Siri yafichuka CCM na CUF jimbo la Uzini

KUNA mkakati unaoratibiwa na bwana jussa huko pemba kwenye jimbo la uchaguzi kuwa endapo mgombea wa ccm bwana RAZZA akiwekewa pingamizi basi wanaccm wote wahamasishwe kuipinga CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF,kulingana na fukuto la pingamizi liliwekwa na mgombea wa CDM, lakini pia wamekubaliana kuwa endapo mgombea wa ccm akikubaliwa kuendelea na kampeni basi pia CUF watakuwepo pale physically lakini yote kwa yote waipinge CHADEMA wanayoituhumu kuwa haijaenda kwenye kampeni bali kuhesabu idadi ya wakazi wa bara walioko UZINI pamoja na wakristo hivi jamani sisi wanaCUF tunaenda wapi?

vikao vya ndani leo eneo la kijiji cha dagaa

Red: Inamaana hawa CUF wamekubali kufunga "pinga" za maisha na sisiem? CUF kama chama hakijiamini kuwa kinaweza fanya kampeni na kubeba jimbo hilo? Si inasemekama ngome kubwa ya CUF iko visiwani? CUF kwa hilo mnapaswa kubadilika na kutojiita chama cha upinzani!!!

Hizo taarifa kama ni kweli basi CUF ni sisiem B. Poleni kwa kukosa mtizamo wa kusimama kama wapinzani!!!!!!!
 
By the way who is Jussa. Naona huyu sasa anatafuta mwanzo wa mwisho wake.

Wakati unaandika maelezo haya hukujisikia nishai wewe? By the way; nina mpango wa kutafuta mke mwengine na nimeshaku-appoint wewe, hivyo jitahidi na kauli zako usije kujiharibia!
 
Huyu anaejiita ustadh huwa anaingia kuja kuwaudhi watu na lazima ajidai kutaja Uislaam ili tumuone kuwa ni Muislaam, hizo ni mbinu chafu na ufataani usio na mfano. Tafadhali tuondolee ujinga huu.

nimeipenda hii,make hawa magwanda wanataka nchi iingie katika machafuko ya kidini na kikabila afu sijui waop watakimbilia wapi wajinga hawa
 
Ustaadhi,

1. ndugu yangu UZINI ipo Unguja sio Pemba.
2. Jussa ameingiaje tena. Mimi nasema Jussa ni kiboko cha Chadema na nawashauri CUF wampeleke kuzindua kampeni kwani chadema wakimuona mavi debe.
3 Chadema wanajiadhibu na kuadhibiwa na kauli zao wenyewe wanazozitoa kwenye majukwaa kuhusu Znz na waZnz.

mengi yatasemwa lakin ukweli utabaki kuwa KURa ndi mwamuzi. Kumbuka si wapiga kampeni wote ni wapiga kura. wapiga kura ni wana uzini.

Chadema kuweni wakweli na wawazi na sio kutoa sababu zisizo na msingi. Kumbukeni kama mumeamua kwa dhati kabisa kuingia vitani pambaneni sio kutafuta mchawi.

4. Kijiji kinaitwa Ndagaa sio dagaa. Hiyo ni njia namba 5.

yaani umeshaona cdm ni wa kuogopa huyu mwarabu koko tena gaidi??mnamuona mungu huko kwenu nasikia yeye ndio kasoma kuliko wote huko zanzibar
 
Bila shaka kwa maelezo haya wewe ni new user hapa ukumbini! Haijafika hata wiki moja tangu ujiunge na JF. Nachelea kusema wajitaftia umaarufu!!!
 
Ustaadhi,

1. ndugu yangu UZINI ipo Unguja sio Pemba.
2. Jussa ameingiaje tena. Mimi nasema Jussa ni kiboko cha Chadema na nawashauri CUF wampeleke kuzindua kampeni kwani chadema wakimuona mavi debe.
3 Chadema wanajiadhibu na kuadhibiwa na kauli zao wenyewe wanazozitoa kwenye majukwaa kuhusu Znz na waZnz.

mengi yatasemwa lakin ukweli utabaki kuwa KURa ndi mwamuzi. Kumbuka si wapiga kampeni wote ni wapiga kura. wapiga kura ni wana uzini.

Chadema kuweni wakweli na wawazi na sio kutoa sababu zisizo na msingi. Kumbukeni kama mumeamua kwa dhati kabisa kuingia vitani pambaneni sio kutafuta mchawi.

4. Kijiji kinaitwa Ndagaa sio dagaa. Hiyo ni njia namba 5.

hahahaa..ndugu yangu haiingii akilini kwa chadema kumuogopa jussa wakati bosi wake rostam ilimchana live kwenye list of shame..pia hakuna mahali chadema imejifunga kwa kauli ila imekuwa wazi pasipo unafiki.. kazi kwao wazenji..
 
sasa jussa kwenye vikao vya ccm +cuf unafanya nini? Na ccm wanawaita Cdm chama cha bara!
 
nimeipenda hii,make hawa magwanda wanataka nchi iingie katika machafuko ya kidini na kikabila afu sijui waop watakimbilia wapi wajinga hawa

Nimesoma humu humu kuwa hawa magwanda wamesababisha mafuriko Dar. Sijui wewe wamekusababishia nini? Pole sana.
 
Huyu anaejiita ustadh huwa anaingia kuja kuwaudhi watu na lazima ajidai kutaja Uislaam ili tumuone kuwa ni Muislaam, hizo ni mbinu chafu na ufataani usio na mfano. Tafadhali tuondolee ujinga huu.

MAJIBU YAKO NI KAMA KINYESI CHA NGURUWE POrI
 
yaani umeshaona cdm ni wa kuogopa huyu mwarabu koko tena gaidi??mnamuona mungu huko kwenu nasikia yeye ndio kasoma kuliko wote huko zanzibar

Ni mtaalamu wa Administrative Law. Sio Kama Padre Slaa ambaye ni mtaalamu wa Sheria za Kanisa Katoliki, (Canon Law).
 
Back
Top Bottom