MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
kuna umuhimu wa kupima akili za wanaojiunga JF
Broken Heart taratibu au sivyo tutakosa wapya.
kuna umuhimu wa kupima akili za wanaojiunga JF
fuatilieni story nzima ya uanzishaji wa kiwanda cha MSK Solution
Naona hakuna mtu ambaye yuko serious enough kufuatilia hizo alleged kashfa zangu. Sasa sintojibu any of this crap anymore mpaka mtakapoleta ushahidi au hoja objective! Mimi ni Mbunge na ni Mkurugenzi wa Kampuni, kuna uwezekano mtoa mada ameniomba hela sikumpa labda au ameiba kwenye kampuni akafukuzwa anaamua sasa kunichafua na watu hapa mnajadili crap isiyo na substance yoyote badala ya kutafuta ukweli! Is it fair kumjadili mtu based on misinformation? Nimewapeni clue ambazo zinawezawasaidia kuujua ukweli sasa si muutafute? Kampuni yangu haikupata Stimulus Package hata senti moja na ni kweli kuna watu walipata pesa hizo hawakustahili na tuliostahili tulikosa, na in fact MSK Solutions Ltd hadi leo inaidai serikali pesa tuliyowalipa wakulima kama top up on the price wakati wa recession!
Sasa kama msomi kama wewe unashangaa mjasiriamali msomi, kijana agrressive, risk-taking, GOD blessed, GOD fearing, progressive kama mimi, ambaye I decided to immerse myself in building a business with all my energy, knowledge, skills for years with all the opportunities available ningekuwa sijajua tu wawekezaji wanafanyaje kuanzisha na kuendesha miradi. Hapo ningekuwa mjinga wa kupindukia. KTY, kuna watu wengi wanaozifahamu jitihada zangu katika uwekezaji na kuna wengi nimekuwa nikiwaelimisha jinsi ya kufanya na wamefanikiwa kwa ushauri huo. Kwa wanaonifahamu toka siku nyingi wanajua jitihada zangu kwenye kazi. Mimi si msemaji bali mtendaji. Wengi hamjui kufanya biashara. WaTanzania wenye asili ya India na bara arab wamekuwa wakifanya biashara na kuzitumia hizi kanuni za kuwekeza na ku-trade effectively, for generations na wamekuwa wakitajirika na kuishi maisha mazuri kila siku. Siri yao hawakuwahi ku-share na watanzania 'kama mimi' wengi. Miaka ya hivi karibuni na watanzania kama mimi tumeamka na tumejua wenzetu wamekuwa wakifanyaje. Najua humu kuna watu makini na mnaweza kuchunguza kuhusu MSK, basi na mchunguze ili muweke rekodi sahihi.
Wakatabahu,
HK.
Mbona unakimbilia kusema hakuna issue hapa huku kuna habari kuwa hiyo kampuni ilikuwa na mtaji wa zaidi ya dollar millioni tano!! Hizi si hela ndogo by any standards za hapa kwetu Bongo; isije kuwa hawa jamaa kwavile walikuwa karibu na mama Salma waliweza kufaidika na Stimulus package ambayo wajanja wameikomba bila mpangilio na sasa Zitto ndio ameikomalia bungeni!! Hawa wafanyabiashara wa ununuzi wa pamba ndio beneficiaries wakubwa wa package ile ingawa kwa vigezo vilivyotumika kuwapa hizo fedha wengi hawakustahili kupewa hizo pesa walizopewa wakaishia kununua mavogue!!
Lakini ni Daktari alikuwa anafanya kazi WAMA NGO ya Salma Kikwete
Labda nianze na huyu anayesema kuwa mimi niliwahi kula hela ya DARUSO MUCHS nikiwa Rais...nadhani alikuwepo zama zile. Huu ni uongo na hesabu zilifanyiwa uchunguzi na mapato na matumizi kukaguliwa na tume iliyotumwa kuchunguza iliridhika na ikanipa clearance. Kilichokuwepo kwenye tuhuma hizi ni siasa kwa kuwa mtu aliyeshinda uchaguzi na kuwa Rais baada ya mimi kutoka alihisi kuwa mimi nilikuwa mshauri wake na nikimkampenia mpinzani wake mkuu, hivyo alinichukia na kuamua kunichafua vibaya sana. Lakini hayo nayo yalipita. Kuhusu tie za MUCHS hili nalo ni la uongo na pengine umepotoshwa na aliyekuhadithia kuhusu mimi. Maana ni kinyume haswa; mimi niliitisha mgomo kupinga tai na makato ya SFRs (students' faculty requirements) pale ukumbi wa CPL na nilihamasisha wanafunzi wakaandamana hadi pale MPL boardroom ku-stall kikao cha academic board kilichokuwa kikiendelea mpaka tukalipwa! Bila shaka wewe ulikuwa miongoni mwa wale waoga wa harakati za hatari kama hizi hivyo pengine hukuja. Nakumbuka nilitoa hotuba ya ushindi huu jioni ya saa 12 nikiwa ghorofani MPL huku wanafunzi wakishangilia na hapo hela ya tai na ya SFRs ilikuwa refunded to us. Pengine huu utakuwa ni miongoni mwa migomo michache iliyowahi ku-yield mafanikio, katika historia yangu ya pale MUCHS! I really exercised smart negotiation skills siku zile.
Ni Kweli mimi namiliki hisa kwenye MSK Solutions Ltd (17 perc.) Na hili liko wazi wala silifichi, kila mtu huko kwenye pamba analijua hilo. Hata kwenye fomu za ku-declare mali zako kama mtumishi wa umma nimesema hivyo! Hata ukienda BRELA utakuta hivyo! Ni umaskini wa kifikra kuona mimi siwezi kuwa na share kwenye kampuni ndogo kama hii eti kwa sababu ya umri wangu! Ni uelewa mdogo wa kiuwekezaji na biashara kwa ujumla kushangaa hili! Mbona kwenye pamba kwanza sisi ya kwetu ni miongoni mwa kampuni ndogo kabisa? Kwa faida yako, tulinunua kiwanda na asset mbalimbali kwa njia ya mkopo na kila mwaka tunakopa kihalali kabisa mtaji wa kuendeshea biashara hii! Wengi hamuelewi jinsi haya mambo yanavyopelekwa na hivyo mkisikia mtu yuko asset worth 6m USD mnashangaa kabisa! Ni maajabu kabisa eti?! Hata mimi nilikuwa hivyo sema baada ya kufukuzwa kazi MNH sababu ya mgomo na mustakabali wa maisha yangu kuwa haujulikani, niliamua kujiajiri na kutumia muda, nguvu, bidii, ujuzi, uzoefu na ubunifu wangu kuanzisha biashara na kuijenga na kuisimamia hadi leo hii! Katika kuhangaika sana tulifanikiwa kuuona mlango wa kutokea - Agribiz! Na bado upo wazi! Someni finance and investment mtafumbuka macho kidogo! Mimi sina ubiya na mtu yeyote aliyejificha wala nini na hatujawahigombana na wala kudhulumiana pesa (one billion) ya benki sasa tungekuwa on bizness tu kweli? Au jela? Wakurugenzi tulioanzisha hii kampuni tupo watatu na bado tu watatu vile vile!
Great thinkers fanyeni uchunguzi au mpotezeeni tu huyo ndg, maana hajui alisemalo, atawapotezea muda bure tu! Hawa ndiyo wale wanaotumiwa na mahasimu wangu kisiasa, ambao bahati mbaya sana they got nothing tangible on me! Each time ni uongo na uzushi tu. Na mimi sintoacha kuwamaliza, nitawashambulia tu kwa maslahi ya walio wengi.
Regards,
HK.
Naona hakuna mtu ambaye yuko serious enough kufuatilia hizo alleged kashfa zangu. Sasa sintojibu any of this crap anymore mpaka mtakapoleta ushahidi au hoja objective! Mimi ni Mbunge na ni Mkurugenzi wa Kampuni, kuna uwezekano mtoa mada ameniomba hela sikumpa labda au ameiba kwenye kampuni akafukuzwa anaamua sasa kunichafua na watu hapa mnajadili crap isiyo na substance yoyote badala ya kutafuta ukweli! Is it fair kumjadili mtu based on misinformation? Nimewapeni clue ambazo zinawezawasaidia kuujua ukweli sasa si muutafute? Kampuni yangu haikupata Stimulus Package hata senti moja na ni kweli kuna watu walipata pesa hizo hawakustahili na tuliostahili tulikosa, na in fact MSK Solutions Ltd hadi leo inaidai serikali pesa tuliyowalipa wakulima kama top up on the price wakati wa recession!
Sasa kama msomi kama wewe unashangaa mjasiriamali msomi, kijana agrressive, risk-taking, GOD blessed, GOD fearing, progressive kama mimi, ambaye I decided to immerse myself in building a business with all my energy, knowledge, skills for years with all the opportunities available ningekuwa sijajua tu wawekezaji wanafanyaje kuanzisha na kuendesha miradi. Hapo ningekuwa mjinga wa kupindukia. KTY, kuna watu wengi wanaozifahamu jitihada zangu katika uwekezaji na kuna wengi nimekuwa nikiwaelimisha jinsi ya kufanya na wamefanikiwa kwa ushauri huo. Kwa wanaonifahamu toka siku nyingi wanajua jitihada zangu kwenye kazi. Mimi si msemaji bali mtendaji. Wengi hamjui kufanya biashara. WaTanzania wenye asili ya India na bara arab wamekuwa wakifanya biashara na kuzitumia hizi kanuni za kuwekeza na ku-trade effectively, for generations na wamekuwa wakitajirika na kuishi maisha mazuri kila siku. Siri yao hawakuwahi ku-share na watanzania 'kama mimi' wengi. Miaka ya hivi karibuni na watanzania kama mimi tumeamka na tumejua wenzetu wamekuwa wakifanyaje. Najua humu kuna watu makini na mnaweza kuchunguza kuhusu MSK, basi na mchunguze ili muweke rekodi sahihi.
Wakatabahu,
HK.
una assert?
Hapo juu nimeweka kipengele cha kwenye vision 2025 ambayo inatokana na Mini Tiger Plan iliyokuwa na malengo ya kuleta mapinduzi makubwa ya viwanda Tanzania. Utaona walioiandika wamegusia suala la 'mindset' kwa umuhimu kabisa! Sasa ndugu zangu tunatakiwa kabisa tujipange kubadilika kwa vitendo kwa kuonesha jitihada na ndipo tutayaona mafanikio, bila hivyo itakuwa kila ukimuona mwenzio anaelekea kufanikiwa unamnyooshea kidole EPA, stimulus package etc etc kwani haiwezekani kufanikiwa hapa Tanzania kwa hard work na kutumia vizuri fursa zilizopo? Ukishaanza kuingia kwenye ujasiriamali utashangaa unakutana na vijana wengi tu siku hizi wanafanya mambo makubwa kabisa na tena wanaanzia from scratches kabisa! Ukiwa mlalamikaji hautokaa uone inawezekana hata siku moja na maisha kwako yatakuwa magumu siku zote! You are a speed governor to yourself, you make your own choices! You choose your own destiny...to soccer glory or to lead a miserable life!
Maelezo yako yako sawa, umejieleza vizuri. Tatizo hapa kuna baadhi ya watu wanakitu naweza kusema wivu ambapo mtu akipata mafanikio katika shughuli zake anaandamwa. Wanapenda kuona watu hawafanikiwi katika maisha na shughuli zao