Siri za CHUMBANI/FARAGA shosti/mshikaji Zinawahusu nini???

mtu kuna watu mpaka sahivi washafanyiwa kitchen party zaidi ya tano.
Wengine na kuzaa washazaa. Kuna vidada siku hizi vikikosa channel ya pesa vinajiandalia kitchen party. Lol!

mhh Husninyo nami nafanya yangu wiki ijayo naomba uhudhurie ila katika listi ya zawadi zangu friji na tv ndio hajijatiwa tiki sasa sijui utaleta nini kati ya hivyo,mwanamke kitchen party bwana mume hata njiwa anae:lol::lol::lol:
 
Aslaam aleikhum wana jamvi.Inaweza icwe dawa lakini kama umeinywa inaweza kukupa ahueni.Ile kasumba ya kuyaweka mambo yako ya faraga kijiweni kwa washikaji,saloon kwa mashosti, inakua na mantiki gani?kwani umuanike mwenzi wako kwa washkaji/mashoti?kama ana kasoro hizo ni kurekebishana huko c kumuanika hadharani.ndo maana mnaenda faragha ili kuyaficha hayo makosa yenu.kama hajui majamboz.kikwapa,mdomo wengne vikojoleo vinanuka isiwe 7bu ya kumtangaza mwenzi wako.
NB:SITOKULAUMU KWA KUNIANIKA HADHARANI,NTAMLAUMU KUNGWI KWA KUTOKUKUFUNDA VIZURI.SIRI YAKO HUNA BUDI KUFA NAYO.

Na wanaume wanafundwa na nani??Hiyo tabia sio nzuri kabisa na wewe mwenyewe unajidhalilisha tu
 
mhh Husninyo nami nafanya yangu wiki ijayo naomba uhudhurie ila katika listi ya zawadi zangu friji na tv ndio hajijatiwa tiki sasa sijui utaleta nini kati ya hivyo,mwanamke kitchen party bwana mume hata njiwa anae:lol::lol::lol:

hahahaha!
Shosti siku hiyo nahisi nitakuwa naumwa.
Na zawadi ushanipangia, lol! Mi nitakuletea deli la aiskrimu, friji nunua mwenyewe.
 
mhh Husninyo ubaya huo,sasa deli hizo aiskirimu ntagandishia wapi...hujui toa upewe:lol:
 
.hujui toa upewe:lol:
mmmh! siku hizi tunatoa tu. Kupewa labda rambirambi lol!
Shida yako ya friji nishaisolve. Kama una shida nyingine mfano ya mawasiliano, nunua simu mimi nitakupa ofa ya line.
 
Aslaam aleikhum wana jamvi.Inaweza icwe dawa lakini kama umeinywa inaweza kukupa ahueni.Ile kasumba ya kuyaweka mambo yako ya faraga kijiweni kwa washikaji,saloon kwa mashosti, inakua na mantiki gani?kwani umuanike mwenzi wako kwa washkaji/mashoti?kama ana kasoro hizo ni kurekebishana huko c kumuanika hadharani.ndo maana mnaenda faragha ili kuyaficha hayo makosa yenu.kama hajui majamboz.kikwapa,mdomo wengne vikojoleo vinanuka isiwe 7bu ya kumtangaza mwenzi wako.
NB:SITOKULAUMU KWA KUNIANIKA HADHARANI,NTAMLAUMU KUNGWI KWA KUTOKUKUFUNDA VIZURI.SIRI YAKO HUNA BUDI KUFA NAYO.
Aksante mydia kwa kutukumbusha hili muhimu. Ila mstari wako wa mwisho bidada...........
si wote hufundwa,
Na wanaofundwa, si wote hufundwa na makungwi wenye adab bibi!!

Na pia hili ashuo pia lawahusu kina kaka, maana wao pia huzianika shosti siri zetu...................... nao je wana makungwi?
 
Hapo chacha ndo patamu
 
Haya mapoint umeyamwaga kweli na hii nilikuwa sijaiona aisee hongera sana. Saa nyingine ukitulia nakupenda kweli
 
Kweli DA nilishaanga kutokukuona mpaka page ya 2?ucjar wkt mwngne upupu pembeni vp lakn mzima?
 
Jamani wapendwa mmeishiwa michango?au wewe hujawah semwa mambo uliyofanya faraga unayakuta kijiweni/saloon?unashangaa vidole vinakufata
 
utasikia Kokudo bwana akiwa anakuja na kimba juu au lile shosti ukienda chumvini linacheka kama linaangalia original komedi:lol:
 
Back
Top Bottom