Siri ya kufukuzwa Wanachuo nje

huu ni uchochezi wa wazi usio na maana.kule udom mliwahamasisha ma dent wakafanya fujo siku ya mwisho mkazima simu mlipoona maji yamefika shingoni.hakuna jamii inayoweza kuishi bila sheria kufuatwa,kabla ya kumlaumu mtu yeyote tuangalie kwanza makosa ya wanafunzi,tusikurupuke na matamko yasiyo na kichwa hapa.huyo heche hana jipya atumie muda huu kukijenga chama badala ya kuhadaa wananchi kwenye vyombo vya habari.
hulijui ulisemalo mkubwa ongea kama mtu uliekamilika kiakili na kimawazo , rudi shuleni kwanza inaoneka hako kaelimu hakajakutoa gizani bado au uliunga unga vyeti{{{{{ ZZZZZZZZzzzzzzzzzzzzz}}}}}
 
Ili serkali iwe na uhalali wa kusimamia sheria kwa raia wake lazima iwatendee kwanza haki!!!
 
wewe sijui akili umepeleka wapi au umekurupuka!

ngoja nikupe hii

Chuo cha St Joseph wanafunzi hawajapewa pesa ya kujikimu kwa muda wa wiki 5 sasa bila maelezo yanayoeleweka. Unajua wanaishije?
1. Mabinti wanajiuza/kujirahisi wapate hela ya matumizi
2. Wamefukuzwa hostel kwa kushindwa kulipa
3. Wapo wanaopitisha siku bila kula
etc
na kesho wamepanga kugoma kuingia darasani na kuandamana. Unadhani hapo nani hana nidhamu kati ya serikali na wanafunzi?
ungejisikiaje kusikia dada yako / mwanao wa kike anajiuza/ kujirahisi Dsm ili apate hela ya matumizi?
AMKA ACHA UJINGA, UNADHANI NANI ANAPENDA FUJO?!

Mkubwa ni kweli sidhani kama kuna binadam mwenye ailki timamun hupenda fujo!!
 
ccm ni wachochezi wa migogoro! nani hajui kelele za wanafunzi wa vyuo hivi kama ni ya msingi.
vyuo hivi si mali ya ccm ni mali ya umma,
sasa umma tuchukue hatua hawa vijana warudishwe mara moja,
wengine ni madaktari watarajiwa muhimbili bado miezi michache 2 wamalize
kodi zetu zinapuuzwa na kutumiwa hovyo hovyo 2
ni hospitali ngapi hazina waganga huu ni ushenzi mtupu!!!!
 
Home of Great Thinkers! Ur too biased dear friends, why dont you look things impartially. Wanafunzi hao walistahili adhabu waliyoipata na bado ile ya mahakama ya kuharibu mali za chuo kwa makusudi. Uchunguzi ukikamilika na wale wa Muhimbili nao chali, haiwezekani daktari afanye fujo tena kwa kurusha mawe kwa wazee achilia mbali viongozi wa serikali halali iliyopo madarakani halafu waachiwe tu! hakuna mfumo wa kipiumbavu namna hiyo mahali popote pale duniani. Naunga mkono hoja.
 
Bibi, acha kuchangia bila facts. Hao waliokamatwa, walikamatwa tarehe 11 november ile siku ya mgomo wa kuwaomba Bodi ya Mkopo iangalie suala la mkopo kwa kina kwakuwa hapa chuoni watu zaidi ya 600 wameshindwa kusoma kwa kuwa hawana mkopo na wana vigezo vya kupata mkopo. Siku hiyo hapakuwa na fujo, na hakuna mali iliyoharibiwa. Wiki iliyopita walisamehewa na Mukandara, na akasema watarudi. Tatizo ni kuwa jumatatu mkopo ulipotoka CoeT walikuwa hawajapata mkopo na mwaka wa kwanza hawakuona majina yao ya kuchukua mkopo Auxiliary, kuna kikundi cha watu wajinga kikaamua kuanza fujo. Na most of them walikuwa ni CoeT. Hakuna ushahidi kabisa kuwa wale waliokamatwa november 11 walihusika tena wiki iliyopita, hawakuwepo, wameonewa kabisa. Pia kuna wengine hasa wasichana wa mwaka wa kwanza waliokamatwa walikuwa kwenye shato wakiwa wanarudi mabibo ile siku ya november 11, mapolisi walipoanzisha vurugu kwa kupiga mabomu waliokuwa kwenye magari walikamatwa, japokuwa hawausiki lakini mapolisi hawakulijua hilo.
Wewe unaropoka kwa kuwa huna ndugu au mtoto anayeteseka chuoni. Hujui uchungu wa kufukuzwa chuoni hasa ukiwa huna kosa.
 
Kama tu wafanyakazi wa sirikali wana grudges ambazo hazishughulikiwi seuze wanafunzi. Gombanieni banaa, enzi zetu tulikua tunagoma hadi kinaeleweka. Msije mkawa legelege kama serikali yenu. Na wazazi wenu ndo wanaendaga kushangilia hotuba za mukulu, muwaelimisha pia
 
huu ni uchochezi wa wazi usio na maana.kule udom mliwahamasisha ma dent wakafanya fujo siku ya mwisho mkazima simu mlipoona maji yamefika shingoni.hakuna jamii inayoweza kuishi bila sheria kufuatwa,kabla ya kumlaumu mtu yeyote tuangalie kwanza makosa ya wanafunzi,tusikurupuke na matamko yasiyo na kichwa hapa.huyo heche hana jipya atumie muda huu kukijenga chama badala ya kuhadaa wananchi kwenye vyombo vya habari.

Umeongea vizuri sana mkuu
lakini sasa tamko la HECHE ndio limetoka hivyo na tayari vijana wa vyuo vikuu wamepata mchawi wao sasa sijui utazuia vipi habari hii isiwafikie vijana
maana hawa vijana ndio waleta mabadiliko,so mnapo wachezea kwa kuwafukuza na kusema wasidahiliwe mahali popote pale ni kama kumchimbia mtu kaburi kabla hajafa
 
Sasa anawasaidiaje hao waliofukuzwa? maana pale Udom mpaka sasa zaidi ya madent 400 hawajarudi chuo tangu june na hii ilitokana na wao kuwajaza ujinga.Kukaa mbele ya vyombo vya habari na kusema haoitoshi.Muungwana ni vitendo bana!!
Udom ni 511 wote wamepewa tarehe wanahojiwa. Mmoja
 
Back
Top Bottom