Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho

Vita ya shetani na agents wake kama Freemasons dhidi ya kanisa la Mungu haikuanza leo.Vita hiyo ilianza tangu shetani na theluthi ya malaika walipofukuzwa kutoka kwenye uso wa Mungu.Kwahiyo imetupasa kukesha siku zote sio tarehe 30 tu,hasa kwa vile tunajua kwamba mtesi wetu hapumziki usiku na mchana.
Hakika kama kuna asieamini mungu basi mungu yupo kuna waraka waliouona wana freemassons
wamepanga tar 30 july 2011 kufanya kikao cha kuyaangamiza makanisa ya kiroho yanayosumbua
uliomweengu wa mashetan...kama ulikuwa aujui hii iko live

ndugu wapendwa shetan ni mbaya na mjanja klama hutomuwahi shetani atakuwahi so usiku wa leo
usilale amka usiku kemea nguvu zote walizopanga kwa ajili ya kuyaribu na kuyafarakanisha makanisa na wachungaji
ili nguvu za mungu zisitende kazi naamini mungu alie hai atawavuruga in jesus name...natangaza upofu na kila atakaeongea kuhusu hilo mungu akamuangamize kuanzia mguu aaliosimamia mpaka mdomo atakaoongea

soma

zab 24,97,99 usiku wa leo pambana ndugu mashetan awalali hao wanakuangamiza kesho usipowawahi wanakumaliza wewe

mungu awaabariki siku zote sisini washindi

nimesikia leo kwenye mdahalo hapa kawe kuna majini wabaya na majini wazuri embu msaada

Hapa waislam hawaruhusiwi kuomba maana aya zao zinasema majini ni viumbe wa mungu wao,ambao ndo wanatumiwa na freemasons!

Hivi kwani huo ukristo wenu hautambui kuwa majini na viumbe wengine wote ni wake yeye mungu. ishu hapa ni kwamba hata majini wapo wazuri na wabaya kama wanadamu walivyo. Hapa hapana msingi wa kuhusisha waislamu au ndo unaanza udini tena???????????? wewe jadili yanayokuhusu kama huna si lazima uandike kitu humu. no research no right to speak guy..

nimesikia leo kwenye mdahalo hapa kawe kuna majini wabaya na majini wazuri embu msaada
Allah s.w anasema ya kuwa "hakika sisi tumeumba majini na watu ili mpate kuniabudu mimi" hakika kabisa majini wapo wanafanya ibada kama wanadamu wafanyavyo na pia wapo waasi kama wanadamu walivyo. majini na watu walioasi tunawaita MASHETANI. KWA ujumla hakuna kiumbe kiitwacho shetani ila ni majini na watu wanaomusi Mwenyezi Mungu. Umeisoma hiyo.

Mapepo ni mapepo tu, hakuna classification yoyote! Kumheshimu mtu ni pamoja na kumwambia ukweli na sio kumpamba kwa maneno matamu, akipenda ameze au ateme! Then, life goes, hakuna haja ya kujilipua kwa sababu huko uendako, kuzimu, ni pachungu na panatisha!

......................... tatizo la Wagalatia wana akili za kushikiwa na kuambiwa tu ! ............... unakiri uwepo wa majini lakini hujui yameumbwa na nani !? halafu unadai MUNGU wako ana nguvu wakati hawezi kuumba majini ! (viumbe wasionekana na mwanaadam !)

Hivi kwani huo ukristo wenu hautambui kuwa majini na viumbe wengine wote ni wake yeye mungu. ishu hapa ni kwamba hata majini wapo wazuri na wabaya kama wanadamu walivyo. Hapa hapana msingi wa kuhusisha waislamu au ndo unaanza udini tena???????????? wewe jadili yanayokuhusu kama huna si lazima uandike kitu humu. no research no right to speak guy..

kumbe waislam wanaswali na majini,ndo maana Mnachuki kubwa sana na ukristo mbona muslim mnayatetea sana majini au mnayaabu kwa stlye ile ya shekhe Yahya.endeleni kujipendekeza kwa shetani,nimegundua sasa mnamsaidia shetani kazi yake kwa kusema kuna "majini mazuri"laiti mngalijua mungu mnayemwabudu Salman Rushdie wa IRAN alisema mnaabudu majini.hongereni na majini yenu!

i hate those damn stories about freemasons...i can say they dont exist.. why we africans behaving like this? look!! missionaries came in africa with bible and at period we had land.. but now they left us with bible and they have land.. ndio maana sipendi hizi scary stories..waafrica tunapenda sana kumezeshwa vitu especcially kama hicho kitu kimetoka kwa wazungu.. i have beenliving in europe na sijawahi kuwaoana wazungu wakienda kanisani na wengine wanasema kabisa hakuna Mungu na wanaishi raha mustarehe wengine wanathubutu kusema kabisa kuwa waafrica ni maskini wa kutupwa ndio maana wanamwamini Mungu ili kujifariji... i dont believe in this shit(freemasons)
hapo red HUO ndio UKWELI MCHUNGU SANA ambao wengi wetu hatupendi kabisaa kuusikia!!! Wazungu wanajua kwamba mwafrika ukimtisha anatii!!! Ukimdanganya anakubali... ndio maana takataka zote toka ulaya afrika zinaonekana mali!!!!!!!!!!!

......................... tatizo la Wagalatia wana akili za kushikiwa na kuambiwa tu ! ............... unakiri uwepo wa majini lakini hujui yameumbwa na nani !? halafu unadai MUNGU wako ana nguvu wakati hawezi kuumba majini ! (viumbe wasionekana na mwanaadam !)
...hapo ndipo siku zote nawaambia watu hapa MANENO HAYA:
TATIZO SI AKILI BALI NAMNA YA KUZITUMIA!!! TATIZO SI KUFIKIRI BALI NINI UNAFIKIRIA!!! NDIO MAANA WENGI NI AKILI KUAMBIWA KWA SABABU WAO NI WAVIVU KUFIKIRI...

allah s.w anasema ya kuwa "hakika sisi tumeumba majini na watu ili mpate kuniabudu mimi" hakika kabisa majini wapo wanafanya ibada kama wanadamu wafanyavyo na pia wapo waasi kama wanadamu walivyo. Majini na watu walioasi tunawaita mashetani. Kwa ujumla hakuna kiumbe kiitwacho shetani ila ni majini na watu wanaomusi mwenyezi mungu. Umeisoma hiyo.

waislam naombeni ufafanuzi hapo kwenye red.

Sisi ni wingi, kwani kuna allah wangapi walioumba wanaadam na hayo majini yenu?

Shetani ni shetani tuu ni kiumbe kibaya na kazi yake ni 1 kupotosha wanadamu ili watende maovu ya kumuundi mwnyz mungu ili wasiuone ufalme wa mbinguni, anayesema kuna shetani wazuri anahitaji kufunga na kuomba sn ili roho ya kishetani imtoke

waislam naombeni ufafanuzi hapo kwenye red.

Sisi ni wingi, kwani kuna allah wangapi walioumba wanaadam na hayo majini yenu?

"Sisi" inakusudia kuonyesha "NGUVU" na "MAMLAKA"

"Sema: Hakika Mwenyezi Mungu ni "MMOJA TU" YEYE peke yake ndiye wa KUKUSUDIWA (kuombwa: na yeye haombi kwa yoyote) na HAKUZAA wala HAKUZALIWA na HAFANANI na CHOCHOTE ! huyu ndie "ALLAH S.W"

Vitabu vyote vinne (Tourat, Zaburi, Injil, Quran) vinashuhudia haya ! na hizo ndio sifa za Mwenyezi Mungu.

Kuona shetani kila mahala na katika kila tukio nao ni ushetani. Ni namna ya kuwatia woga watu wepesi ili wajiunge na wafanyabiashara wa 'neno la Mungu' ambao sasa brand name yao ni 'Mtumishi wa Mungu'. Wizi mtupu.

Allah s.w anasema ya kuwa "hakika sisi tumeumba majini na watu ili mpate kuniabudu mimi" hakika kabisa majini wapo wanafanya ibada kama wanadamu wafanyavyo na pia wapo waasi kama wanadamu walivyo. majini na watu walioasi tunawaita MASHETANI. KWA ujumla hakuna kiumbe kiitwacho shetani ila ni majini na watu wanaomusi Mwenyezi Mungu. Umeisoma hiyo.

Acha ubabaishaji hapa. Ni nani aliekuambia kila anaefanya ibaada ni mzuri. Mashetani nayo huamini tena kwa kutetemeka lakini matendo yao ni uovu. Unaposema Mungu kaumba majini na binadamu ili wamwabudu, hapa unataka kutafuta kichaka cha kuyafazili majini, kwani malaika nao wameumbwa kwa kusudi gani?
Shetani ni malaika alieasi na yale waislamu wanaita majini ni malaika walioungana na shetani katika uasi wake na wote walifukuzwa mbinguni ndio wanaozurura duniani. Baada ya kufanikiwa kumwangusha Hawa na Adamu, ndipo kwa wakati muafaka Bwana Yesu alikifuata kizazi cha Adamu duniani na kukirudishia mamlaka waliyoyapoteza dhidi ya mapepo machafu(majini). **** mtu akijitambua kwamba yaya ni halifa(mtawala duniani) haya majini hayana mamlaka yoyote kwake na yanamuogopa vibaya mno na kwa mamlaka, lolote utakalotamka dhidi yao linakuwa. Huyu shetani na malaika zake walichokuwa wanatafuta ni kupewa ibada kama ilivyo kwa Mungu na kosa hilo ndilo lililosababisha afukuzwe mbinguni. Aliondoka na kujiapiza kuwadanganya wanadamu hata wamfanyie ibaada yeye. Jambo hili haliwezi kufanikiwa isipokua ampate mtu atakaepitishia ushawishi kwake yaani nabii. Hivyo amefanikiwa na yale mapepo yalio upande wake yamejifanya malaika wa nuru kwa wafuasi wao. Jana tu nilikuwa mahali na akawepo sheikh akawa anawaeleza waislamu jinsi majini yanavyoweza kuwa na uhusiano wa kingono na wake zao na kuzaa nao watoto ambao wao hawawaoni ila mwanamke anawaona na kuwanyonyesha. Halafu mijitu ilikuwa anaonyesha kunyamaza kimya kumsikiliza na kukubaliana nae. Nilijaribu kumpinga tena kwa nguvu kuu, lakini cha ajabu waislamu wote wakanijeuka kwa kumsaport sheikh. Huu ni msiba mkubwa, kwani haya majini kwa ndugu zetu ni kama Roho mtakatifu kwa wakristo. Haya majini na waislamu ni washirika, kwani hata ukirejelea hadithi za mtume kuhusu nyoka kuwepo ndani ya nyumba tena kitandani alipo mke wa mtu asiuawe haraka maana kasema huenda akawa amesilimu kwa maana ni mwenzao. Hii inatoa picha ya kile kinachoendelea kwa waislamu. Bwana yesu alimwita shetani 'nyoka wa kale, ibilisi na S

"Sisi" inakusudia kuonyesha "NGUVU" na "MAMLAKA"

"Sema: Hakika Mwenyezi Mungu ni "MMOJA TU" YEYE peke yake ndiye wa KUKUSUDIWA (kuombwa: na yeye haombi kwa yoyote) na HAKUZAA wala HAKUZALIWA na HAFANANI na CHOCHOTE ! huyu ndie "ALLAH S.W"

Vitabu vyote vinne (Tourat, Zaburi, Injil, Quran) vinashuhudia haya ! na hizo ndio sifa za Mwenyezi Mungu.

Naomba ufafanuz sisi mbona inawakilisha nafsi?
inakuwaje unapozungumzia nguvu na mamlaka?

uzuri ni kwamba kipigo kinawanzia hapa hapa jf maana nao wapo na wana ma ID kibao,
utawambau kwa post na lugha zao maana huwa hawajifichi kamwe

Acha ubabaishaji hapa. Ni nani aliekuambia kila anaefanya ibaada ni mzuri. Mashetani nayo huamini tena kwa kutetemeka lakini matendo yao ni uovu. Unaposema Mungu kaumba majini na binadamu ili wamwabudu, hapa unataka kutafuta kichaka cha kuyafazili majini, kwani malaika nao wameumbwa kwa kusudi gani?
(1) Shetani ni malaika alieasi na yale waislamu wanaita (2)majini ni malaika walioungana na shetani katika uasi wake na wote walifukuzwa mbinguni ndio wanaozurura duniani. Baada ya kufanikiwa kumwangusha Hawa na Adamu, ndipo kwa wakati muafaka Bwana Yesu alikifuata kizazi cha Adamu duniani na kukirudishia mamlaka waliyoyapoteza dhidi ya mapepo machafu(majini). **** mtu akijitambua kwamba yaya ni halifa(mtawala duniani) haya majini hayana mamlaka yoyote kwake na yanamuogopa vibaya mno na kwa mamlaka, lolote utakalotamka dhidi yao linakuwa. Huyu shetani na malaika zake walichokuwa wanatafuta ni kupewa ibada kama ilivyo kwa Mungu na kosa hilo ndilo lililosababisha afukuzwe mbinguni. Aliondoka na kujiapiza kuwadanganya wanadamu hata wamfanyie ibaada yeye. Jambo hili haliwezi kufanikiwa isipokua ampate mtu atakaepitishia ushawishi kwake yaani nabii. Hivyo amefanikiwa na yale mapepo yalio upande wake yamejifanya malaika wa nuru kwa wafuasi wao. Jana tu nilikuwa mahali na akawepo sheikh akawa anawaeleza waislamu jinsi majini yanavyoweza kuwa na uhusiano wa kingono na wake zao na kuzaa nao watoto ambao wao hawawaoni ila mwanamke anawaona na kuwanyonyesha. Halafu mijitu ilikuwa anaonyesha kunyamaza kimya kumsikiliza na kukubaliana nae. Nilijaribu kumpinga tena kwa nguvu kuu, lakini cha ajabu waislamu wote wakanijeuka kwa kumsaport sheikh. Huu ni msiba mkubwa, kwani haya majini kwa ndugu zetu ni kama(3)Roho mtakatifu kwa wakristo. Haya majini na waislamu ni washirika, kwani hata ukirejelea hadithi za mtume kuhusu nyoka kuwepo ndani ya nyumba tena kitandani alipo mke wa mtu asiuawe haraka maana kasema huenda akawa amesilimu kwa maana ni mwenzao. Hii inatoa picha ya kile kinachoendelea kwa waislamu. Bwana yesu alimwita shetani 'nyoka wa kale, ibilisi na S
.............NO. 1, 2 na 3 hawa wote uliotaja kama unaamini wapo, waliumbwa na nani ??. Kama huamini uwepo wao, je unaleta hadithi za kufikirika ??

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom