Siri ya chupi!

Yooote 9 ! Sasa 10 unyeti wa Chupi upo kwenye hili ; Sijawahi kuona mwanaume awe awavyo amemnunulia mamaake mzazi/mkubwa au mdogo zawadi ya chupi ! Atamnulia nguo aina kwa aina lakini chupi hamnunulii whaaay ?
Na kwa wanawake kinyume cha hili huweziona kamnunulia babaake haka kanguo! Hapa patoshe kutoa dira kwamba chupi ni NYETI.
 
Supu ya chupi ni maarufu sana mikoa ya Arusha na Kilimanjaro
Khaaaaa!
Kwa hili nimeshawishika kukusalimia mtumishi wa mungu,
Nakusalimu ktk jina la yesu,
Napenda unipe location ya inakopatikana hiyo supu nimepata hamu ya kuionja lol!
 
chupi sio siri tena, zamani hata kutamka neno chupi ni kama vile umetamka kiungo cha siri katika mwili wa binadamu. hamna siri, mitishamba acha kuanika chupi chumbani kwako nyuma ya pazia la dirisha ama pembezoni mwa kitanda utaumwa!
 
Yooote 9 ! Sasa 10 unyeti wa Chupi upo kwenye hili ; Sijawahi kuona mwanaume awe awavyo amemnunulia mamaake mzazi/mkubwa au mdogo zawadi ya chupi ! Atamnulia nguo aina kwa aina lakini chupi hamnunulii whaaay ?
Na kwa wanawake kinyume cha hili huweziona kamnunulia babaake haka kanguo! Hapa patoshe kutoa dira kwamba chupi ni NYETI.

Kabisaaaaaa!!.Ni kama vile usivyoweza kumfunulia mzazi wako akulale au mlalane then huwezi ukamnunulia hiki kivazi..
 
Huwa nainunua hadharani,naifua hadharani,naianika hadharani ila naivaa kwa siri km zilivyo sehemu inapovaliwa ni ya siri,
Haiwezi kuonekana na watu kwan ni lzm iwe imefunikwa na nguo zingine otherwise ukitembea nayo mtaani bila kuvaa nguo zingine lzm utaonekana mwehu na sio utaratibu wake!
 
Khaaaaa!
Kwa hili nimeshawishika kukusalimia mtumishi wa mungu,
Nakusalimu ktk jina la yesu,
Napenda unipe location ya inakopatikana hiyo supu nimepata hamu ya kuionja lol!
inapatikana almost bar zote hapa arusha ila ya pale kenny garden ama pale florida wanajua kuiandaa vizuri zaid.
 
inapatikana almost bar zote hapa arusha ila ya pale kenny garden ama pale florida wanajua kuiandaa vizuri zaid.
Hebu nifafanulie hiyo supu ni ya mnyama aitwaye chupi au ni ya chupi hizi hizi nguo?na zinapikwa zikiwa mpya au used?
Fafanua tafadhali lol!
 
Khaaaaa!
Kwa hili nimeshawishika kukusalimia mtumishi wa mungu,
Nakusalimu ktk jina la yesu,
Napenda unipe location ya inakopatikana hiyo supu nimepata hamu ya kuionja lol!

Ukiwa Moshi ama Arusha ulizia kwa akina mama Ntilie almaarufu kama kama mama lishe
 
Kitu kingine:
Hili vazi lina sifa kuu moja (ukiacha sifa nyingine ndogondogo):

.....Ni vazi la kwanza kuvaliwa na la mwisho kuvuliwa (tusibishane hapo!).
 
Back
Top Bottom