Elections 2010 Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

ndio maana wameomba wampitishe ANNA MAKINDA ,maana SITA alikuwa anawatwekea kizuizi..lol shame on u
Once again,the writing was on the wall.... "The current Political Service Retirement Benefits Act, passed by the National Assembly in 2000"

Jamani, jamani, jamani... hivi hili Bunge letu liliingiliwa na kitu gani kipindi hicho?!

Katika historia ya nchi yetu 'tukufu' ya Tanzania,mimi nadhani historia mbaya kuliko zote zimejengeka ndani ya matukio yaliyomo 1998 na 2005.

Laana ya nchi iliyokubwa kuliko yote imejikusanya ndani ya kipindi hiki!!!

It seems were are nowhere yet. We are still guessing right? My hypothesis is getting +. No conclusion yet but believe me ,the president is underpaid. Check the Kenyan counterpart, Uganda etc. You may wish to compare it with some Directors like TANROAD BOSS. I am not trying to defend their misdeed like doing business in the white house. Wanasema Simba akizidiwa hula majani.
Boring but fact. president haihitaji kucreate visafari ili apate chochote kama analipwa fresh au vipi wakuu? I sound like defending the president and I hate it, but have to say it.Utumishi saidieni basi kuweka point straight.

Boss-
Watumishi wa serikali ya Bongo tunalipana mishahara midogo sana (sidhani kama rahisi ana tofauti sana) Yet tunajilundikia malipo mengi kwenye marupurupu eg per diem, night out allowances, sitting allowances na ma-allowances mengine ya ajabu ajabu ambayo hata kodi hayakatwi. Huku ni kujidanganya na ndio maana ukienda kwenye ofisi yoyote ya serikali hukuti watu maofisini. Wote wanapiga misele nje ya vituo vyao kujazia kipato. Ambao hawasafiri ndio wadai rushwa wakubwa. Tuweke mishahara inayokidhi haja ubabaishaji utaisha.
Having said that, wekeni nje mshahara wa mkulu tuujadili basi.Come on people.
 
By Mike Pflanz,*Correspondent / July 6, 2010

Nairobi, Kenya

A proposed pay hike agreed to by Kenya’s lawmakers that would increase their annual salary beyond that earned by a member of the US Congress has been met with outrage across the country.

The East African nation’s members of parliament voted to boost their pay by 40 percent to more than $175,000 a year in a country where the average national income is $1,600. Rank-and-file US lawmakers earn $174,000. And in terms of what their wages can buy in the local market, Kenya’s MPs would be leagues ahead and would be among the best paid legislators in the world, earning more than most European politicians.

Conspiracy theories rife in wake of Kenya bomb blasts

Kenya reins in hate speech ahead of constitution vote

Kenya news coverage

.

“It is impossible for us to believe that at time when all of the world is tightening belts, our fat MPs are voting to make themselves even fatter,” says Beatrice Kahiga, a gas station attendant in the town of Nyeri, north of Nairobi. “People across this country are going without food daily, they are walking far to find work, often in vain, they are lacking electricity, clean water, hospitals. Are these not the things our taxes should go to?”

The proposed pay hike formed part of the final report of a commission set up to review MPs’ pay after years of public dissatisfaction, especially strong because most of the remuneration is untaxed.

Three pay hikes since 2003

On at least three occasions since 2003, MPs have hiked their salaries way beyond Kenya’s base inflation rate.

Often pay review legislation sweeps through Parliament in a fraction of the time it takes other laws to pass.

So, the review panel, led by former appeal court judge Akilano Akiwumi, recommended that the country’s lawmakers should now pay tax on most of the salary and allowances. But the Akiwumi tribunal’s proposals also included the $50,000 a year sweetener – backdated to May 2008.

Calculations vary (due to complex allowance packages), but most estimate that the MPs will end up better off each month, despite paying more tax.

“Who told my MP that he deserved a salary increase? It was embarrassing listening to [him] advocate for the increase as those who deserve it, teachers, doctors, nurses, suffer,” says Nairobi resident Linus Muchenya. “Our MPs expect to earn salaries above what CEOs of respected companies earn. Do they really know how hard our CEOs work to justify their pay?”

Emergency meeting postponed

An emergency Cabinet meeting called by President Mwai Kibaki on Tuesday to discuss the pay hike has been postponed.

But the finance minister, Uhuru Kenyatta, has warned MPs that there is not enough money in his 2010 budget (Kenya’s largest ever) for the $8.8 million a year he would have to find to cover the increase.

Prime Minister Raila Odinga has already said that he would not accept his recommended pay rise, which would take his pre-tax salary to $486,000 a year, more than President Obama’s $400,000 basic wage.

Will MPs derail government business?

Already, some MPs are privately threatening to derail government business unless their salary is increased in line with the Akiwumi recommendations, which still need to be agreed by the government before taking effect.

“It appears very unpalatable to the general public, I will not deny it,” says one MP, who refuses to be named. “But one must understand that the money we are paid, so much of it is spent from our own pockets on our constituencies. The idea that we run off with it to spend it all on expensive trinkets or exotic holidays is simply not true.”

The tribunal’s findings may back up that legislator’s lament.

It found that repayment of loans – mostly taken to finance election campaigns or grand houses – left more than half of the country’s 222 MPs with take home pay of less than $1,280 a month.
 
Haya mafao mbona ya kawaida tu kama mtu angekuwa mwadilifu? Tatizo la huyo mzee ni kukosa uadilifu. Nyie mnataka Rais mstaafu akauze karanga ili aishi au aingie jikoni kujipikia? Give me a break! No country in the world will fail to give these to its ex-President.
Issue sio rais akauze karanga, issue ni kuwa je, TZ can we afford to pay such amount while our mothers wanakufa hospitalini kwa kukosa dawa na wadogo zetu wanakosa fedha za kulipia elimu zao. mi nadhani tungeweza kuruhusu kiasi hicho kama tungekuwa na proper utilization of our resources. Then tuhakikishe huduma muhimu kwanza kabla hatujamfanya rais aishi kama yuko peponi, ilhali wananch wake ni ombaomba.
 
Boss-
Watumishi wa serikali ya Bongo tunalipana mishahara midogo sana (sidhani kama rahisi ana tofauti sana) Yet tunajilundikia malipo mengi kwenye marupurupu eg per diem, night out allowances, sitting allowances na ma-allowances mengine ya ajabu ajabu ambayo hata kodi hayakatwi. Huku ni kujidanganya na ndio maana ukienda kwenye ofisi yoyote ya serikali hukuti watu maofisini. Wote wanapiga misele nje ya vituo vyao kujazia kipato. Ambao hawasafiri ndio wadai rushwa wakubwa. Tuweke mishahara inayokidhi haja ubabaishaji utaisha.
Having said that, wekeni nje mshahara wa mkulu tuujadili basi.Come on people.

JAMANI MIMI NALIPWA 1,800,000/= bila malupu lupu
makato kwa mujibu wa sheria ni kama hivi :
PAYE sh 418,585/=
NSSF sh 180,000/=
Net pay =1,201,415
Mke wangu analilpwa sh 830,000/=
Statutory deduction nia kama
PAYE = 150,000/=
NSSF= 80,0000/=
Net pay= 600,000

Kwa hiyo mimi na wife tuna net income ~1,800,000/= (baada ya kodi na NSSF)

Na bajeti yetu kwa mwezi ni kama (kwa vile vitu muhimu):
Kulipia Mkopo wa gari kule BANK( Toyota Vitz) = 350,000/=
Pango ya Nyumba kwa mwezi (upande) = 250,000/=
Gasoline = 200,000/=
chakula Mchana(Mimi na wife kazini), 3500X5X4x2 = 140,000/
Account ya ELimu mtoto (kwa kulipia ADA) = 100,000/=
Shooping ya Matumiza ya Nyumba kwa mwezi
(for non perisable goods) = 200,000/=
Pesa inayoachwa home kila siku 10,000X30 = 300,000/=
TOTAL = 1,500,000/=
Tuna baki na sh 300,000/ kwa mambo mengine na hatuwezi kusave hata kidogo, mimi nafikiria niache kazi niwe mjasiri wa mali maana naona hizi ajira bogo ni uzushi tu , mpaka uibe ndo ufanikiwe
Kwa hiyo mnaona hali halisi
Mimi na Mke wangu wote Magraduate na hali ndo hiyo

Lakina kuna jirani yangu hapa anafanya kazi NEMC na Mkewe anafanya wizara fulani
wao mishahara yao ile basic ukiijumlisha ndio sawa msharaha wa wife peke yake
lakini wenzetu kila siku ni safari za nje , kwa hiyo Nyumba wanayoishi Ghorofa wamenjenga wenyewe na wana Magari 2 LAV4 na Nissan X-trail

Kwa hiyo issue sio Kiwango cha Mshahara bali ni nafasi ya jina lako kuzungukwa na makando kando kama mzee wa vijisent

Mfumoko wa bei na kodi kubwa kwa wafanyakazi ni issue

Hiyo mishahara ya mawaziri na viongozi waandamizi serilikalini ni vungu tu

Income yao kubwa sio mishahara ni makando kando

Hata Rais akilipwa sh 10,000/= provided makando kando bado yanaendekezwa Mshahara huo unatosha sana
 
pole mkuu ndio maisha yetu hayo
jamaa walioko serikalini wanakwambia mshahara hata hawaujui ukoje
vikao na posho ndo maisha man, slaa alituambia tumpe nchi tukaona anatania imeshakula kwetu tena
 
pole mkuu ndio maisha yetu hayo
jamaa walioko serikalini wanakwambia mshahara hata hawaujui ukoje
vikao na posho ndo maisha man, slaa alituambia tumpe nchi tukaona anatania imeshakula kwetu tena
Ahsante Ndugu yangu , ninashangaa watu wanaipendea nini CCM wakati halia ndo hiyo
 
Eeh God forbid. No wonder his de minor and arrogance that day at Jangwani when campaigning for JK.
 
Kima cha chini shs.315,000/= kimeshindikana kulipa wafanyakazi maana SERIKALI YA CHAMA CHA MAFISADI-CCM haina pesaaaa!
This proves what kind of a government Tanzanians have a trust in it!
Ni wizi mtupu.

CCM Pambaf!
 
Back
Top Bottom