Siri ya SHEIN

Ni kweli Dr.Shein ni kichwa ingawa Mkapa alilazimisha awepo kwani wanamtandao hawakumtaka.Hivyo hazina bado katika uongozi ujao wa TZ.
 
Akiwa kijii cha Misenyi huko Bukoba vijijini

3918d1237472987-siri-ya-shein-shein.jpg
 
Attachments

  • shein.JPG
    shein.JPG
    20.5 KB · Views: 109
Ynaoneqana wengi wetu hapa hatujui siasa na wazoefu wa kulaumu.Hivi kazi za mamakamu wa Marais zinatofautiana ? ni same almost nchi zote.Kabla hatujalaumu tunatakiwa tufanye utafiti sio kuleta Uafrica wetu usio na maana.I love his Presentation is very proffesional.He look like he is a good person.

SAHIBA
 
Sahiba,

Ni nani amemlaumu hapa? Hizi ni habari katika picha na ndicho anachoonekana kufanya zaidi!
 
sheenet220309.JPG

Shein at work, hapo anachoma nyavu za wavuvi haramu wilayani Chato!!

Napongeza hatua ya DK. Shein kwenda Kobenhavn (Copenhagen) kikazi, kwa sababu ofisi yake ndiyo inayoratibu kazi zote zinazohusu mazingira. Ingekuwa si haki kwa raisi kwenda kule ilhali kuna mtu ambaye kazi ile inamhusu moja kwa moja.
Hata hivyo kazi za uzinduzi wa miradi za Dk. Shein zitaendelea akirudi!
Long live JF kwa kumbukumbu hizi!
 
Brazamen yu is veri right! lakini shida yetu ni kuwa hatuko REDE KUONGOZWA NA INTELECTUALS LYKE HIM!
 
Mie naona mwanasiasa akiwa mpayukaji zaidi sisi huzani kuwa ni mkali..Lakini ukweli ni kwamba Dk Shein ni mtendaji na mkali ila si mpayukaji
 
Shein kupelekwa ZNZ ni hatua ya CCM kusambaratisha makundi. Pengine anaandaliwa arudi Muungano 2015 kwa kuwa bado ni mtu asiyehusishwa na makundi yoyote katika chama na serikali.

Swali ni je? ataweza siasa za ZNZ?
 
Back
Top Bottom