Siri nzito ya Kikwete, Karamagi yaibuliwa

Mwafrika wa Kike
,
Kwa hiyo haukuwa ukijua kwa nini tume inatwa "tume ya rais ya madini", unafikiri walishindwa kuita ya buzwagi, au ya Karamagi, in short purpose ya tume sio whitch hunting? kama watu kama wewe mnavyopenda iwe, ni tume ya kutathmini mambo kwa mapana ndio maana wako watu makini kama akina Iddi Simba, Zitto, na wala sio akina wachunguzi wa jinai au rushwa kama akina Tibaigana, Alfred Gewe, na Kina Manumba au Adadi Rajab.au wafanyakazi wa PCCB: au wanssiasa Chacha Wangwe, Mudhihiri, etc.
 
Mwafrika wa Kike
,
Kwa hiyo haukuwa ukijua kwa nini tume inatwa "tume ya rais ya madini", unafikiri walishindwa kuita ya buzwagi, au ya Karamagi, in short purpose ya tume sio whitch hunting? kama watu kama wewe mnavyopenda iwe, ni tume ya kutathmini mambo kwa mapana ndio maana wako watu makini kama akina Iddi Simba, Zitto, na wala akina sio wachunguzi kama akina Tibaigana, Alfred Gewe, na Kia Manumba au Adadi Rajab.au wanasiasa Chacha Wangwe, Muthihiri, etc.

Kilitime,

haya maswali yako yote niliyauliza siku ile ya kwanza ambapo vyombo vya habari vingi bongo vilikuwa vikiita the whole thing kamati na wala sio tume.

Mwanakjj aliweka tofauti hapa ya kamati na tume baada ya kuonekana kuwa the whole thing inachanganya watu.

Inajulikana kabisa kuwa Zitto aliomba iundwe kamati ya bunge na wala sio tume ya rais ambayo mara nyingi huwa haina meno wala nguvu za kubadilisha chochote -kama hata wewe mwenyewe ulivyosema hapo juu.

Kama hii tume haitakuwa tofauti na zilizopita, why waste pesa kidogo zilizosalia na nafasi kidogo iliyopo kwa kuiunda?
 
Mwafrika wa Kike
,
Kwa hiyo haukuwa ukijua kwa nini tume inatwa "tume ya rais ya madini", unafikiri walishindwa kuita ya buzwagi, au ya Karamagi, in short purpose ya tume sio whitch hunting? kama watu kama wewe mnavyopenda iwe, ni tume ya kutathmini mambo kwa mapana ndio maana wako watu makini kama akina Iddi Simba, Zitto, na wala akina sio wachunguzi kama akina Tibaigana, Alfred Gewe, na Kia Manumba au Adadi Rajab.au wanasiasa Chacha Wangwe, Muthihiri, etc.

Kilitime,
unataka kuniambia kila mtu aliyekuwepo pentagone ni mwanajeshi ??
 
Kilitime,
unataka kuniambia kila mtu aliyekuwepo pentagone ni mwanajeshi ??

jibu la swali hilo mbona rahisi... siyo mwanajeshi.. lakini ukiuliza kila afanyaye kazi Pentagon anafanya kazi kwenye chombo cha kijeshi.. jibu pia ni jepesi... reformulate your question..
 
Kadampinzani naona sieleweki ninachotaka kusema,
Tume aliyounda Rais sio exatly kile alichoomba Zitto!
Zitto aliomba kamati ya a uchunguzi "kutafuta mchawi"kwa maneno ya mtaani.
Rais ameunda tume ya labda niseme ya kutafiti/kudadisi/ku-explore how best we can benefit from our endowed natural resources.
Nathani CHADEMA wakilielewa hili hawana hata sababu yakukutana Jumamosi, hakuna sababu ya kuona tatizo Zitto kuwepo kwenye tume. Hapa ni masilahi ya Taifa tu ndio Rais ameweka mbele na akijua Zitto atamuunga mkono.
Lakini yalishasemwa hapa, sio wanaChadema wote wanafurahia Zitto kupaa kisiasa,muda si muda haya yatajidhihirisha.
 
Tatizo wewe ndio unafikiria kupata mafanikio katika kila kitu.

Kama malengo na nguvu ya tume ya rais havieleweki - ona hata wewe unavyohangaika kuielezea - unategemea nini?

Lazima watu wakae vikao na kujadili kila kitu na kuweka kitu wazi ili yasitokee yaliyowakuta kina Lamwai nk. Wana-CHADEMA wa kweli hawaofii zitto kung'ara kisiasa zaidi ya wanavyohofia zitto kugaragazwa na kina Mwakyembe (smart and spinner) hadi akapotea kabisa katika ulimwengu wa siasa.
 
Wewe unajifanya smart sana lakini hamna lolote ungekuwa smart ungeona vitu vilivyo wazi kabisa. hata yule mtoto wa form one aliyembana koo babu yako kule kaskazini ni smart kuliko wewe.

thank you very much kwa kugundua hilo
 
Wewe unajifanya smart sana lakini hamna lolote ungekuwa smart ungeona vitu vilivyo wazi kabisa. hata yule mtoto wa form one aliyembana koo babu yako kule kaskazini ni smart kuliko wewe.

Mkuu labda hatuelewi maana ya neno smart, kwanza umeanza na pumba, wakati anyeziandika ni wewe mwenyewe, sasa unarukia neno lingine tena la smart ambalo halihusiani kabisa na pumba zako,

kichwa cha topic hakihusiani kabisa na maneno yako ya pumba, mpaka smart, halafu ni wapi uliona bin-adam anajifanya, man kila ukiongea unazidisha nonesense hoja huna, maoni ya Lisu hayana nguvu yoyote mbele ya kamati ya rais, I mean unataka wananchi tufanye nini ivunjwe kamati kwa sababu amesema Lisu haitaki? Yaaani sisi wananchi ndio tuliomchagua Cheyo, kuwa kiongozi wa muungano wa wapinzani?

Mkuu weka hoja, maana personal huziwezi kwa sababu humjui mtu hapa, na hakujui mtu hapa, kama ni neno smart nalo pia bado hujaelewa maana yake, kamati iendelee na kazi yake haiwezi kubadilishwa kwa sababu Lisu haitaki, kama ni wanaohusika kujuana wote wabongo tunajuana, sasa tuache ishu muhimu za taifa kwa sababu eti tunajuana? Mawazo ya Lisu, ni kama yako na yangu tu mkuu, hayana impact yoyote kwenye kamati hiyo, mimi binafsi ninawaamini Idd Simba, Zitto, na Mwakyembe kuwa watalisaidia sana hili taifa by the time wamemamliza kazi ya hiyo kamati, ila hatuwezi kuishi kama usual suspects, yaani kila mwananchi na kiongozi ni suspect tu, na sidhani kwamba hiyo ndiyo dhana ya kuwa upinzani katika taifa, yaani wewe sasa kila mwananchi ni suspect tu hapana hili sio taifa la suspects wakuu, ni taifa la wastaarabu ndio maana hata mkoloni tulmwabia kwa lugha inayoeleweka akaondoka!

Wewe kama sio smart sio kosa langu mkuu, halafu huwa ni hoja zinazoamua nani ni smart na nani ni pumba tupu, nafikiri kwenye hii topic sio taabu sana kujua hilo!
 
Tatizo wewe ndio unafikiria kupata mafanikio katika kila kitu.

Kama malengo na nguvu ya tume ya rais havieleweki - ona hata wewe unavyohangaika kuielezea - unategemea nini?

Dada yangu Mwafrika wa Kike,

Najua ungetamani sana tume hii ya rais, ije na majina ya watu!!! hili nadhani itabidi usubiri tume nyingine itakayouundwa na washirika wako labda. (tehe tehe tehhh)

Walioweza sikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri kabla ya kuhaririwa wakati akilizungumzia hili suala la madini nadhani watakuwa wamemuelewa kama nilivyoelewa mimi, uhariri wa vyombo vya habari na perception ya mtu binafsi anavyotaka kulichukulia jambo ndivyo vitu ambavyo vinafanya hili jambo lionekane kana kwamba unahitaji elimu ya wana anga za juu ili kulielewa!

Labda nitoe mfano, wa Tume ya Warioba, kazi yake ilikuwa kuonyesha mianya kwenye jamii na kupendekeza namna ya kuiziba, ingawa pia ikawa na mifano michache ya watu waliozidi kuimaliza nchi kwa rushwa zilizokidhiri lakini nia na madhumuni yake ilikuwa rushwa ikoje kwenye jamii na namna gani ya kupigana nayo!!!

Ambayo kwa maoni yangu sheria zilizofuata zilizingatia kwa kiasi hata kama sio kwa ukamilifu taarifa ile ya tume ya warioba.

Tume ya madini iliyoundwa haina tofauti sana kwenye outcome zake na Tume ya Warioba, kwamba ni mifumo, sheria zinabadilishwe vipi tufaidike,,, nadhani AOB ya tume ndio inaweza taja waliokubuhu kukwepa hata sheria zilizopo, hizi hutolewa kama mifano. kwa ajili ya sheria ijayo kuzipa mianya hiyo.
 
Mtanganyika, unakumbuka Ndesamburo kwenye Kamati ya Mengi/Malima... aliponyanyua "bendera nyekundu"... walimuambiaje?

MJ, Nyangumi heshima juu.
Nakubaliana katika committee kuna swala la majority vote mnaposhindwa kukubaliana, na hapo ndio tatizo linapokuja sababu wahasimu ndio majority. Na kwatanzania copy cat politics ni jambo la kawaida.

Lakini lets not underestimate the whole team, we have Idd Simba, he is not perfect but atleast.
Zitto ameshawatia tumbo joto CCM, and they know that. Ninacho expect ni kwamba kabla ya kufanya chochote Zitto atawaambia wanakamati wenzie what he expect, and then ataangalia what are the reactions from members of committee.

MJ naelewa kuna historical kwamba most of the time kamati hizi hazifanikishi kitu, lakini i think Zitto is different, he is young, energitic, educated and strong. I hope kwamba Zitto will work under displine and high ethics. If worse get worse he have a chance to resign, and comeback to the public to explain why he resigned.

So, let not underestimate this chance. Atleast CCM agree to put a tough guy in the cabinent, this is a positive sign.
 
Hivi Tume aliyotaka Zitto ndiyo aliyoipata? au ndiyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia!

MJ tatizo sio nini Zitto anataka, kukubaliana ili kupata bipartisan resolution ndio main axis hapa. CCM will never give any upinzani what they want, this is not only in Tanzania, but all over the world. Sasa let us focus on this opportunity first,and see what will be the outcomes.
 
Sasa Zitto Hapa Ndio Mahali Pa kufanya Kweli..we Tulia Soma Kipindi vizuli..Nenda nao Ukiona wanakuzingua Jichomoe..lakini Uchomoke na vitu vya uakika...Dont be paranoid
 
Hivi Tume aliyotaka Zitto ndiyo aliyoipata? au ndiyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia!

SIYO, na kwa vyovyote vile Zitto atakuwa anaelewa hivyo;

maana tume ya kwake ilikuwa iwe ya uchunguzi na ilikuwa iwe kamati ya Bunge, ameidai kwenye muhimili wa Bunge, na sio muhimili wa Utawala.

Lakini pia Zitto ni muelewa anaelewa mantiki ya tume ya Rais kwamba ni ya kuangalia masilahi ya nchi zaidi ya sasa na mbeleni, kuliko kuangalia mtu kama mtu, kwani Karamagi akiondoka pale akaja mbaya zaidi ya Karamagi, utahitaji kuunda kamati ya uchunguzi tena,,, kwani ubaya ni mtu, au ni sera, sheria na kanuni?

mbona Watanzania wagumu kuelewa?
 
Back
Top Bottom