Siri yafichuka CCM na CUF jimbo la Uzini

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
KUNA mkakati unaoratibiwa na bwana jussa huko pemba kwenye jimbo la uchaguzi kuwa endapo mgombea wa ccm bwana RAZZA akiwekewa pingamizi basi wanaccm wote wahamasishwe kuipinga CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF,kulingana na fukuto la pingamizi liliwekwa na mgombea wa CDM, lakini pia wamekubaliana kuwa endapo mgombea wa ccm akikubaliwa kuendelea na kampeni basi pia CUF watakuwepo pale physically lakini yote kwa yote waipinge CHADEMA wanayoituhumu kuwa haijaenda kwenye kampeni bali kuhesabu idadi ya wakazi wa bara walioko UZINI pamoja na wakristo hivi jamani sisi wanaCUF tunaenda wapi?

vikao vya ndani leo eneo la kijiji cha dagaa
 
Hebu ondoa upupu wako hapa magamba wee! Kwanza hilo jimbo la Uzini haliko Pemba, liko Unguja! Ondoka zako hapa.
 
Jussa ameingia katika siasa za nchini kwa upepo Kimbunga na vile vile ataondoka kwa mtindo huo huo bila hata watu kukumbuka kama aliwahi kufanya siasa katika nchi hii. Kijana taratibu, kafuate ushauri wa bure aliokupa Mhe Zitto.
 
BAVICHA na vijana wa vyuo vikuu kote Unguja na Pemba ongozeni safu ya mabadiliko ya kweli jimboni Uzini mpaka CCM na KAFU washangae wenyewe. Serikali tatu iko njiani wala msiwe na wasiwasi katika hilo - Mwaminini Prof Safari na uwezo wake wa kuona mbali ndani ya CHADEMA.
 
KUNA mkakati unaoratibiwa na bwana jussa huko pemba kwenye jimbo la uchaguzi kuwa endapo mgombea wa ccm bwana RAZZA akiwekewa pingamizi basi wanaccm wote wahamasishwe kuipinga CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF,kulingana na fukuto la pingamizi liliwekwa na mgombea wa CDM, lakini pia wamekubaliana kuwa endapo mgombea wa ccm akikubaliwa kuendelea na kampeni basi pia CUF watakuwepo pale physically lakini yote kwa yote waipinge CHADEMA wanayoituhumu kuwa haijaenda kwenye kampeni bali kuhesabu idadi ya wakazi wa bara walioko UZINI pamoja na wakristo hivi jamani sisi wanaCUF tunaenda wapi?

vikao vya ndani leo eneo la kijiji cha dagaa

Acha waumane na siasa zao za maji takahuko.Walishwe kasa na wakiamka wamesha pata sumu na kujuta only time will tell.Hivi hao wapemba wao ni wajinga kiasi hicho ? Nina maana ya wapiga .
 
Mwanasiasa aliyeishiwa hoja daima hukimbilia kujificha katika kwapa la udini.
 
Sasa mwana CUF wewe unayeshangilia Chadema wa wapi wewe? Nadhani una gender conflict!
 
Huyu anaejiita ustadh huwa anaingia kuja kuwaudhi watu na lazima ajidai kutaja Uislaam ili tumuone kuwa ni Muislaam, hizo ni mbinu chafu na ufataani usio na mfano. Tafadhali tuondolee ujinga huu.

Leo unamkana mwenzako?
 
Huyu anaejiita ustadh huwa anaingia kuja kuwaudhi watu na lazima ajidai kutaja Uislaam ili tumuone kuwa ni Muislaam, hizo ni mbinu chafu na ufataani usio na mfano. Tafadhali tuondolee ujinga huu.

huo udini wanaouendekeza ndio unao unao warudisha nyuma kila siku.wht matter in this moden life is how to brighten our life in coming day if not in future.
 
KUNA mkakati unaoratibiwa na bwana jussa huko pemba kwenye jimbo la uchaguzi kuwa endapo mgombea wa ccm bwana RAZZA akiwekewa pingamizi basi wanaccm wote wahamasishwe kuipinga CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF,kulingana na fukuto la pingamizi liliwekwa na mgombea wa CDM, lakini pia wamekubaliana kuwa endapo mgombea wa ccm akikubaliwa kuendelea na kampeni basi pia CUF watakuwepo pale physically lakini yote kwa yote waipinge CHADEMA wanayoituhumu kuwa haijaenda kwenye kampeni bali kuhesabu idadi ya wakazi wa bara walioko UZINI pamoja na wakristo hivi jamani sisi wanaCUF tunaenda wapi?

vikao vya ndani leo eneo la kijiji cha dagaa

Ustaadhi,

1. ndugu yangu UZINI ipo Unguja sio Pemba.
2. Jussa ameingiaje tena. Mimi nasema Jussa ni kiboko cha Chadema na nawashauri CUF wampeleke kuzindua kampeni kwani chadema wakimuona mavi debe.
3 Chadema wanajiadhibu na kuadhibiwa na kauli zao wenyewe wanazozitoa kwenye majukwaa kuhusu Znz na waZnz.

mengi yatasemwa lakin ukweli utabaki kuwa KURa ndi mwamuzi. Kumbuka si wapiga kampeni wote ni wapiga kura. wapiga kura ni wana uzini.

Chadema kuweni wakweli na wawazi na sio kutoa sababu zisizo na msingi. Kumbukeni kama mumeamua kwa dhati kabisa kuingia vitani pambaneni sio kutafuta mchawi.

4. Kijiji kinaitwa Ndagaa sio dagaa. Hiyo ni njia namba 5.

KUNA mkakati unaoratibiwa na bwana jussa huko pemba kwenye jimbo la uchaguzi kuwa endapo mgombea wa ccm bwana RAZZA akiwekewa pingamizi basi wanaccm wote wahamasishwe kuipinga CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF,kulingana na fukuto la pingamizi liliwekwa na mgombea wa CDM, lakini pia wamekubaliana kuwa endapo mgombea wa ccm akikubaliwa kuendelea na kampeni basi pia CUF watakuwepo pale physically lakini yote kwa yote waipinge CHADEMA wanayoituhumu kuwa haijaenda kwenye kampeni bali kuhesabu idadi ya wakazi wa bara walioko UZINI pamoja na wakristo hivi jamani sisi wanaCUF tunaenda wapi?

vikao vya ndani leo eneo la kijiji cha dagaa

Mlitaka Jusa afanye nini wakati ndo kazi aliyotumwa na ccm akafanye, ila ipo siku yatamtokea puani. Anadhani hizo pesa za akina Rosta na Edo zitadumu milele? Kazi kwake
 
Back
Top Bottom