Siri nzito UDOM: Makamu na wenzake wala mishahara ya wahadhiri!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,136
Wapendwa nilikuwa pale hazina leo nkapenda niwape tu vidokezo mwenye uwezo wa kufwatilia ajitahdi..nimekutana na wazee wawili na vijana wawili wakifwatilia yale malipo ya udom toka mwaka 2008
katika mazungumzo ikasemekana wakapewa copy za cheki za 2008 na za mwaka jana 2010,ikasmekana mkuu wa chuo alikuwa anachakachua mishahara yao,, alivyoona mhadhiri mmoja anaanza kuropoka akataka kutuma kundi ;lake azina kuja kuweka mambo sawa kabla ya kujua chama cha wahadhiri nacho kilikuwa na watu wanafwatilia

wakakubaliana wakutane siku fulan waende dar hazina pamoja mkuu wa chuo akawaamsha watu wake saa kumi na mbili wakaelekea dar wakawa wamevunja makubaliano na wahadhiri ndipo baadhi yao nao wakashuka dar wakakuta yaliowakuta

1)wakakuta mishahara iliongezwa mara mbili yaani 2008 kulikuwa na ongezeko lakini watu wakawa wanapewa hela ile ile..
2)wakakuta october kuna ongezeko lingine ambalo awakujua hazina wametoaa cheki halali lakini pesa walizokuwa wkaipata tofauti
3)salary slip zilizotoka hazina sizo walizokuwa wakipokea wahadhiri
4)mkuu wa chuo ameanzisha mradi wake kukata alfu 3 kila mhadhiri nati kwa ajili ya funeral contr na mwenyekiti wake ni mkuu wa chuo na makamu wa mfuko huo mlacha jamani huu wizi mpaka lini??

Mengine nafwatilia ntakuja baadae
 
Du!!Ahsante sana kwa habari nzuri japo ya kutufumbua macho.Ushauri wangu ni kwamba kwa kuwa mhusika alishatajwa kabla hata ya hazina kuthibitisha hana haja ya kusubiri kupumzishwa.Mimi nadhani afanye uamuzi wa busara wala asimdhalilishe mzee wetu Kikula.
 
Jamani, mkuu wa chuo anayetajwa hapa ni yupi? Maana kwa kumbukumbu zangu Mkuu wa chuo Udom ni Mkapa.
Kama hata wanataaluma tunaweza kufanyiana hivi nchi hii tutamwamini nani. Tumelaaniwa???!!! Nadhani tutahitaji kuchukua hatua za kichina. Fisadi, mhujumu akatwe kichwa.
 
Amekosea tu anamaanisha makamu mkuu wa na chuo na manaibu wake wawili ambao ndio watendaji mkapa ni symbol tu. Kashfa hii ni nzito sana kwa muda mrefu uisadi huu umekua ukifanyika wakichukulia kigezo cha chuo kua kipya. Nina hakika kuna watu watatemeshwa mzigo kama wasipoachia ngazi wenyewe. Hii ni jinai nawapongeza wahadhiri wa UDOM kwa solidarity walioionesha kwa wiki hii nzima. Kama mlacha ana ubavu awafukuze/ awasimamishe wahadhiri kazi kama alivyofanya mwaka 2008.
 
Mimi wakiibiwa wasomi hivyo sina shida saaana kama wakiibiwa wasio na uelewa ambao ndo wengi wetu. Hiyo itaisha tu jamaa watawajibika.
 
Amekosea tu anamaanisha makamu mkuu wa na chuo na manaibu wake wawili ambao ndio watendaji mkapa ni symbol tu. Kashfa hii ni nzito sana kwa muda mrefu uisadi huu umekua ukifanyika wakichukulia kigezo cha chuo kua kipya. Nina hakika kuna watu watatemeshwa mzigo kama wasipoachia ngazi wenyewe. Hii ni jinai nawapongeza wahadhiri wa UDOM kwa solidarity walioionesha kwa wiki hii nzima. Kama mlacha ana ubavu awafukuze/ awasimamishe wahadhiri kazi kama alivyofanya mwaka 2008.

wanaelekea maahakamani j3 ama j4 wanakamilisha baadhi ya vitu kuna aibu inawakumba watu..

kingine hii alfu 3 walioamua kujikusanyia ndugu zetu makamu wa chuo na wenzake wakiita ya funeral allowance ati ni kama utafia
dodoma kama nje ya mkoa wa dodoma upati kitu na michango yakko na mbaya zaidi wameweka ukifiwa unapewa laki 4
ukirudi unapewa mbili alafu mwenyekiti wa mfuko huo ni mzee kikula na mlacha kwa msiwajua stay tune kuwaona maahakamani wiki
ijayo kwa fraud ya aibu KAMA WATFIKISHWA KAZI WANAYO
 
Du!!Ahsante sana kwa habari nzuri japo ya kutufumbua macho.Ushauri wangu ni kwamba kwa kuwa mhusika alishatajwa kabla hata ya hazina kuthibitisha hana haja ya kusubiri kupumzishwa.Mimi nadhani afanye uamuzi wa busara wala asimdhalilishe mzee wetu Kikula.

Enzi za Nyerere hawa wangepotea bila kujua hawa ni mafisad stadi ni wa kunyonga kabisaaaaa. Kwa nini wasinyongweeee.?
 
enzi za nyerere hawa wangepotea bila kujua hawa ni mafisad stadi ni wa kunyonga kabisaaaaa. Kwa nini wasinyongweeee.?

wewe nyerere wakati hapo kigali rwanda wanatafutwa watu mpka leeo awaonekani alikuja mwanasheria mkuu pale dodoma aliposikia ya lowassa akasema huyu alitakiwa awe kgl wangeshamsahau na ndugu zake kagame ameamua kuzaa na wanaume wenzake wanaoleta upuuzi muwe waziri wabunge mtazalishwa bila kujua
 
wanaelekea maahakamani j3 ama j4 wanakamilisha baadhi ya vitu kuna aibu inawakumba watu..

kingine hii alfu 3 walioamua kujikusanyia ndugu zetu makamu wa chuo na wenzake wakiita ya funeral allowance ati ni kama utafia
dodoma kama nje ya mkoa wa dodoma upati kitu na michango yakko na mbaya zaidi wameweka ukifiwa unapewa laki 4
ukirudi unapewa mbili alafu mwenyekiti wa mfuko huo ni mzee kikula na mlacha kwa msiwajua stay tune kuwaona maahakamani wiki
ijayo kwa fraud ya aibu KAMA WATFIKISHWA KAZI WANAYO

Hapo patakuwa patamu sana. ila tu natoa angalizo wasijeumbuka tu hao wanaokwenda mahakani kushtaki. CAG ndiyo jibu la yote. Au na yeye atachakachuliwa?
 
Back
Top Bottom