kilimo chetu hakiendeshwi kitaalamu wakati kuna technology nzuri tu ya kila aina katika vyuo vyetu vya kilimo. Kwanini iwe hivyo labda waziri wa kilimo ndo yuko kwenye nafasi nzuri ya kujibu hili kuliko mimi maana yeye ndo ana practical experience kuliko mimi...

Kuhusu kuhifadhi mazingira ni zaidi ya hayo unayoyafanya.. Ndiyo maana nashauri tena kuhifadhi mazingira si kupanda miti tu ni pamoja na kuhakikisha ecosystem disturbance inadhibitiwa na hii ni pamoja na kupunguza ku convert land from natural state to anthropogenic disturbed states such as cultivation either of trees or crops, habitats developments, mining and other uses. Hii haina maana tuache kuitumia ardhi yetu ila tuitumie kwa kufuata safe minimum standards limits; that valuation yetu isifuate tu use value ambayo iko framed katika market bali pia non use values ambazo mara nyingi ndiyo determinant ya sustainable economy. Ndiyo maana uchumi sasa unahama from use values to Total economic values.

La mwisho mimi niko kivitendo zaidi kuliko maneno maana impact yangu nikwa sehemu kubwa na ina cover wider areas nchini na nje ya nchi pia that every year not less than 100 professionals are trained into those lines and a lot of information is generated kwa colaboration with insiders and outsiders...Sasa kama wana put into practice what they are being trained for, hapo follow up studies zinahitajika kwamba tu evaluate wanafanya walichoambiwa au? Kama sivyo why and how should they do. Hapo pia itategemea resources zinazoelekezwa kufanya hiyo task. Kama haionekani kama ni priority this is also out of my influence kwasababu ni kazi ya wengine. Kumbuka I very much believe in specialization of labour sasa siwezi kuwa kila kitu for the law of nature does not allow me to be so.....

Ubarikiwe.
 
dada kulima lazima nilime shamba kubwa sana,ila kama mdau wa mazingira ninajitahidi hata sasa/nitajitahidi kulinda mazingira nitakayoyatumia ili yasiharibike kwa kushiriki kilimo hai kama nilivyosema. Huko nyuma mimi nilishiriki kupinga sera za kilimo kwanza kwa mdahalo ila kama ujuavyo,viongozi wetu hawasikilizi kabisa maoni ya watalaamu wetu. Naamini peke yako huwezi ila tukishirikiana tutafanikiwa. Majukwaa ya watalaamu muhimu yamekuwa finyu sana.

Mapendekezo yangu kwako ni haya,ukionana na waziri husika mwambie,serikali itenge maeneo ya kilimo,ili wanaotaka kulima kwa scale kubwa wapewe kwa mikataba na maeneo yatolewe bure, kama wametenga maeneo ya kukaa fisi,wanashindwa nini kutenga maeneo ya kulima wakulima wa kati kama mimi ninavyotaka? ni suala la kuamua kuwa bonde la Rukwa wanaotaka kulima kwa scale kubwa waende huko na sisi serikali tunawapa huduma hizi,na bonde la Mbinga huko mkalime mahindi na Tunduru hivyo hivyo,tena watoe bure ili mtu asipolima ndani ya mwaka mmoja anapewa mwingine. Ninaposema mapori sina maana ya misitu,nina maana maeneo mazuri ya kilimo kama bonde la Ruvu,linatosha kulisha mji wa Dsm kama lingetumika,lakini liko tupu.

Tutakuwa na tea party (chai day) mimi na wenzangu pale Dsm mwezi ujao,tutakutana kujadiliana mafanikio ya msimu huu na vikwazo tulivyopambana navyo na namna nzuri ya kuingia msimu ujao. Vipi tukikualika utakuja ushiriki nasi siku hiyo? Ni masaa kidogo sana,kama mawili hivi au matatu. Chai tu ndio kiburudisho cha kusanyiko letu.
 
Asante kwa mwaliko wa chai... nitashukuru Mungu iwapo nitaweza just give me the dates venue and amount to contribute for that tea, for vya bure vinanikwaza maana vitaninyima uhuru wangu na hivyo principal yangu ya kwanza ni to pay for all what is not my right and never to pay for what is my leagal right.... Angalizo dont quote me wrong, sijasema kuhusu misitu tu hata mabonde ni sehemu ya ecosystem pia.. Habari mbaya kama unategemea kuweka investment huko fanya kwa uangalifu maana hayo mabonde yote soon tutayawekea leagal protection maana ndo moyo wa uchumi wa Taifa... Its said vita vijavyo vitakua vita vya maji, and some of us are working day and night to make sure that all wetlands and their catchment areas are leagerly protected.
 
Chai yetu tutakunywa 5 may 2010,pale dar,mmoja wetu anashughulikia venue na pengine gharama za chai zitajulikana muda si mrefu. Je huoni kuwa tumechelewa kutoa hiyo sera ya kuyalinda mabonde yetu? Ngoja niwashitue na wenzangu kuwa mabonde tuyakwepe kwa sababu tutalia muda si mrefu. Vipi kuhamisha maji kwa mifereji mtaruhusu au nayo itakuwa hairuhusiwi?
 
dada kulima lazima nilime shamba kubwa sana,ila kama mdau wa mazingira ninajitahidi hata sasa/nitajitahidi kulinda mazingira nitakayoyatumia ili yasiharibike kwa kushiriki kilimo hai kama nilivyosema. Huko nyuma mimi nilishiriki kupinga sera za kilimo kwanza kwa mdahalo ila kama ujuavyo,viongozi wetu hawasikilizi kabisa maoni ya watalaamu wetu. Naamini peke yako huwezi ila tukishirikiana tutafanikiwa. Majukwaa ya watalaamu muhimu yamekuwa finyu sana.

Mapendekezo yangu kwako ni haya,ukionana na waziri husika mwambie,serikali itenge maeneo ya kilimo,ili wanaotaka kulima kwa scale kubwa wapewe kwa mikataba na maeneo yatolewe bure, kama wametenga maeneo ya kukaa fisi,wanashindwa nini kutenga maeneo ya kulima wakulima wa kati kama mimi ninavyotaka? ni suala la kuamua kuwa bonde la Rukwa wanaotaka kulima kwa scale kubwa waende huko na sisi serikali tunawapa huduma hizi,na bonde la Mbinga huko mkalime mahindi na Tunduru hivyo hivyo,tena watoe bure ili mtu asipolima ndani ya mwaka mmoja anapewa mwingine. Ninaposema mapori sina maana ya misitu,nina maana maeneo mazuri ya kilimo kama bonde la Ruvu,linatosha kulisha mji wa Dsm kama lingetumika,lakini liko tupu.

Tutakuwa na tea party (chai day) mimi na wenzangu pale Dsm mwezi ujao,tutakutana kujadiliana mafanikio ya msimu huu na vikwazo tulivyopambana navyo na namna nzuri ya kuingia msimu ujao. Vipi tukikualika utakuja ushiriki nasi siku hiyo? Ni masaa kidogo sana,kama mawili hivi au matatu. Chai tu ndio kiburudisho cha kusanyiko letu.
Malila,
Hao Wakulima mko wangapi?Je wapo humu Ktk JF,naomba list yao,mimi ningependa kuja ,ila nakunywa Kahawa,(ile ya kienyeji)tupe Venue and Time
 
Wako humuhumu jf,nikishapata venue na vinavyohitajika nitakujuvya,wengi tunaonana kwa mail na pm sasa tumeona hainogi bora tujuane kabisa,kwa sababu project tunayofanya ni moja na chain imekuwa ndefu kiasi kwamba mtu wa mwisho hamjui hasa nani alianzisha group hii. Tunataka tujuane bila care off.
 
Malila why tarehe 5? nimecheck diary inaniambia ni katikati ya week Haiwezekani muipeleke tarehe 8 ili hata sie wa idodomya tukajimuvuzisha
 
Kwa sababu ya kukosa uniformity ktk mipango yetu na mambo yetu,tumejikuta tunaamua siku hiyo jioni. Pengine siku hiyo itazaa jambo jema na tukalazimika kukutana tena. Hii ni siku ya kwanza kwetu kukutana pamoja na pengine tutaanza kuwa na utaratibu wa kukutana kwa hiari mara nyingi zaidi huko mbele tuendako.
 
Malila,mawazo ya kukutana na kubadilishana uzoefu ni mazuri. bravo!.hata tccia wanafanyaga breakfast meetings pale movenpick.so mawazo safi hayo.
 
Hivi kwenye kilimo kwanza kuna funds za kuwezesha wakulima? Au maneno matupu?
 
Kilimo Kwanza ni SiHasa, ni usemi tu wa wataalamu wa kuunda sera za kisiasa na kulima kwenye madaftari,89% ya pesa zitaliwa katika expert /tecknikal support,facilitation,mahotel ya bagamoyo na kununua magari,na matangazo,
last month nnilikuwa naenda rufiji,kutokea mkuranga mpaka rufiji kila baada kilometa 5-11 kuna bango la kilimo kwanza,ina maana kuna kampuni imepewa tenda ya kuweka matangazo,na ukiuliza utakuta kila bango limegharimu laki 5.
kilimo cha JF members ni salary Supported/fund muulize MALILA na wengineo,wote wanaplan kununua ,kufyeka,kulima na kupanda kwa kutumia mishahara na pesa kutoka ktk vyanzo vingine na sio from some mfuko wa serikali.
mfano mfuko wa pembejeo ,ukionyeshwa waliokopa,utajua ninachosema,asilimia kubwa ni wanasiasa or watu wa kiribu sana na wanasiasa na viongozi,na wote hamna aliyemaliza kulipa pesa,wanadaiwa.
so kanyagio,wise up,and join the crusade of malila and co,
karibu ktk chai meeting to be held soon,in DAR
 
Felister,

Asante sana kwa ushauri wako murua.............huu ndio uzuri wa JF.............shule kila kukicha...........sio kuangalia upande mmoja tu............hisia yangu inaniambia uko/ulikuweko sana kwenye maeneo ya utafiti ...........kama assumption yangu kuhusu wewe ni sahihi............je kuna maeneo hapa nyumbani ambayo yametengwa/highlighted kuwa protected kwa kuwa ni highly sensitive kwenye ecosystem................je kama yapo information hizi ziko wapi............

Wakuu hii argument...................iliyoletwa na Felister ni muhimu kuizingatia...................
 
Ogah my friend am not that much deep..lakini niko njiani kuelekea huko Mungu ni mwema.......

Kuhusu maeneo yaliyotengwa yes yapo lakini kuna contradictions nyingi sana katika policies zetu so harmonization is of paramount....

Kubwa na lakuhofu ni enforcement ndo tatizo letu kubwa. Kwa uzoefu wangu mdogo wananchi vijijini wana feel impact ya environmental degradation kuliko mijini lakini poverty na ignorance inawa betray and have no choice other than kuendelea kuharibu hata kama wanaona wanachokifanya kina madhara kwa environment. Malalamiko yao makubwa ni kwamba hawako informed and so dont know how to save their environment.

Nilienda kijiji kimoja kinaitwa kikwawila wanasema ilibidi kijiji kizima ki abandone eneo walilokua wakilitumia kwa kilimo kwa maana hawapati kitu hata kwa kutumia mbolea. So wakasema wameamua kuhamia bondeni maana kule milimani wamepa conserve kwaajili wanaogopa kukata miti and so kwa vile kule bondeni hakuna miti so wamegawa mashamba kule... Was about to cry and had nothing to say look at how ignorant they are on environmental issues; to them conservation means planting/no cutting of trees....

Then they continued saying mwanzoni walikua wanapata shida kwani maji yalikua mengi sana lakini sasa afadhali baada ya kulima kwa muda maji yamepungua so they are now getting something..Imagine hawajui kwamba hiyo ndo destruction yenyewe ndo maana maji yamepungua and to them its afadhali.... Its terrible!

Well this is the very place which is ratified as Ramsar site....means wise use application is demanded..Lakini the question is what is wise use to the poor person? Leaving his children dying of hunger for the sake of environment?

Lakini wapo ma researcher wengi tu tena wenye elimu ya ajabu humu humu nchini kunizidi mara mia mimi; wenye uwezo wa kuleta ufumbuzi wa matatizo ya hawa watu...Watafikaje huko bila resources? Wako busy na kuangalia baada ya kupoteza muda wote nakua nyuma katika social issues sasa wanaangalia jinsi gani wata ziba hiyo gap maana anaelewa maana ya elimu so kumwacha mtoto wake apotelee kwenye ujinga yeye yuko busy na watu wengine is this possible?

Sasa ninachojiuliza wanasiasa huwa hawapati hizo information and if wanapata hawajui wataalamu wako wapi? Wakati mwingine najiuliza maswali mengi nakuishia kufanya lile naloweza na mengine kuyapeleka kwa Mungu kwanjia ya maombi....

Think of what is happening to Lake manyara; sijui kama hata kuna models za kujua what is the sedimentation rate ya hilo ziwa per minute... Lakini wapo wataalamu wa udongo, Climatology, hydrology, Ecology, environmental economics you name it wa hali ya juu wanatumika na mataifa yanayoendelea kwenye research zao tena kwakutumia samples za tz.... Hakuna mtu wakuwapa resources wafanye multi disciplinary research na kuja na long lasting solutions. Ziwa Victoria ndo hilo limekua source of livelihoods kwa some of academicians but no permanent solution... watoe majibu walogwe watakula wapi? Police? Na hata wakitoa who cares matokeo yana pamba CV za watu tu huku Ziwa likiendelea kukauka taratibu......

Matukio ya Kilosa tumeyasikia sijui solution yake ni kuwapa misaada wanachi bila kujua kwamba wetlands are very much degraded there; some of them are converted into other uses such as crop cultivation and habitation no alternative wetlands constructed na sijui kama resources zitatolewa kufanya scientific researches za uhakika ili kuja na permanent soulutions. Tena washukuru wamaasai kwa kuwatunzia baadhi ya wetlands zao vinginevyo hizo flooding ndo zinge kuwa oder of the day lakini kwa kutoelewa wanataka kuwahamisha ili wafyeke yale mapori waendelee na kilimo maana ardhi yakulima haitoshi...
 
Chai yetu tutakunywa 5 may 2010,pale dar,mmoja wetu anashughulikia venue na pengine gharama za chai zitajulikana muda si mrefu. Je huoni kuwa tumechelewa kutoa hiyo sera ya kuyalinda mabonde yetu? Ngoja niwashitue na wenzangu kuwa mabonde tuyakwepe kwa sababu tutalia muda si mrefu. Vipi kuhamisha maji kwa mifereji mtaruhusu au nayo itakuwa hairuhusiwi?

malila hongera na ahsante ku-organize hiyo chai.
 
Malila ,umeanzisha topic na kupotea, kaka au ndo umeamua KURUDI NYUMA, vipi chai meeting ilitokea ,if yes wangapi walifika,na waliokosa kufika walisemaje ?

umeahidi kutoa feed bak yet umekaa kimya or network not reachable
 
Kwanza niwaombe samahani wote kwa pamoja,kweli nilipotea,nilikoenda umeme hauko kabisa,ni km 130 ili uufikie umeme na nauli ni Tsh 10,000/ kwa trip.

Chai ilinyweka,tulifika watu 25,na jf members kama sita hivi ambao ninawafahamu( tiger,kanyagio,manitoba ect)
Yalizaliwa mawazo hapo hadi basi,mimi nilipewa kazi moja kubwa,tayari nimemaliza,nitaiwakilisha kwa waliohudhuria chai kwanza ,jf mwingine alipewa kazi ya kuaanda jukwaa letu,tayari ameshafanya na liko hewani, member mwingine alipewa kazi ya kuhakikisha allowance fulani inatufikia sisi wadau, ameanza. Mwingine alipewa kazi ya kufuatilia namna ya kupima eneo kijijini,tayari karudisha taarifa na wa mwisho aliahidi kutoa mhitasari wa Venture capital ktk chai ijayo. Hizi utazipata ktk chai ijayo. Ni mengi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom