Siri ya JK kutomteua Naibu Waziri wa Ulinzi

Mutabora

Member
Apr 29, 2010
45
4
Baada ya mlipuko wa mabomu Gongo la Mboto Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi anatakiwa kujiudhuru kwa kuendelea kuvurunda hata baada ya milipuko ya Mbagala.Siri ya kutomteua naibu waziri wa Wizara hiyo bado ni siri ya JK.
 
Baada ya mbagala alisema haitakuja rudia tena na ikijakurudia basi ataachia ngazi labda ni suala la kumkumbusha tu...................ila kwa ccm hii ya kikwete haiwezekani....nakumbuka aliyekuwa waziri wa elimu kabla ya huyu kawambwa dhaifu aliwahi kutamka kuwa mitihani ikivuja atajiuzuru haikuchukua muda ikavuja na hakujiuzuru na hakuna chochote kilichofanyika dhidi yake...................hii ndiyo tz nchi nzuri tuipoendayo kwa dhati
 
Serekali inafanya upumbavu wa hali ya juu hongera{KIKWETE,PINDA,MWINYI,MAKINDA,AUGUSTINO RAMADHANI,VUAI NAHODHA}coz masikini wanaongezeka na vilema MUNGU ibariki CCM na ibariki TZ
 
Back
Top Bottom