Siri za Uchunguzi wa Tukio la Dkt. Ulimboka zaanza Kuvuja

sijasoma hiyo story mwanzo mpaka mwisho..ila hizo Nadharia ni za kutunga hazina ukweli wowote!!
 
tunajua mtekaji yupo humu JF, atuambie tu alitumwa na nani, ili tuondokane na hizi popaganda za liwalo na liwe, inaboa mtu kuja hapa na propaganda zisizokuwa na msingi kutaka kumsafisha shati pinda na mr dhaifu
 
Hata mpumbavu kiasi gani,hadanganyiki na hii propaganda.tunachofahamu serikari imefanya unyama ule.
 
Hata mpumbavu kiasi gani,hadanganyiki na hii propaganda.tunachofahamu serikari imefanya unyama ule.
 
I dont think this saga can be easily spinned. Mbona hakuna utata juu ya wahusika! Wanajijua na wanajua kuwa tunawajua.

Hivi kile kikosi kazi cha "Salenda" Police Post kinaitwaje? .... Siyo Nyuki bwana....ndiyo wanafanyakazi zinazofanana.
 
Hili lazima serikali DHAIFU itakuwa inajua A 2 Z hakuna wa kudanganywa karne hii ya uwazi na ukweli!
 
Ipo siku tutajua ukweli na hata balali atajitokeza na itakuwa mpya na kali kuliko!
 
du! we kweli kilaza hapo namba 2 eti "kuna mgonjwa aliyefiwa na ndugu yake" au ni ndugu aliyefiwa na mgonjwa wao.
 
Utajikunja kuandika hizi hadithi zako na wengine watakuja na theories zao lakini ukweli upo na utajulikana na ngoja Ulimboka mwenyewe apone na hata kama watamhujumu usisahau kuna Mungu na kwa uweza wake anaweza kuyafunua yote. Ushauri wangu kwako usiwaze sana wala usipoteze mda na jambo hili subiri mda wa kuujua ukweli ni waja.
 
Kweli yale maeno ya Dr. Mwakyembe kwamba Polisi wetu wanafanya kazi kama waganga wa kienyeji yamekuwa VINDICATED.

Polisi wanasema waliomteka Dr. Ulimboka ni madaktari wenzake. Lakini hadi leo hakuna hata mmoja aliyeshikwa na kuhojiwa.

Polisi wanadai waliommteka Dr. Ulimboka ni ndugu waliofiwa na wagonjwa kwasababu ya mgomo. Lakini leo hakuna hata mtu mmoja liyeshikwa na kuhojiwa.

Mtakuja na kila theories lakini zote zitabaki na matundu kibao.

Theory MOJA ambayo hamtaki kuisema na mnajaribu kui cover up ni kwamba Dr. Ulimboka alitewkwa na kuteswa na USALAMA wa TAIFA. Hii ndiyo theory ita stand hayo matundu yote.

BTW, hivi kuunda tume huru inahitaji mtu ushauriwe na rocket scientist? Thanks GOD Dr. Ulimboka yuko hai.
 
Upuuzi tupu,DR Uli kamtambua Msangi fullstop. Ukweli zaidi upi zaidi ya mtekwaji na kauli yake. Na Msangi anamtumikia nani? Wanaharakati,Chadema,ndugu wa marehemu au serikali? Fanyeni utafiti kujua historia ya utendaji kazi wa Msangi mtapata picha kamili
 
wanajaribu kumnasua jk na liwalo na liwe kwenye umafia ulioshindwa..hata mtoto mdogo anajua aliyetaka kumuua ulimboka ni serikali kuu
 
Nakasirika mie....Kuona nchi inaendeshwa kwa visasi hii!Mara babu seya,Mwakyembe,Mwaikusa,Ulimboka!
 
Back
Top Bottom