Siri nzito ya Zombe na Bageni

Ukifuatilia huu ushahidi vizuri Bageni alihusika moja kwa moja kama mtekelezaji wa mauaji kwa kutoa amri. Yule aliyekuwa anaongea naye kwenye simu katika eneo la tukio bila shaka ni mkubwa wake wa kazi.

Kama Bageni ni Kamanda wa upelelezi Wilaya ya Kinondoni bila shaka mkubwa wake ni Kamanda wa upelelezi Mkoa au Taifa. Nani huyo?.........
 
Kama yule aliemuua Mwangosi Daud hajanyongwa,bado sitaziamini hukumu za kitanzania.picha live akimbutua kwa bomu tuliziona then wamemuhukumu tumiaka sijui tungapi tena kapelekwa jela kafunikwa mask tusione sura?je wanatushawishi vipi tuamini kwamba hawakwenda kumuacha kilometer kadhaa mbele akarudi uraiani.hawa wapo wengi wakunyonga sio huyu tu wengi mnoo!
 
msitu wa pande ni pale ilipo law school kwa sasa ambapo lilikua poli kuanzia stend ile mpya mawasiliano hostel mpya zinazojengwa za udsm kwa kifupi lile lilikua eneo la posta na simu enzi izo mpaka huku mkapa foundation
Asante mkuu
 
Kama Zombe alihusika, Mungu atamhukumu hapahapa duniani.
Hivi,hakuna utaratibu wa rufani hapo,ndiyo tuseme yameisha kabisa?
Ama Zombe kutohusika na kuuwa kwa mkono wake,wakati alishiriki mchakato mzima na mpaka kupata mgao baada ya mauaji hayo, je hakuna adhabu ya chini anayostahili kwa ushiriki wake, isipokuwa ni kuachiliwa huru?
Ninaomba wajuzi wa sheria wanisaidie hilo. Vinginevyo nitabaki kutokuwa na imani na mahakama zetu hizi katika utoaji wa haki.
 
Ukifuatilia huu ushahidi vizuri Bageni alihusika moja kwa moja kama mtekelezaji wa mauaji kwa kutoa amri. Yule aliyekuwa anaongea naye kwenye simu katika eneo la tukio bila shaka ni mkubwa wake wa kazi.

Kama Bageni ni Kamanda wa upelelezi Wilaya ya Kinondoni bila shaka mkubwa wake ni Kamanda wa upelelezi Mkoa au Taifa. Nani huyo?.........

Zombe!! Period na alipewa mgawo!
 
Nilitaka kusema wange-produce calls statement lakini bado huyo Zombe angeweza kudai walete ushahidi wa sauti ili kuthibitisha kama kweli yeye alikuwa akiongea na Bageni juu ya njama za mauaji hayo.Ushahidi usioacha shska wakati mwingine ni jambo gumu sana.
 
hanyongwi mtu hapi huyo alikua kwenye system anajua jins ya kulichezesha kama zombe alivyotoka katika hii kesi kimapichapicha ndio hivyohivyo jamaa atakavyosolve msala example balali issue
 
Rais Magufuli ashukuriwe kwa hili. Kuna mijitu ni trigger happy yenyewe ni kuua tu yanavyopenda kwasabab ya nyadhifa zao hila kwasasa yataogopa
 
Back
Top Bottom