siri ya jinsi ya kujiajiri!!!

I wish many of turn out to be self employed individuals, participating in key economic sectors of this country. Tusilundikane kwenye biashara ya chuma chakavu, kutakaacha biashara za kutumia elimu na ubongo kwa watu kutoka nje peke yake. Lets have the spirit of we can do it to make life better for ourselves and this nation.
I have started doing it! No matter what one day I would stand out to be a different person!
 
kinachotufanya watanzania wengi kuwa masikini ni uchoyo wa information. Alikuja mfaransa m1 alitupatia mafunzo ya jinsi ya kupata mtaji,jinsi ya kuanzisha biashara yako.jinsi ya kukuza biashara yako mafunzo yalikuwa ya wiki 2. Baada ya kukomaa alituonyesha oppotunity nyingi zilizopo tanzania na jinsi wa tz tulivyo lala kweli nilijiona mjinga sana nikasema ndo maana wakija wageni wanatajirika haraka sana nakubaki tuna roho ya kwanini .jamani kuna oopotunity nyinngi sana ss ndo tumelala uku tukibaki kulaumu serikali .plz haya mafunzo yanatolewa bure pale benjamin mkapa tower bure kbsa hamna kiingilio stop blaming anyone except u r self.uwoga wako ndo umasikini wako.kwa wale wanaoamini ktk ujasiriamali plz chk with me nikupe mchakato mzima.

Unaowaambia wanaficha elimu wewe ndiye namba one. Kama elimu uliyopata huko usingekuwa na wivu ungeimwaga hapa na wengine wajifunze kwani si wote wenye nafasi ya kwenda kuhudhuria huo. Labda umetumwa kuja kukusanya watu ili kujaza darasa?
 
Tukija huko BENJAMIN TOWER hiyo nauli ni ww ndio utatoa?! acha ubwege ww! toa maujanja hapa wa2 2pate maujuzi sio unaleta blabla kama serikali ya ccm.
 
MTOA MAADA NAOMBA UTUHAKIKISHIE HAYA YAFUATAYO.

1. Hiyo semina ni ya kujiajiri kweli au?

2. Je ni ya kuuza foreverliving?

MKUU PROVE KWAMBA SI STORY ZA FOREVER LIVING, MAKE SEMINA SIKU HIZI ZIMEKUWA NYINGI SANA NA UKIIN GIOA UNAENDA KUWEKEWA MOVE ZA WATU WALIOUZA MADAWA WAKAFANIKIWA,

- NINA UHAKIKA HIYO SEMINA NI YA FOREVER LIVING, INGAWA NIKO MBALI LAKINI WATAKAO HUDHURIA WATAKUJA KUPROVE HAPA, UKISIKIA SEMINA YA BURE JUA NI DARASA LA KUUZA MADAWA.

- NA HAWA FOREVEL LIVING, GNRD, TIENS AN WENGINEO NI WAJANJA SANA KWANZA WANATUMIA MAJENGO MAKUBWA KUFANYIA SEMINA ZAO ILI UAMINI KWAMBA WANA PESA, TATIZO LIKO KWENYE PRACTICE.

MTOA MAADA AWAHAKIKISHIE KWAMBA SI SEMINA YA KWENDA KUUZA MADAWA
 
pole sana! Kama ulikutana na biashara za kimachinga. Semina inayoenda kutolewa ni elimu ya ujiasiria mali. Ww ndo utaamuwa ukafanyie nn iyo elimu ya ulioipata.
 
Mkuu mimi nadhani wengi hatuja kuelewa uzuri ingawa unachozungumzia kina mantiki kubwa
Hebu jaribu kudadafua tena vizuri hii maneno ikoje na utaratibu wake mzima
 
I wish many of turn out to be self employed individuals, participating in key economic sectors of this country. Tusilundikane kwenye biashara ya chuma chakavu, kutakaacha biashara za kutumia elimu na ubongo kwa watu kutoka nje peke yake. Lets have the spirit of we can do it to make life better for ourselves and this nation.
I have started doing it! No matter what one day I would stand out to be a different person!
Nimependa sana mjasiriamali mwenzangu.
 
kinachotufanya watanzania wengi kuwa masikini ni uchoyo wa information. Alikuja mfaransa m1 alitupatia mafunzo ya jinsi ya kupata mtaji,jinsi ya kuanzisha biashara yako.jinsi ya kukuza biashara yako mafunzo yalikuwa ya wiki 2. Baada ya kukomaa alituonyesha oppotunity nyingi zilizopo tanzania na jinsi wa tz tulivyo lala kweli nilijiona mjinga sana nikasema ndo maana wakija wageni wanatajirika haraka sana nakubaki tuna roho ya kwanini .jamani kuna oopotunity nyinngi sana ss ndo tumelala uku tukibaki kulaumu serikali .plz haya mafunzo yanatolewa bure pale benjamin mkapa tower bure kbsa hamna kiingilio stop blaming anyone except u r self.uwoga wako ndo umasikini wako.kwa wale wanaoamini ktk ujasiriamali plz chk with me nikupe mchakato mzima.

mbona hauweki full details?
 
seminar za ujasiriamali,watoa mada hawana hata kibanda cha kupigishia simu!wanatakiwa waje kama akina mengi wamwage maujanja!sio wasanii wa mjin wanataka kula mda wa watu bure tuu!
 
Ni mpango mzuri endapo utatekelezwa. Shirikisha wataalam wa fani muhimu katika kuanzisha biashara binafsi na fursa mbalimbali zinazoweza kupatikana. Nitapenda kushirikishwa kama mjasiriamali mdogo
 
wanasema kwamba kuna business inaitwa mult level marketing ni biashara vijana wengi sasa hivi wanaifanya,,, haihitaji mtaji mkubwa useme inabidi utafute hati ya nyumba ukakope bank inahitaji akili yako na wewe unawezaje kutafuta soko,,,, so ukiwa interested unaweza kuitafuta na kujua zaidi kwa email dayookazy@gmail.com au kwa simu 0777409745 watakueleza kila kitu na wapi unaweza kuwakuta na hizo training zao huusu hiyo biashara zinapatikana wapi....
 
mkuu Komando, kwani wanaouza dawa Foreverliving wamekuwa ni wamachinga???????? as long mtu unapata hela ya maana me nadhani haina tatizo maana watu tunatafuta kazi ili tuboreshe maisha yetu sasa kama mtu unaoewa opportunity unaambiwa hapa unakula bila kupoteza chochote sidhani kama itakuuma kama ukifungua genge alafu life kabla hujarudisha mtaji wako

tatizo letu sisi tunajua kusoma lazima ukakae ofisini miaka 30 mwisho wa siku ustaafu na kupiga kelele vitu vinapanda bei na serikali yenyewe mwisho wa siku hata hawatusikilizi wananchi tunazidi kuumia tuuu hapa

me nadhani kila mtu atumie kila opportunity inayokuja mbele yako bila kujali kiwango chako cha elimu..... maana hata ukiwa na PHD ukipita barabarani haman mtu anayeitambua ndugu yangu inatambulika tuuu ukiwa na hela na mtu akikuona wa tofauti....... sasa sie tunaochagua kazi ndio mwisho wa siku tunakuja kudai mafao hadi tunakufa bila kuyapata

me nashauri kuliko ukae nyumbani bila kazi ukisubiri kazi nzuri itokee fanya chochote kinachokuja mbele yako as long ni cha halali angalau upate cha kuprintia barua zako za application la sivyo stress zitatuuwa mjini hapa

tujiwekee tabia ya kujifunza kitu kabla hatujakifanya jifunze, ielewe then amua

msinichambe ni maoni tuuuu
 
Umachinga huu.
 
tatizo la ajira limekuwa sugu na sio tz tuu ni dunian kote. Wanaofanikiwa ktk maisha kwa sasa ni wajasiria mali kama sio wanasiasa. leo hii nataka niwafundishe jinsi ya kujiajiri kuwa na big bussiness badala ya kutegemea kuwa mwajiriwa maisha yako yote. Baada ya kukaa kitaa miaka miwili nilibaatika kupata haya mafunzo ya ujasiriamali na sasa maisha yanaendelea vizuri

Sasa hapa umetufundisha lipi?
 
Toka kwa Alizeti
Kwenda kwa Joseph Isaac
Naomba nikupe namba zangu za simu ili nami niweze kuhudhuria mafunzo hayo ya ujasiriamali kama ulivyo eleza.
0754769699 na 0784769699.
Nipo Morogoro Manispaa
Ahsante
 
huyu jamaa joseph isaac mkuda sana yaani anazunguka tu badala ya kujibu maswali ya wana jf,yaani we jamaa umeniudhi kishenzi yaani!!!!!!!!!!!!!!!!!unatuletea u***ji**nga humu wakati watu wana uhitaji mkubwa wah hii elimu halafu unabaki kulalamika tu eti watu wantaka kuajiriwa badala ya kumwaga hiyo elimu hapa,vp kwa walio mikoani au nje ya nchi au unadhani jf ni hapo posta tuu?!!!
toa upupu wako humu,.yaani ulivyonikera ngoja niishie hapa maana naweza kula BAN sasa hv mpuuzi wewe(samahani wana jf)
 
Sorry sana. Kwa kukwazika baati mbaya sana hujui kuongeaa Na watu wapo walionufaika na Hii program.tatizo ni kwamba huna busara za kutafuta chakwako na siokilakitu kinataka Jaziba.jifunze kuongea na watu mdogo wangu amasivyo utabaki kulalamika tuu
Hii program ni yawajasiria Mali sio watafuta kazi. Thn hii nimejitolea km mwenyewe kusaidia tz wenzangu sio kuwa nimeajiriwa na jf ivo ndugu sio lazima ufuate.wiki njema
 
0765377506.
Pls sio lazima u comment! Hii ni kwa wale wenye ndoto za kujiajiri yan self employment. Na nikusaidia watz wenzangu wanaohangaika na ajira. Na hii sio biahara ya umachinga no! Ni kuonyeshana oppotunities.
Unajua waTz kujieleza nako ni tabu.........
Nadhani huyu mtu anataka kupigiwa simu kwa details zaidi na hataki umwaga hapa janvini. so wadau ambao mpo interested mpigieni kawawekea na namba yake
 
mimi namuelewa siri ya MLM/NM au biashara ya mtandao huwezi ongea na mtu kwa simu au kwa kuchat ndio maana anakuwa kama anaonekana mbishi kikubwa kama unahitaji kujua mawili matatu nenda alipokuelekeza ujue kinachoendelea, na yeye kusema hivyo haimaanishi anafundisha yeye yeye inaonekana ni downline hivyo ana upline anyetoa mafunzo kikubwa ni kuelewana tu tusitumie nguvu nyingi sana kulumbana. ni katika kuwekana sawa nadhani mtanielewa wakubwa
 
mkuu Komando, kwani wanaouza dawa Foreverliving wamekuwa ni wamachinga???????? as long mtu unapata hela ya maana me nadhani haina tatizo maana watu tunatafuta kazi ili tuboreshe maisha yetu sasa kama mtu unaoewa opportunity unaambiwa hapa unakula bila kupoteza chochote sidhani kama itakuuma kama ukifungua genge alafu life kabla hujarudisha mtaji wako

tatizo letu sisi tunajua kusoma lazima ukakae ofisini miaka 30 mwisho wa siku ustaafu na kupiga kelele vitu vinapanda bei na serikali yenyewe mwisho wa siku hata hawatusikilizi wananchi tunazidi kuumia tuuu hapa

me nadhani kila mtu atumie kila opportunity inayokuja mbele yako bila kujali kiwango chako cha elimu..... maana hata ukiwa na PHD ukipita barabarani haman mtu anayeitambua ndugu yangu inatambulika tuuu ukiwa na hela na mtu akikuona wa tofauti....... sasa sie tunaochagua kazi ndio mwisho wa siku tunakuja kudai mafao hadi tunakufa bila kuyapata

me nashauri kuliko ukae nyumbani bila kazi ukisubiri kazi nzuri itokee fanya chochote kinachokuja mbele yako as long ni cha halali angalau upate cha kuprintia barua zako za application la sivyo stress zitatuuwa mjini hapa

tujiwekee tabia ya kujifunza kitu kabla hatujakifanya jifunze, ielewe then amua

msinichambe ni maoni tuuuu

wanaitwa aloverag.
 
Back
Top Bottom