Siri za Nape nje: Ni zile zinazomhusu Lowassa;Profesa Mwandosya pia atajwa

Status
Not open for further replies.
inaelekea ccm kuna mbilinge kubwa ya kugombea urais 2015.sidhani kama wataweza kuuvuka mtihani huu na kubaki wamoja
 
Itafika pahala nyakati zitaongea. . . Ila naamini Rais ajaye wa Tanzania atatoka kwa Mungu. . Sisi wote ni wasaka tonge na wala hatuna uwezo wa kuamua nani awe Rais wa tanzania. . .
 
. . . Ila 2015 inadhaniwa na kutabiriwa kuwa huenda kwa mara ya kwanza yakazuka mapigano na machafuko kama watanzania watashindwa kuvumiana katika mambo ya imani na na ukabila .
Na kibaya zaidi namna michakato ndani ya chama ilivyojaa uhasama na mizengwe. . .
Mungu ibariki Tanzania Mungu Bariki Afrika. . .
 
. . . Ila 2015 inadhaniwa na kutabiriwa kuwa huenda kwa mara ya kwanza yakazuka mapigano na machafuko kama watanzania watashindwa kuvumiana katika mambo ya imani na na ukabila .
Na kibaya zaidi namna michakato ndani ya chama ilivyojaa uhasama na mizengwe. . .
Mungu ibariki Tanzania Mungu Bariki Afrika. . .
Nani aliyedhani na kutabiri hayo???? Acha uongo wewe!
 
CCM hakuna kinachoendelea sasa na shughuli zote za maendeleo zime simama hawa watu kama manyani vile!
 
Kweli Nape anawaumiza kichwa wengi sana na kazi yake ya kukifufua chama chake CCM... Maana siku hizi huwezi kuingia JF ukakosa thread inayomjadili Nape.

Jamaa atakua ni jembe sana... Keep it up Nape.... Inaonekana kazi yako nzuri sana ndio maana hawalali wanakuchokonoa hata kwa mambo yanayochekesha kama haya. Uwe muangalifu sana na nyendo zako kuelekea 2015.

Sasa ni mpambano kati ya Nape, Zitto na Mtatiro... Vijana wengine wote waliobaki ni wafuasi wa madingi wa vyama vyao.
Ubongo wako umefail kuprocess mawazo yako.
 
Watz bwana wakati jk anazunguka kufanya kampeni kwa lowasa na wenzake wakasema hawafai ni wezi n.k. leo anaanza kusemwa ni mchapakazi....kweli wale maadui watatu bado wapo..umaskini,maradhi na lile kubwa la UJINGA
 
Mimi naendelea tu ku count days,hawa CCM siku zao zinakuja tu na hapo mbele watakuja kuchanganyana na kutoelewana vibaya sana na chama kuweza kuharibika,guys wala tusiwe na pressure maana dakili ya mvua ni mawingu na sasa hivi tunaona dalili......
 
Wakati mwingine unadhani thread ni popular kwa kujaza page nyingi kumbe ni kwa sababu ya wanaojibu kwa kukopi habari nzima.

Mnamaliza bundle bure.
 
Nini Gharama ya Nape kujiuzulu?kwanini aendelee kuwepo mahali ambako anayo yaamini na kuyasimamia hayatekelezwi na wengine?
 
Lowassa akiwa Rais tutafika mahali fulani,ana sifa za uongozi ni mbunifu,msimamiaji mzuri wa maamuzi ni mkalipiaji kwa wazembe,Nchi bila aina ya akina Lowassa tutaendelea kulaumiana tu
heri umesema watu aina ya lowasa, si lowasa mwenyewe. kwani hilo ni janga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom