Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

Hapa kwelikweli :embarassed2:, are really great thinkers? With all the coincidences! kwanini wabongo tunakuwa hivyo? Ni wagumu wa kuthubutu, wagumu wa kuamini na ni waogaaaa mno! We needs to stand to the right regardless whether your relative have hands on this issue! Jamani tunalipeleka wapi hili taifa? kwa ushabiki wa kij***nga! Kwa kweli ingewezekana ningehama na kufuta kumbukumbu kuwa na mimi ni Mtanzania if we are this stu**!!!! Inasikitisha na inashangaza.
 
MMungu Anaweza!
wale wote ambao Akili zao zimepanga njama hizo, miguu yote ilioenda kufanikisha, na Mikono iliyo tekeleza! Basi MMungu atafunga vinywa vyao na Kuwafisha vifo vya aibu, huku Dr HM! Akishuhudia mazishi yao, na watoto wao wawe Mayatima, Waume/Wake wao wawe Vizuka/Wagane, na kukosa msaada wanapo ingia na kutoka!
A M I N A!
 
Hapa kwelikweli :embarassed2:, are really great thinkers? With all the coincidences! kwanini wabongo tunakuwa hivyo? Ni wagumu wa kuthubutu, wagumu wa kuamini na ni waogaaaa mno! We needs to stand to the right regardless whether your relative have hands on this issue! Jamani tunalipeleka wapi hili taifa? kwa ushabiki wa kij***nga! Kwa kweli ingewezekana ningehama na kufuta kumbukumbu kuwa na mimi ni Mtanzania if we are this stu**!!!! Inasikitisha na inashangaza.
 
Japo kwenye suala hili la kuugua kwa Dr. Mwakyembe, speculatios na conspiracy theories za kuwekewa sumu ndio the order of the day, nashauri msiziaminie sana hizi habari, nyingine ni 'tales' only!. Subirini report ya pili ya Apollo na ya uchunguzi maalum ya Nahodha itakayohusisha forensic investigation kwa sababu by the time ananawia hiyo sabuni na kufutia kile kitaulo, Dr was under heavy medication!. Ni vizuri pia tukajua alikuwa anasumbuliwa na tatizo gani kabla ya incident ya sabuni na kitaulo!.

Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.

Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amaizing coincidence"!.

Coincidence ni kitu cha kuangalia sana kwenye maisha, mi huwa siamini kuhusu coincidence
 
Kama kweli huyo binti alikufa katika mazingira ya kutatanisha mwili wake ulifanyiwa uchunguzi baada ya kufariki? Kama mwili haukufanyiwa uchunguzi polisi katika kulifanyia kazi jambo hili (kuugua kwa Dr.) walichukua hatua gani kwani naamini pamoja na mambo mengine naamini walipata taarifa hizi mapema sana. Kama itaamuliwa kuwa mwili wa huyo dada ufukuliwe na kufanyiwa uchunguzi wa kina hilo haliwezekani kufanyika kwa sasa?. Mambo mengine ya kuangalia kwa undani ni mazingira ya huyo dada kuhamishiwa kwenye ofisi ya Dr. Harrison na namna jambo hilo lilivyofanyika, waliohusika katika kufanikisha uhamisho huo ni watu gani ama ulikuwa ni utaratibu wa kawaida.

"UKIONA GIZA NENE FAHAMU KUWA MAPAMBAZUKO YANAKARIBIA"
 
Afrika ndivyo ilivyo, hata akifa Mandela watasema eti na yeye kawekewa sumu na Frederick de Clerk.
Radhia sweety
Kulingana na identity yako,ninapata wasiwasi kwamba huenda ukawa ni mmoja wa wale wanaotumika au mnaofaidika na mfumo fisadi ambao umekuwa ni Janga la kitaifa. Kwa sasa.

Mara nyingi nafuatilia majibu yako humu ndani JF,na huwa nakuta kwa ujumla ni maJibu yanayokera na mzaha tupu,naomba nikuulize Je wewe ni KIMADA WA MMOJAWAPO WA MAFISADI?

Nakusihi kama ndivyo basi elewa baadhi ya mambo unayoyafanyia mzaha humu ndani ,huwa si jambo jema,hasa kama wewe ni mwanafunzi wa ustaarabu naomba umpe ushirikiano zaidi mwalimu wako.
kama sasa hivi wanakutumia elewa iko siku watakuchoka na kumpata sweety (majibu yako yanaashiria wewe si sweety bali kero) mwingine badala yako,na hapo ndio huenda yakakukuta kama huyu msaidizi wa Mwakyembe alivyotumika na baadae amepata mshahara wake.(ameuawa ili kuficha ushahidi)
 
kaka wa marehemu sara richard yuko hapa jf na wiki jana alisema kuwa dada yake aliugua gafla baada ya kutoka kazini....na alipopelekwa hosp...tumbo lilikuwa limevimba sana..alipopimwa ikagundulika kuwa mwili mzima umejaa sumu.....na hivyo kushindwa cha kufanya...kaka yake aliyekuwa anamuuguza(jf member) alimuomba daktari amfanyie upasuaji lakini daktari alikataa na kusema hawezi kufanya upasuaji maana mwili mzima umejaa sumu na hajui ni sumu aina gan.....usiku huo huo akafariki dunia
 
Kupitia waraka huo alioutoa kwa ndugu na rafiki zake wa karibu, Dk. Mwakyembe anasema mhudumu aliyetumika bila kujijua ni wa kike kutoka katika kijiji cha Ipinda, wilayani Kyela, mkoani Mbeya, ambaye alihamishiwa ofisini kwake. Inaelezwa kuwa mhudumu huyo aliletwa katika ofisi hiyo siku chache kabla ya siku ya kuweka sabuni na taulo jipya ofisini kwa waziri huyo.

"Nilipoona kuwa najikuna mfululizo mara baada ya kunawia sabuni hiyo,
siku ya tatu nilikuwa na wazo la kupeleka vitu hivyo kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, lakini nilipofika ofisini, vilikuwa vimeshatolewa," anasema Dk. Mwakyembe kupitia waraka huo. Dk. Mwakyembe ambaye yuko nchini India kwa awamu ya pili ya matibabu, anasema alianza kumuuliza maswali ya kina mhudumu huyo ili kujua kwa nini vifaa hivyo viliondolewa ghafla wakati alivitumia siku moja, hakufanikiwa kupata majibu ya kina.

Mbona hapo kwenye red bado pananipatia maswali mengi kuliko majibu!,
1. Kama huyo binti (RIP) aliviingiza hivyo vitu bila kujijua, ina maana hakuwa na taarifa zozote juu ya watu waliokuwa na hizo njama. Sasa kwa nini watu hao muue wakati hakuwa na madhara kwao?
2. Kama huyo binti aliviingiza hivyo vitu bila kujijua kwa nini hakutoa ushirikiano namna vitu hivyo vilivyopotea katika mazigira ya kutatanisha?
3. Kama watu hao walikuwa na uwezo wa kuviondoa vitu hivyo katika mazingira hayo bila kujulikana, ina maana walikuwa na uwezo wa kuviweka katika mazingira hayo bila kujulikana. Sasa ni kwa nini walimtumia Bint huyo?

Ugua pole Dr. HM, nina imani ipo siku ukweli utajulikana. Mateso unayopitia hayakwenda hivi hivi kama kuna watu wapo nyuma yake
 
mle kwenye ofc ya mwakyembe wakati dada huyo anahamishiwa hapo yule aliyekuwepo mwanzo hakuondolewa.....alipokuja sara idadi ya wasaidizi wa mwakyembe pale ofcn ikawa wawili...baada ya kazi kumalizika na sara kupotezwa yule msaidizi wake wa awali bado yupo.....
 
Japo kwenye suala hili la kuugua kwa Dr. Mwakyembe, speculatios na conspiracy theories za kuwekewa sumu ndio the order of the day, nashauri msiziaminie sana hizi habari, nyingine ni 'tales' only!. Subirini report ya pili ya Apollo na ya uchunguzi maalum ya Nahodha itakayohusisha forensic investigation kwa sababu by the time ananawia hiyo sabuni na kufutia kile kitaulo, Dr was under heavy medication!. Ni vizuri pia tukajua alikuwa anasumbuliwa na tatizo gani kabla ya incident ya sabuni na kitaulo!.

Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.

Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amaizing coincidence"!.
unamaanisha ile riport iliyoandaliwa na watuhumiwa?
 
kaka wa marehemu sara richard yuko hapa jf na wiki jana alisema kuwa dada yake aliugua gafla baada ya kutoka kazini....na alipopelekwa hosp...tumbo lilikuwa limevimba sana..alipopimwa ikagundulika kuwa mwili mzima umejaa sumu.....na hivyo kushindwa cha kufanya...kaka yake aliyekuwa anamuuguza(jf member) alimuomba daktari amfanyie upasuaji lakini daktari alikataa na kusema hawezi kufanya upasuaji maana mwili mzima umejaa sumu na hajui ni sumu aina gan.....usiku huo huo akafariki dunia

Kuna kibaraka mmoja wa mafisadi humu JF anajitambulisha kama Radhia sweety,namuomba aseme kama na huu ni uzushi.
 
Mbona hapo kwenye red bado pananipatia maswali mengi kuliko majibu!,
1. Kama huyo binti (RIP) aliviingiza hivyo vitu bila kujijua, ina maana hakuwa na taarifa zozote juu ya watu waliokuwa na hizo njama. Sasa kwa nini watu hao muue wakati hakuwa na madhara kwao?
2. Kama huyo binti huyo aliviingiza hivyo vitu bila kujijua kwa nini hakutoa ushirikiano namna vitu hivyo vilivyopotea katika mazigira ya kutatanisha?
3. Kama watu hao walikuwa na uwezo wa kuviondoa vitu hivyo katika mazingira hayo bila kujulikana, ina maana walikuwa na uwezo wa kuviweka katika mazingira hayo bila kujulikana. Sasa ni kwa nini walimtumia Bint huyo?

Ugua pole Dr. HM, nina imani ipo siku ukweli utajulikana. Mateso unayopitia hayakwenda hivi hivi kama kuna watu wapo nyuma yake

ilichukua mwezi mmoja na wiki mbili kumuandaa huyo dada katika kufanikisha kazi hiyo....na kilichomponza ni kukubali kile kias cha pesa alichoahidiwa......usifikiri alifika hapo bila kujua anachoenda kufanya...yeye hakujua kama akikamilisha kazi hiyo nae atapotea kwenye uso wa dunia
 
Mods naomba mrudishe ile post iliyokuja hapa ikidai Rostam Azizi anahusika na anataka kukimbia nchi,nataka tuilinganishe na huu waraka
 
Japo kwenye suala hili la kuugua kwa Dr. Mwakyembe, speculatios na conspiracy theories za kuwekewa sumu ndio the order of the day, nashauri msiziaminie sana hizi habari, nyingine ni 'tales' only!. Subirini report ya pili ya Apollo na ya uchunguzi maalum ya Nahodha itakayohusisha forensic investigation kwa sababu by the time ananawia hiyo sabuni na kufutia kile kitaulo, Dr was under heavy medication!. Ni vizuri pia tukajua alikuwa anasumbuliwa na tatizo gani kabla ya incident ya sabuni na kitaulo!.

Mimi binafsi bado nasimama na taarifa ya DCI Manumba!.

Kuna kitu kinaitwa "sensionalism" na vifo vya "amaizing coincidence"!.

Mkuu, sikatai juu ya uwepo coincidence za kweli, ila wakati mwingine 'coincidence' hutokea pale tunapo amua kufikiria kitu tunavyotaka kiwe!! Na wakati mingine matukio hupangwa katika namna inayomfanya mtu asiweze kuyaunganisha bali kuyahusianisha katika namna ambayo kwa wepesi itaonekana kama 'coincidence.'
Kinachonishangaza mimi ni namna ulivyoweza kuamua kuchagua kusimama na ripoti ambayo hata yule inayemhusu anadai imepikwa, ni kwa basis ya neno 'kulishwa sumu?' au kuna taarifa hujapenda kutupatia (labda kwa sasa)?

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom